Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

Uchaguzi Zambia 2026: Hakainde Hichilema ashinda Urais kwa muhula wa pili

Chakula wao sasa hivi wanalima sana kuna kipindi walikua na tatizo la mvua ndio tuliwauzia mahindi ila kwa sasa wana mahindi ya kutosha mimi napita hapo kila mwezi kuhusu Nchi za kusini nazunguka kama kariakoo na Mwenge...Nchi ambayo chakula ni tatizo ni DRC pekee na soko kubwa wameshika wao Tanzania na SA wanapeleka unga kutokea SA..

Unachokisema kiko sawa nina jamaa angu anakiwanda cha kusaga mahindi na kupaki na kuuza Unga hapo mbeya maihidi anachukua Zambia
 
Wazambia ndo wanajua sio wewe mtanzania unajua pesa ya zambia kwa sasa imepita mbali pesa ya Tanzania?
Hivi nahitaji kuwa mtu wa Taifa X ili kujua kama taifa husika linafanya vizuri kiuchumi au lah?

Akili nyingine za hovyo utafikiri mtu alilala choo cha stand.
 
All in all Wazambia sio wa kujifananisha na Watanzania wao wapo wachache na vitu vingi wanafanya kwa ajili ya Wananchi..
Wametengeneza bara bara kubwa nyingi kwa kiwango bora..
Wameongeza kilimo cha mahindi na wateja wao wakubwa ni Kenya.
Bei ya Shaba kuwa imara kupelekea pesa yao kuwa na nguvu kuliko Nchi nyingi za Afrika.
Wamepunguza kodi kwenye magari kwa kutumia mfumo wa GVM wao kuingiza Fortuner ya 2023 wanalipia sawa na Tsh 12m wakati Tanzania gari hiyo hiyo inazidi Tsh 40m.
Standard of living imeongezeka kwa asilimia chache maana wanaweza kutumia vitu bora kwa gharama ndogo..
Vipo vingi nikifananisha na Nchi zingine naona wao wanaenda vizuri..
Hayo ndio majibu ya kisomi.

Asante kwa majibu mazuri.
 
Zambia wamewapa wachina wanajenga bara bara zao kwa kutoza kodi ya tolls kila mji kuna toll gate 11 kutokea Livingstone mpaka Nakonde na sehemu ambayo bara bara yao mbovu ni mpika mpaka unaitafuta Chinsali kuanzia hapo bara bara pana mpaka Tunduma..
Hata iweje,lami yao haiwezi fikia lami ya tz
 
Chakula wao sasa hivi wanalima sana kuna kipindi walikua na tatizo la mvua ndio tuliwauzia mahindi ila kwa sasa wana mahindi ya kutosha mimi napita hapo kila mwezi kuhusu Nchi za kusini nazunguka kama kariakoo na Mwenge...Nchi ambayo chakula ni tatizo ni DRC pekee na soko kubwa wameshika wao Tanzania na SA wanapeleka unga kutokea SA..
Mahindi ya kutosha ni msimu huu,nchi zote za kusini msimu huu mvua zilikua nzuri wamevuna sana ikiwemo south,Malawi etc,baada ya hapo ni uhaba wa mvua misimu mitatu,mimi mkulima najua pattern ya mvua Zambia,pakiwa na ukame Zambia mwaka huu basi mwaka ujao tz hufuatia ukame,kadhalika mvua
 
Watanzania huwa mnajidanganya sana sijui shida nini aisee Wazambia wanalima mahindi ya kutosha na pia katika mboga mboga wao Samaki wanao wa kutosha mpaka ilifikia kipindi watu wa mbeya wauza samaki walianza kuchukua samaki Zambia baada ya kupigwa marufuku wakakimbilia Mozambique..
Samaki ambae utakula livingstone kwa kwatcha 50 sijui Tanzania utalipia ngapi hao kuku wa kienyeji hawathamini wanawaita chicken village...
Wazambia wanaamini katika supermarket ndio maana Lusaka tu wana malls nyingi sana..
Wewe ni mkulima?..mimi ni mkulima nafanya kilimo biashara, najua Zambia wakivuna sana mahindi basi hata mpunga bei hupungua sababu mahindi tz huwa mengi
 

Attachments

  • IMG_20260803_134331.jpg
    IMG_20260803_134331.jpg
    802.8 KB · Views: 14
Nangojea mpinzani ashinde uraisi tuone kwenye uapisho mama kama ataenda
 
Hayo mabadiliko ya vyama huwa yana tija kwa wananchi ?
Jibu unalo hapa hapa kwenu ambapo kuna chama kimoja kimetawala toka nchi ilipojipatia uhuru hadi leo lakini nusu ya wananchi wako hoi kimaisha.
 
Jibu unalo hapa hapa kwenu ambapo kuna chama kimoja kimetawala toka nchi ilipojipatia uhuru hadi leo lakini nusu ya wananchi wako hoi kimaisha.
China isiyobadili Vyama na baadhi ya nchi za kiafrika zinazobadili vyama, nani wananchi wake wana nafuu ya maisha?
 
Wewe ni mkulima?..mimi ni mkulima nafanya kilimo biashara, najua Zambia wakivuna sana mahindi basi hata mpunga bei hupungua sababu mahindi tz huwa mengi
Tunazungumzia mahindi unatuma picha za mpunga nami nikituma picha za truck zikipakia mahindi Zambia na kupeleka Nairobi utaelewa chakula mara nyingi ni msimu mwaka huu Tanzania wakivuna sana wanapewa wazambia mwakani wazambia wakivuna sana inakua bei ndogo kwao chakula inavuka mpaka Nairobi hali ya hewa ndio inafanya wapi wavune na wapi wasivune kwa wingi kutokana na kwamba wengi wanalima kwa kutegemea mvua ila Zambia wale waliokimbizwa Zimbabwe ndio wafugaji pale hata Ng'ombe wao wana Lunch za kutosha pia..
 
All in all Wazambia sio wa kujifananisha na Watanzania wao wapo wachache na vitu vingi wanafanya kwa ajili ya Wananchi..
Wametengeneza bara bara kubwa nyingi kwa kiwango bora..
Wameongeza kilimo cha mahindi na wateja wao wakubwa ni Kenya.
Bei ya Shaba kuwa imara kupelekea pesa yao kuwa na nguvu kuliko Nchi nyingi za Afrika.
Wamepunguza kodi kwenye magari kwa kutumia mfumo wa GVM wao kuingiza Fortuner ya 2023 wanalipia sawa na Tsh 12m wakati Tanzania gari hiyo hiyo inazidi Tsh 40m.
Standard of living imeongezeka kwa asilimia chache maana wanaweza kutumia vitu bora kwa gharama ndogo..
Vipo vingi nikifananisha na Nchi zingine naona wao wanaenda vizuri..
Duuh mbona kama shaba yote ni ya wachina mkuu?
 
Back
Top Bottom