Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

Gwajima amekosea kuropoka kuwa mama Samia kapokea hongo kutoka kwa mabeberu kuingiza chanjo feki nchini ili kuwaua watanzania. Na pia kakosea kusema kwamba mama Samia aliigiza kuchanja kumbe hakuchanja. Wewe kwa uelewa wako haya sio makosa?
Hakuna kosa yule aliyedhani kwamba kilichosemwa sivyo alitakiwa kutoa ushaidi wa kuthibisha hapo nguvu sawa (aliyetuhumu hakutoa 'substantial evidence' ambayo ni 'reliable and credible' halikadhalika aliyetuhumiwa hakuonesha uthibitisho wenye ushahidi kwamba kilichotuhumiwa ni uongo; kwa hiyo kwa dhana hiyo hakuna mwenye mamlaka hapo kumchukulia hatua za aina yoyote mwingine ila labda ubabe wa madaraka na kanuni kandamizi
 
Wewe ni nani hadi useme haya mataputapu mkuu? Mwacheni Gwajima avune alichopanda. Kama wewe ni mmoja misukule wake, nenda kanisani jumapili ijayo ukamlambe miguu tapeli mwenzako.
Obtuse argument with intellectual disability to scale along the tolerable nuisance level.
 

Nimejiteteaje nafsi yangu? Ni kwa vipi siamini katika ninayosema?
 
Kwa mantiki hii, wewe huoni kuna umuhimu wa kumdibiti Gwajima asiendelee kuipotosha misukule yake isije ikafurika ICU kwa kuumwa covid-19? Pointi yako ni ipi sasa mkuu?😳😳😳
 
Mkuu umeongea vizuri sana. Wabunge walifanya ujanja wa kuficha mishahara yao kwenye posho ili isikatwe kodi. Ni wakati muafaka sasa posho hizi zihamishiwe kwenye mishahara ili zikatwe kodi. Haya majitu ni ya ajabu sana. Eti yenyewe hayataki yakatwe kodi lakini yanalazimisha tu wanyonge ndio wakatwe. Mapuuzi sana haya majamaa aisee! 😳 😳 😳 😳
 
Kwa mantiki hii, wewe huoni kuna umuhimu wa kumdibiti Gwajima asiendelee kuipotosha misukule yake isije ikafurika ICU kwa kuumwa covid-19? Pointi yako ni ipi sasa mkuu?😳😳😳
Kafanye rapid appraisal uone walioko ICU ni kutoka kundi gani la jamii? Kisha rudi kutuambia kwamba anawapotosha...
 
Kwa mantiki hii, wewe huoni kuna umuhimu wa kumdibiti Gwajima asiendelee kuipotosha misukule yake isije ikafurika ICU kwa kuumwa covid-19? Pointi yako ni ipi sasa mkuu?😳😳😳

Mapepo ya ujinga hayatolewi kwa kutumia Polisi na Mahakama. Kujaribu kufanya hivyo ni ujinga zaidi!
 
Mkuu ibanezafrica , Askofu Gwajima (kama anavyojiita) alikuwa na kesi nyingi za kujibu sio kesi ya upotoshaji wa COVID 19 tu. Alikuwa na kesi nyingine 2 kama ifuatavyo:
1. Kumtuhumu mama Samia kuhongwa na mabeberu kupokea chanjo ili kuwaua watanzania.
2. Kumtuhumu mama Samia na viongozi wengine wa serikali kwa kuigiza kuchomwa chanjo ilhali hawakuchomwa (kwa mujibu wa Gwajima).

Haya makosa mawili ni zaidi ya uhaini. Kama Gwajima angetenda makosa haya akiwa China, angepigwa risasi za kichwa hadharani na kufa papo hapo.
 
I stand with Gwajima!
Japo mi si muumini wake!

Ila Hakuna marefu yasiyokua na ncha!
Slaa ana kosa gani?
Viongozi hawapendi kuambiwa ukweli?
On whay ground bro? Gwajima ni sawa na hadithi za kusadikika tu. Watu wanaweka scientific proof yeye anabaikia ana bwabwaja tu.

Ni sawa leo wale wanapata cerebral malaria wanaibuka na hoja kuwa wamerogwa.

Kuhusu Slaa, bunge letu ni ovu na lisio na weredi.
Ilibidi wajibu hoja, na ikiwezekana Slaa nae azungumze mle bungeni baada ya wabunge kuweka hoja zao.
 
Ujinga sana ,unafikiri ikiwa wewe ni Rais basi uko sawa, viongozi wangapi duniani wanaangamiza wananchi wao,
,for me Gwajima is right
G.boy anaweza kuwa sawa au awe amekosea muhimu hayo ni matokeo ya uchaguzi wa 2020

 
G.boy anaweza kuwa sawa au awe amekosea muhimu hayo ni matokeo ya uchaguzi wa 2020

View attachment 1925436
Mkuu napenda nikukumbushe kuwa 2020 hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi na ushetani mkubwa uliofanywa na mwendazake (Mungu anamuona huko aliko). Uchafuzi huu ndio uliotuletea majitu ya ajabu kama Gwajima.
 
Sote tunakubaliana kwamba chanjo ni HIYARI. Sasa Gwajima anapowashawishi watanzania (anaowaita waumini wake) wasichanje wewe unaona sawa? Suppose Gwajima angekuwa Mbowe, je kanisa lake si lingekuwa limefungiwa? Lazima angefungiwa na kufunguliwa kesi ya ugaidi kwa kuwa makusudi ya kuanzisha kanisa sio anayoyahubiri. Gwajima anatamba tu kwa sababu ni mmoja wa watu waliomo kwenye chama chetu. Angekuwa hayumo ndani ya chama chetu, angeweza hata kupotezwa na watu wasiojulikana kama Antipas Lissu alivyonusurika kuuawa.
 
Naona orodha ya wahanga inazidi kuongezeka. Safari hii Polepole naye kaingia nyavuni. Tuwaache wafu wakawazike wafu wao bila shuruti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…