Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

Kwa kiwango fulani yana tija..
Hujielewi sababu ni wananchi wanapaswa kubadilisha vyama hinavyotawala. Ndio maana tunataka tume huru ili wananchi wakubaliwe matakwa yao. Tunaweka kiongozi tunayemtaka siyo anayetakiwa
 
CCM kausikaje uko Zambia

Uyo mpinzani kazingua mwenyewe kuitaja Tanzania kwamba inamuunga mkono Hakainde H.

Kutokea pale. Wapiga kura wengi wakakipigia kura chama Tawala

Wazambia wengi wanaipenda Tanzania
Tofauti na Kenya✍️
Acha uongo wewe chawa, wazambia wanawapenda watanzania lakini hawaipendi kabisa ccm na serikali yake haramu.
 
Ukizungumzia utamaduni , hauoni kwamba utakuwa unajielekeza vibaya?
Maana hata haya mambo ya Vyama vyama sio tamaduni ya Mwafrika.
Au tafsiri yako ya tamaduni ni ipi?
Afrika walikuwa na mifumo ya kitemi kwa kila jamii na kama ilivyo watemi walikuwa wa kurithi. Sasa kwa nchi kama Tanzania yenye makabila zaidi ya 120 ni mtemi gani atakuwa mkuu wa wote ili awe rais!!??

Ni kitu kisichowezekana na ndio maana kwa mazingira yetu mfumo wa vyama vingi hauepukiki.

Tahadhari ni kwamba kwa Afrika endapo mfumo wa vyama vingi usingekuwepo leo hii vita vya wenyewe kwa wenyewe vingekuwa vimeshatokea kwenye kila nchi.
 
Una hoja
 
Kosa lake ni kutaja Tanzania hapo ndio kuharibu maana sie na Zambia tunashare vitu vingi angeshinda mpinzan mambo yangekuwa ovyo sana Kati ya Tanzania na Zambia hivyo wanqnchi kulijua hilo wakaona wamchinje
 
Back
Top Bottom