Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Sawa Bashiru Ally...... Wew huna lolote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia atueleze huo ujamaa umeshawahi saidia nchi gan na gan ..Hivi huo "UJAMAA WA KIAFRIKA" ndiyo upi huo?
Ukipata nafasi hebu naomba nielimishe kidogo...
Unapochambua hoja za kisiasa unatazama Uhalisia wa Sera zinazotazamiwa kuongoza DIRA na MWELEKEO wa Taifa Katika muda husika! Huhitaji kuandika gazeti au vipengele vya hotuba ilichukua masaa matatu kuelezea. Binafsi yangu, hotuba nzima sikuona jipya ambalo Mkapa na Kikwete hawakufanya. Kwa ujumla JK kwa nia nzuri kabisa alitoa nafuu ya kodi kwa Wawekezaji wa nje miaka mitano bila kulipa. zana na vitendea kazi za Ujenzi na Uendeshaji bure, vibali vya kazi vikatoka kama uyoga lakini matokeo yake Ufisadi ulikuwa mkubwa. Nini najaribu kujenga hapa? Ni kwamba Maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe.Mzee Mkandala, huo ni uchambuzi maoni au ni maoni yako madogo kwenye hotuba...!!?
😁😁😁😁😁
Ujamaa, baki nao nyumbani kwako mkuu, kenya mbona hawana mlengo huo ,na wametuzidi kila kitu, na Kama ndo ulikua msimamo wa mwendazake amefanya nini, Kama sio kaacha wananchi wanakufa njaa, Yani uje na ujamaa wakati wewe na watu WAKO mnaishi Kama mpo peponi, pelekeni ujamaa wenu huko,Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku ya leo tutasikia SIFA kemkem za mafuta ya tin na zaitun zitamiminika kupamba na kusifia hotuba ya rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa sababu imewagusa watu wote katika mazingira tofauti katika mwelekeo mpya wa dira ya Awamu hii ya sita ikitekeleza kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
Mimi binafsi, niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa sii mshabiki wa rais Mama Samia Suluhu Hassan toka hotuba yake ya kwanza alipo apishwa kama rais wa Awamu ya sita. Huu ndio ukweli wangu! Na sababu zangu ni ndogo kabisa, nilimsoma toka mwanzo mwelekeo na Dira yake Kitaifa, dira ambayo Kiitikadi, mimi sii muumini wake na hupingana na nadharia zinazofungamana zaidi na UBEPARI badala ya UJAMAA wa Mwafrika.
Hivyo unaponisoma hapa ni muhimu Uzingatie kuwa mimi ni muumini wa UJAMAA wa Mwafrika na naamini Maendeleo ya Tanzania yataletwa na WATANZANIA wenyewe badala ya WAWEKEZAJI kutoka nje. Imani ya kwamba maendeleo yetu yanahitaji kuweka masharti rahisi ili kuvutia Wawekezaji ni sawa na fikra za.Kitumwa za Mababu zetu walokubali kupewa na wakoloni Shanga na vilemba ili tupendeze huku wagenu wakiondoka na madini mali ghafi na nyara zetu za Kitaifa.
Niseme wazi kwamba binafsi yangu naiona tofauti kubwa sana baina ya Hayati rais wa awamu ya Tani John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan na kwamba hawa sii kitu kimoja hata kidogo. Tofauti zinazotokana na ahadi za mabadiriko makubwa ya SERA na SHERIA ambazo Chama cha Mapinduzi na Hayati Magufuli walizitumia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi wa mwaka 2020. Niseme kwa nini nasema hivi?
Haina Shqka kabisa, Hayati Magufuli alikuwa rais anayepigania maslahi ya Wananchi Wanyonge kwa maana ya Watanzania Maskini dhidi ya Wawekezaji Mabeberu tofauti kabisa na Dira na Mwelekeo wa Mama Samia anayetazama zaidi viwashwishi kwa maslahi ya WAWEKEZAJI pamoja na dhana ya UKUONGEZA UZALISHAJI wa Mazao kwa WINGI zaidi (Quantity) badala ya fikra za Magufuli kudhamiria Kuanzisha viwanda vya ndani ili Kuongeza thamani ya Mazao yetu ya Asili yalokuwa BORA zaidi (Quality).
Nimalizie tu kwa kusema, rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan awe makini sana na dhana hizi, kwani hatukuanza jana wala juzi. Tulifuata mrengo ule toka wakati wa Rais Ally Hassan Mwinyi, akaja Mh. Benjamin Mkapa na Mwishowe mstaafu Jakaya Kikwete, na kote huko nyuma tulifanya makosa mengi sana kwa dhana ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Biashara. Matokeo yake tukaunda Matabaka ya Walionacho na wasiona nacho baina ya Wainanchi wenyewe. Ndipo Ufisadi na rushwa viliposhamiri kwani hapana alotaka kubakia katika kundi la wasionacho (Maskini)
Maoni ya rais kuhusu matumizi ya mbinu za kisasa katika Kilimo, kuna hatari kubwa ya nchi yetu kurudi kutawaliwa tena Kiuchumi kutokana na ujio wa mbegu za maabara ambazo zitaondoa kabisa rutuba ya Ardhi yetu, ubora wa mbegu zetu (Organic) na kubwa zaidi kumikilisha Mashirika ya nje nguzo za Uchumi wetu Kitaifa.
