UCHAMBUZI: Hesabu za Kura 32.7M na Dakika 540 Zinakwama Wapi Kimahesabu?

Pascal Mayalla ndugu tupe na wewe uchambuzi wako kama huu alafu tuangalie nani yuko sahihi nani kakosea....

Vitu kama hivi ndio husababisha mama kupandwa na hasira na kufanya hayo aliyoyafanya ....
 
Hiyo mbwinu hata Mexico wangehitaji wajifunze bongo.
 

Attachments

  • Switch ya Fundi Mwambe.mp4
    13.1 MB
Kwanza tuanze kuachana na kupiga kura kwenye masanduku tupige kura kiteknolojia mtu hata akiwa nyumbani na simu yake anapiga kura inatengenezwa system ya mtu kutorudia kura ukijaza namba ya kitambulisho chako basi hairuhusu kurudia kura Kisha Tume wanakuwa wazi kila mtu anauwezo wa kuona Idadi ya kura kila Moja ikiongezeka watu woote wanaoba Moja imeongezeka ya mtu fulani ikibidi ioneshe kura umetoka wapi lakini tume wanakuwa na access ya kutambua mpigaji wa kura ni nani anaishi wapi n.k ...nafikiria sijui km wanasiasa wa vyama wataweza kukubali kuwe na kitu km Hicho
 
Kuna watu Mwaka 2022 hawakufikisha miaka 18, Mwaka 2024 tayari walifikisha miaka 18.
Forgery ya data ndiyo iliyotumika.
Si mmegomà Kupiga kura. Basi formula inatengenezwa ya ku-raise voters, àmbayo inamfeva mtetea kiti cha Urais.
 
usitufokee kwa kutumia x kwenye s halafu mbona hata Gen Z hawatumii Safi ila natumain nimeeleweka af punguza hasira mkuu
 
Naam Sio rahisi wao kukubaliana na Maendeleo hayo lakini akipatikana RAIS mwenye upeo Mkubwa tu anayeelewa nini maana ya mabadiliko na Dunia ilipofikia kwa sasa Basi mchezo umekwisha na Wengine wote watafata tu kama ilivyo Desturi ya nchi yetu.

Haiwezekani eti kwingineko tu spend Trillions of money halafu kwenye suala la kumweka kiongozi mkuu wa nchi tuchelee kufany mabadiliko ya teknolojia ya kisasa tena yenye Haki na Usawa kwa wote kumpata kiongozi huyo.

Kuna mambo ni lazima tu ifike mahala yabadilike Mf. Haiwezekani Dunia hii ya Science and Technology na Mambo ya AI halafu eti unasema Criteria ya kumpata Mbunge wa kuwasemea wananchi bungeni, kutunga sheria na kuisimamia Serikali eti ni Ajue tu kusoma na Kuandika.... 🤣🤣

LAZIMA TU TUBADILIKE LAA SIVYO TUTAACHWA NA MUDA.
 
Technology itaondoa Mambo Fulani ambayo waliopo kwenye power ni beneficiaries so hawataweza kuruhusu Iko Kwa sasa
 
Hii kukubali ni ngumu hasa kwa wale wapikaji. Kuna watu watashindwa mapema sana na hawataamini.
 
Sasa kama jina na picha ya mo salah ilionekana katika list ya wapiga kura uko Cameroon, unashangaa nini? This is Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…