maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Hujielewi sababu ni wananchi wanapaswa kubadilisha vyama hinavyotawala. Ndio maana tunataka tume huru ili wananchi wakubaliwe matakwa yao. Tunaweka kiongozi tunayemtaka siyo anayetakiwaKwa kiwango fulani yana tija..
Acha uongo wewe chawa, wazambia wanawapenda watanzania lakini hawaipendi kabisa ccm na serikali yake haramu.CCM kausikaje uko Zambia
Uyo mpinzani kazingua mwenyewe kuitaja Tanzania kwamba inamuunga mkono Hakainde H.
Kutokea pale. Wapiga kura wengi wakakipigia kura chama Tawala
Wazambia wengi wanaipenda Tanzania
Tofauti na Kenya✍️
Afrika walikuwa na mifumo ya kitemi kwa kila jamii na kama ilivyo watemi walikuwa wa kurithi. Sasa kwa nchi kama Tanzania yenye makabila zaidi ya 120 ni mtemi gani atakuwa mkuu wa wote ili awe rais!!??Ukizungumzia utamaduni , hauoni kwamba utakuwa unajielekeza vibaya?
Maana hata haya mambo ya Vyama vyama sio tamaduni ya Mwafrika.
Au tafsiri yako ya tamaduni ni ipi?
Kama gwaride yaniIlipigwa nyuma geuka, WA mbele akawa nyuma..
Una hojaAfrika walikuwa na mifumo ya kitemi kwa kila jamii na kama ilivyo watemi walikuwa wa kurithi. Sasa kwa nchi kama Tanzania yenye makabila zaidi ya 120 ni mtemi gani atakuwa mkuu wa wote ili awe rais!!??
Ni kitu kisichowezekana na ndio maana kwa mazingira yetu mfumo wa vyama vingi hauepukiki.
Tahadhari ni kwamba kwa Afrika endapo mfumo wa vyama vingi usingekuwepo leo hii vita vya wenyewe kwa wenyewe vingekuwa vimeshatokea kwenye kila nchi.