Uchambuzi: Hali ya Uwanja wa ndege wa Kimataifa Chato baada ya Magufuli kustaafu

Hasara wamepata wabinafsi walioujenga huo uwanja wa Chato pamoja na aliyekuwa kinara wao
lakin hela ilitoka wizarani na baado mabolesho zaidi yanaendelea wana chato hawana cha kupoteza na aliyejega tumemuzika tayari
 
Mie naona wanaChato watapata hasara ya kutaka kuwa Mkoa😁😁😁
pole unaona unateseka sana,nikuulize kitu ulipo hapo ndio mkoa uliyozawali au mama ako mkoa alipo ndio alipozaliwa? Fikiria na uniulize kwani kwa nini nakuuliza hivyo
 
Watu wengine wanachangia ujinga hivi ni hasara kwa magufuli ama? Kwani alikuwa amefanya kwa faida ya familiya yake?

Ni kushabekia ujinga, kama kifo wote tutaonja mauti tofauti ni kwamba mtoto wetu katangulia basi. Yaliyobakini kujikomoa wenyewe coz alifanya kwa ajili ya taifa

R.I.P JPM
 
pole unaona unateseka sana,nikuulize kitu ulipo hapo ndio mkoa uliyozawali au mama ako mkoa alipo ndio alipozaliwa? Fikiria na uniulize kwani kwa nini nakuuliza hivyo
Nipo Mkoa nilipozaliwa na Mama nae yupo Mkoa alikozaliwa pia!
Pointi yako nini haswa????.
 
Huu ukikuwa usanii tu ili wapige hela bila kuulizwa maswali
 
lakin hela ilitoka wizarani na baado mabolesho zaidi yanaendelea wana chato hawana cha kupoteza na aliyejega tumemuzika tayari
Huu uwanja mtafugia mbuzi we subiri utaona. Hata Mpanda wanafugia mbuzi ule uwanja wao
 
Baada ya mazishi ya Mkuu wa Nchi, nimetafakari kwa kina kuona kama kuna mtu yyte, au shirika lolote la ndege litakuwa na ratiba ya kwenda chato.
Hivi waliojenga uwanja huo, walitathmini kweli?.
JPM alioosea alitakiwa afanye miradi michache ya wastani ambayo hata kama hayupo isingehitaji bajet kubwa ya serekali kuiendesha mfano.
Hosptal ya wilaya
Mahakama ndogo tuu
Umeme
Maji na barabara
Sasa kajenga liuwanja la ndege
Mbuga
Hotela ya kifahari duuuh
 

hizo ndio akili za walala hoi mkuu,akifa kiongozi wa ccm wanashangilia tu,bila kujali wanapata nafuu ipi kimaisha.
 

Embu tuliza akili wewe bidada!!

Sasa tumia akili sio hisia..

Je kwa utashi wako kulikua na haja gani kwa taifa uwanja wa chato kujengwa?

Alafu kampuni iliyo jenga uwanja wa chato inamilikiwa na nani?

Narudia tena tumia akili kujibu kama huwezi kaa kimya.
 
Ni asili ya binadamu nadhani tupo hivyo anaweza kuku bania hata mchongo wa kazi wakati hata mshahara hautoki mfukoni mwake wala haupunguzi chochote kutoka kwake.tuna asili ya ubinafsi na kushangilia matatizo ya wengine.ndiyo tupo hivyo.
 
Kwendraaaa huko. Uwanja wanatumia familiya ya magufuli tu? Achana na mm.
 
Baada ya mazishi ya Mkuu wa Nchi, nimetafakari kwa kina kuona kama kuna mtu yyte, au shirika lolote la ndege litakuwa na ratiba ya kwenda chato.

Hivi waliojenga uwanja huo, walitathmini kweli?
Hakuna cha tathimini wala tafakari wa hapo ni mihemko tu.
 
Maendeleo ya Chato ni sehemu ya Tanzania. Kama mikakati ikiwekwa hasa katika sekta ya Utalii na Wiwanda. Ndege zitatua tu hata kama Raisi wa Sasa Hatokuwepo Madarakani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha uongo mdugu mgodi mkubwa kuliko GGM acha utani basi sisi sio mafala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…