Maasalaam,
- Ramadhan Kareem
Una waza kizamani bado, wajamaa akil zenu ni stugnant sana haziji-update kadri dunia inavyobadilika..Unapochambua hoja za kisiasa unatazama Uhalisia wa Sera zinazotazamiwa kuongoza DIRA na MWELEKEO wa Taifa Katika muda husika! Huhitaji kuandika gazeti au vipengele vya hotuba ilichukua masaa matatu kuelezea. Binafsi yangu, hotuba nzima sikuona jipya ambalo Mkapa na Kikwete hawakufanya. Kwa ujumla JK kwa nia nzuri kabisa alitoa nafuu ya kodi kwa Wawekezaji wa nje miaka mitano bila kulipa. zana na vitendea kazi za Ujenzi na Uendeshaji bure, vibali vya kazi vikatoka kama uyoga lakini matokeo yake Ufisadi ulikuwa mkubwa. Nini najaribu kujenga hapa? Ni kwamba Maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe.
Serikali zote za Ulaya na Amerika zimeweza kutokana na pato la Kodi kwa kuwezesha raia wao. Ubepari ni mfumo ulotangulia kabla ya soko huria ambao msingi wake ulikuwa CHUMA NJE leta Mafanikio yako nyumbani. Na ndio Utajiri wa nchi hizo ulipoanzia. Sisi kama Mabepari tutachuma wapi na kuleta nyumbani. Aidha mfumo ulofuata baada ya wao kujenga viwanda ni Soko huria! Yaani wamepanua sasa soko lao na mahitaji waweze kuuza bidhaa zao mahala popote Duniani. Sisi tutauza wapi ikiwa hatuna viwanda vyetu wenyewe? Atakaye jenga Kiwanda Tanzania atasaidia Ajira na huyo raia ndiye atakuwa mlipa kodi wakati Mwekezaji akipeleka mavuno yake kwao Ulaya. Tumewaona kina Acacia na Symbion, je bado hatujapata somo?
Jamani Mchina ajenge bandari ya Bagamoyo kweli? Kama tumeweza.kujenga Hydro sisi wenyewe tunashindwa kipi kujenga Bandari? Let people pay tax hili sii swala la Hiyari bali mandatory na halihitaji ku negotiate. Je, ikiwa rais ana bishara zake nani ataweza kuzungumza naye kuhusu kodi? Tuwaache TRA wafanye kazi zao kiutaalam. Hukulipa.kodi miaka 5 au 10 iliyopita, ni nafuu zipi zitamfanya aanze kulipa kodi kesho? Just common sense haihitaji digrii..
Nakubaliana na mengi, lakini la mwisho siyo kweli. China haijaendelea kwa mitaji ya nje, ila imeendelea kwa kuwapeleka wachina wengi nje na kurudi kuendesha gurudumu la maendeleo. Wachina maelfu na malaki wamesoma USA, Ujermani, Ufaransa, Urusssi, na Ulaya yote. Wengi wao walibaki wakifanya kazi huko na baada ya miaka waliondoka na teknolojia ambayo wameitumia kwao kuirusha China kimaendeleo.
katika miaka ya 90 Cgina ilikuwa na tenda ya kununua skrepa za computer za jeshi (USA). Waamerika hawakutambua kuwa wao walikuwa wanaenda kuzusambaratisha na kuiba siri za teknoljia kutoka hard drve. Walikujatambua wachina wameishaiba siri nyingi, ndiyo maana China
"China tunayoinoa imekua kwa uwekezaji kutoka ulaya na kujifunza maarifa kutoka ulaya"
hapo mwisho niliandika hivyo nikimaanisha walichota maarifa kutoka ulaya na america kwa maana ya kujifunza kama ulivyosema walipeleka watu wengi kusoma huko na kurudi china ndio maana ya maarifa..
Makampuni mengi kutoka Ulaya na America yalikwenda kuwekeza China yakifuata cheap skilled labor force, cheap raw materials na market force ya China....hapa kuna makampuni kama Apple, Nike, Cocacola, IBM, Microsoft, Siemens, Boeng, Wartsila nk....hii yote ni mitaji kutoka ulaya na America...
