Mkuu inawasaidia kwa kiasi fulani mimi bwana mdogo ana supply vitu kwenye mmoja ya mgodi wa shaba kampuni yake inafanya vizuri sana kwa sababu baadhi ya vitu wanahitaji kutoka nje China, Australia,SA na Canada na sio wababaishaji kwenye malipo huyu ni mmoja na anafanya vizuri kwa hiyo wenye tender huko migodini ni wengi yeye ana mke Mzambia nae ni Mzambia wa kuoa hapo maisha yanaenda...Duuh mbona kama shaba yote ni ya wachina mkuu?
Mtonga mkuu watu wa kusini huko ni wasomi sana na wachapakazi kuliko makabila yote ya Zambia ndio maana wanapigwa vita na pia Zambia ina ubaguzi wa ukabila ndio maana swala la uchaguzi wa Urais baadhi ya maeneo wanaopingana na kabila fulani kura Raisi hawezi kupata na wanadharauliana sana..Naskia Hichilema asili yake ni machame
Upo vzuri kaka,nasio mvivu kuandika/kudadavua kitu ambacho unauelewa nacho, be blessedAll in all Wazambia sio wa kujifananisha na Watanzania wao wapo wachache na vitu vingi wanafanya kwa ajili ya Wananchi..
Wametengeneza bara bara kubwa nyingi kwa kiwango bora..
Wameongeza kilimo cha mahindi na wateja wao wakubwa ni Kenya.
Bei ya Shaba kuwa imara kupelekea pesa yao kuwa na nguvu kuliko Nchi nyingi za Afrika.
Wamepunguza kodi kwenye magari kwa kutumia mfumo wa GVM wao kuingiza Fortuner ya 2023 wanalipia sawa na Tsh 12m wakati Tanzania gari hiyo hiyo inazidi Tsh 40m.
Standard of living imeongezeka kwa asilimia chache maana wanaweza kutumia vitu bora kwa gharama ndogo..
Vipo vingi nikifananisha na Nchi zingine naona wao wanaenda vizuri..
Fokori babako, mumeo na mamako.Basi wewe fokori
Basi wewe ni ndondochaFokori babako, mumeo na mamako.
Ukichukulia mfano wa China ndio utakuwa umepotea vibaya kabisa.China isiyobadili Vyama na baadhi ya nchi za kiafrika zinazobadili vyama, nani wananchi wake wana nafuu ya maisha?
Ukizungumzia utamaduni , hauoni kwamba utakuwa unajielekeza vibaya?Ukichukulia mfano wa China ndio utakuwa umepotea vibaya kabisa.
China wana utamaduni wao tofauti kabisa na Afrika na utawala unajengeka katika misingi ya kitamaduni na kwa hulka ya jamii ya wachina sio jamii ya watu wabinafsi tofauti kabisa na waafrika.
Kwa mantiki hiyo China hata atawale mtu mmoja kwa miaka nenda rudi lakini yeye na ndugu zake, wapambe wake na marafiki zake hawawezi kuihujumu nchi yao tofauti kabisa na jamii ya kiafrika.
Nafikiri utanielewa.
Tume ya Uchaguzi nchini humo (ECZ) haijaeleza kwanini imeamua kumtangaza mshindi wa Urais usiku wa manane watu wakiwa usingizini.lAnaandika Malisa GJ
Tume ya Uchaguzi nchini Zambia (ECZ) imemtangaza Hakainde Hichilema wa chama cha UPND kuwa mshindi wa kiti cha Urais wa nchi hiyo kwa kura 2,965,326 sawa na 60.1%, akifuatiwa na Brian Mundubike wa NRPUP aliyepata kura 1,856,217 sawa na 38.6% ya kura zote zilizopigwa. Wagombea wengine wamepata chini ya asilimia moja.
Hichilema mwenye umri wa miaka 64 amewahi kugombea Urais wa nchi hiyo mara 5 akishindwa, kabla ya mwaka 2021 kufanikiwa kumwangusha Rais Edgar Lungu aliyekuwa akigombea kwa muhula wa pili. Kwa matokeo ya leo, Hichilema ataongoza taifa hilo kwa awamu ya pili hadi mwaka 2031.
Hata hivyo mwitikio wa kupiga kura haukuwa mkubwa kwani ni watu milioni 4.9 tu waliojitokeza kwenye vituo vya kupiga kura kati ya watu milioni 8.4 waliojiandikisha.
Hichilema ametangazwa mshindi wa kiti cha Urais majira ya saa 9 usiku kwa saa za Zambia sawa na saa 10 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki. Tume ya Uchaguzi nchini humo (ECZ) haijaeleza kwanini imeamua kumtangaza mshindi wa Urais usiku wa manane watu wakiwa usingizini.
Hata hivyo wakati Tume ikitangaza matokeo hayo usiku, mgombea wa upinzani Brian Mundubike amejificha ofisi za umoja wa mataifa (UN) kuomba hifadhi akihofia kukamatwa na Polisi. Jana polisi walimtuhumu kwa uhaini, akidaiwa kusuka mipango ya kuiangusha serikali. Zaidi ya watu 20 walio karibu nae wamekamatwa na kupewa kesi za uhaini.
Pia mapema leo Wizara ya mambo ya ndani nchini humo, imemtangaza Askofu mstaafu wa Kanisa la Anglikana Mhashamu Trevor Selwyn Mwamba kuwa Mhaini na kwamba atakamatwa na kuunganishwa katika kesi ya kujaribu kuangusha serikali, inayomkabili Brian Mundubike na wenzake.!
Walianza kuivamia Zanzibar , mwisho watavamiana wenyewe kwa wenyeweCCM ndio waloharibu nchi hata za watu
Na waliokimbilia South Africa wanafukuzwaMtoto kala tution ya kutosha na kafanya mtihani kama alivoelekezwa ila sisi black mambas tuna laana sio siri.Hata tukiitwa shithole country