Uchambuzi: Hivi ndivyo kesi ya Yanga na TFF itavyokuwa huko CAS

Uchambuzi: Hivi ndivyo kesi ya Yanga na TFF itavyokuwa huko CAS

TFF: Hakuna mahali ambapo nimesema nilitumia hivyo vifungu.
By the way, CAS ni mahakama, na mahakama yoyote huwa haiulizi maswali bali huwa inasikiliza hoja kutoka upande wa mashtaka na upande wa utetezi. Tunajua Yanga hawana mwanasheria mzuri, lakini alitakiwa yeye ndio awe anatuhoji hivyo hivyo na upungufu wake. CAS inatakiwa ione kama kuna hoja au la kutokana na maswali yake sambamba na majibu yetu
Yanga: sasa uliposema kuwa mmetumia kanuni 34-(1.3) na 34-(2) ulikuwa unamaanisha vifungu vipi vya hiyi kanuni tofauti na hivi vilivyoanishwa?
CAS: mbona TFF mnajichanganya wenyewe umesema kanuni namba 34 (1.3) na 34 (2) halafu unaulizwa maswali kulingana na yanayosema katika vipengele vilivyopo kwenye hizo kanuni unakuja kuvikataa. Je mlikuwa mmelewa siku hiyo?
 
HII KESI YA YANGA NA TFF ITAKAVYOKUWA KWENYE MAHAKAMA YA SOKA CAS.

Kwa utaalamu wangu wa Sheria kutoka chuo Bora MZUMBE UNIVERSITY ( Harvard of Africa)

CAS: Tumepokea malalamika kutoka Yanga SC dhidi yenu kwa kuailisha mechi kati ya Yanga Sc na Simba SC bila kufuata taratibu na kanuni zenu! Ebu tuambie ilikuaje?

TFF: Ni kweli tulifanya hivyo baada ya kupokea malalamiko kutoka Simba Sc kwamba walinyimwa haki yao ya kufanya mazoezi kwenye uwanja husika siku moja kabla.

YANGA SC: Iambie mahakama ni nani aliwanyima haki yao ya kufanya mazoezi?

TFF: Walisema ni Mabaunsa wa Yanga SC ndio waliwazuia kufanya mazoezi ya mwisho.

CAS: Hawa Mabaunsa ni akina nani kwenye club yenu?

YANGA SC: Hata sisi tunashangaa kutuhusisha sisi na Mabaunsa, maana katika muundo wa timu yetu hatuna waajiliwa wanaitwa Mabaunsa hata TFF wenyewe wanajua!

TFF: Sisi tuliambiwa na Simba SC kwamba tumezuiliwa na Mabaunsa wa Yanga SC sisi hatujui lolote kuhusu Mabaunsa.

YANGA SC: Je kanuni zetu zinasemaje kuhusu team mgeni kupata haki yake ya kufanya mazoezi siku moja kabla?

CAS: TFF jibu swali hilo!

TFF: Kanuni zetu zinasema timu mgeni inatakiwa iwasiliane na timu mwenyeji pamoja na kamisaa wa mchezo ili wapate kibali cha kuingia uwanjani.

CAS: Je Simba Sc walifanya hivyo?

TFF: Hapana hawakufanya hivyo walijiendea wenyewe tu bila kutoa taarifa.

CAS: Sasa hiyo haki wanayolilia ni ipi wakati hawakufuata utaratibu?

TFF: oooh! ooh! hata sisi tulipata kigugumizi kuamua jambo lao mwisho wa siku tukafanya busara tu.

CAS: Kulingana na kanuni zenu Simba Sc wapo sahihi kugoma kuingia uwanjani?

TFF: Hapana! Walitakiwa wacheze alafu baada ya mechi ndio suala lao lifanyiwe uchunguzi na kushughulikiwa kwa kuiadhibu timu mwenyeji kama wamehusika na kosa hilo.

YANGA SC: Iambie mahakama mliahilisha mechi kwa kutumia kanuni zipi?

TFF: Hakuna kanuni tuliyotumia bali tulitumia busara tu ili kuweka mambo sawa.

CAS: Mpira unaongozwa na kanuni hiyo busara imetoka wapi?

TFF: Ooh! ooh! hapo tulikosea!

CAS: Ni adhabu ipi inapewa timu inayogoma kuingia uwanjani?

TFF: Kupokwa points 15, faini

At the end Yanga atashinda View attachment 3267562

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Na huyo Mwanasheria wa Yanga ni nani? Maana Morrison alijisimamia mwenyewe kwenye kesi dhidi ya Yanga na akashinda! Ahahahahaha!!
 
Back
Top Bottom