Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #341
Hata anayekiongoza Chama cha Mapinduzi huwa anaandikiwa speech. Je huwa anazisoma na kuzielezea kwa lugha fasaha, weredi na utulivu kama alivyofanya Lissu?A written speech cannot say the suitability of a person.