Lakini Hayati rais Magufuli na mwelekeo mpya wa CCM tumeona mafanikio ya Ujamaa. Sisi wenyewe tuliishi Kijamaa zamani. Ukienda Ulaya unamwezesha rafiki yako naye kuondoka ama kufungua Biashara. Hivi mnadhani wazee wetu waliwezaje kujenga, kumiliki ardhi na maashamba tunayorithi leo hii? Wewe una kipi cha kumuachia mwanao kama sio kusema mwangu Soma na wewe katafuta zako!Na mimi nadharia za kijamaa huwa sisomi kabisa maana ni kama uchuro wa kuabudu umaskini
Mimi sioni kama ni uchambuzi huru, ila umetoa maoni yako, na yapaswa kuheshimiwa.Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku ya leo tutasikia SIFA kemkem za mafuta ya tin na zaitun zitamiminika kupamba na kusifia hotuba ya rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa sababu imewagusa watu wote katika mazingira tofauti katika mwelekeo mpya wa dira ya Awamu hii ya sita ikitekeleza kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
Mimi binafsi, niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa sii mshabiki wa rais Mama Samia Suluhu Hassan toka hotuba yake ya kwanza alipo apishwa kama rais wa Awamu ya sita. Huu ndio ukweli wangu! Na sababu zangu ni ndogo kabisa, nilimsoma toka mwanzo mwelekeo na Dira yake Kitaifa, dira ambayo Kiitikadi, mimi sii muumini wake na hupingana na nadharia zinazofungamana zaidi na UBEPARI badala ya UJAMAA wa Mwafrika.
Hivyo unaponisoma hapa ni muhimu Uzingatie kuwa mimi ni muumini wa UJAMAA wa Mwafrika na naamini Maendeleo ya Tanzania yataletwa na WATANZANIA wenyewe badala ya WAWEKEZAJI kutoka nje. Imani ya kwamba maendeleo yetu yanahitaji kuweka masharti rahisi ili kuvutia Wawekezaji ni sawa na fikra za.Kitumwa za Mababu zetu walokubali kupewa na wakoloni Shanga na vilemba ili tupendeze huku wagenu wakiondoka na madini mali ghafi na nyara zetu za Kitaifa.
Niseme wazi kwamba binafsi yangu naiona tofauti kubwa sana baina ya Hayati rais wa awamu ya Tani John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan na kwamba hawa sii kitu kimoja hata kidogo. Tofauti zinazotokana na ahadi za mabadiriko makubwa ya SERA na SHERIA ambazo Chama cha Mapinduzi na Hayati Magufuli walizitumia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi wa mwaka 2020. Niseme kwa nini nasema hivi?
Haina Shqka kabisa, Hayati Magufuli alikuwa rais anayepigania maslahi ya Wananchi Wanyonge kwa maana ya Watanzania Maskini dhidi ya Wawekezaji Mabeberu tofauti kabisa na Dira na Mwelekeo wa Mama Samia anayetazama zaidi viwashwishi kwa maslahi ya WAWEKEZAJI pamoja na dhana ya UKUONGEZA UZALISHAJI wa Mazao kwa WINGI zaidi (Quantity) badala ya fikra za Magufuli kudhamiria Kuanzisha viwanda vya ndani ili Kuongeza thamani ya Mazao yetu ya Asili yalokuwa BORA zaidi (Quality).
Nimalizie tu kwa kusema, rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan awe makini sana na dhana hizi, kwani hatukuanza jana wala juzi. Tulifuata mrengo ule toka wakati wa Rais Ally Hassan Mwinyi, akaja Mh. Benjamin Mkapa na Mwishowe mstaafu Jakaya Kikwete, na kote huko nyuma tulifanya makosa mengi sana kwa dhana ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Biashara. Matokeo yake tukaunda Matabaka ya Walionacho na wasiona nacho baina ya Wainanchi wenyewe. Ndipo Ufisadi na rushwa viliposhamiri kwani hapana alotaka kubakia katika kundi la wasionacho (Maskini)
Maoni ya rais kuhusu matumizi ya mbinu za kisasa katika Kilimo, kuna hatari kubwa ya nchi yetu kurudi kutawaliwa tena Kiuchumi kutokana na ujio wa mbegu za maabara ambazo zitaondoa kabisa rutuba ya Ardhi yetu, ubora wa mbegu zetu (Organic) na kubwa zaidi kumikilisha Mashirika ya nje nguzo za Uchumi wetu Kitaifa.
Maasalaam,
- Ramadhan Kareem
Mbegu za asili zipo? Kilimo cha kisasa hakiepukiki. Wawekezaji wapo sehemu zote duniani. Tunahitaji mitaji. Cha muhimu hapa ni kuhakikisha kuwa sheria nzuri zinatungwa ili wote tuweze kunufaika na uwekezaji husika!Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen.
Nina hakika siku ya leo tutasikia SIFA kemkem za mafuta ya tin na zaitun zitamiminika kupamba na kusifia hotuba ya rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa sababu imewagusa watu wote katika mazingira tofauti katika mwelekeo mpya wa dira ya Awamu hii ya sita ikitekeleza kauli mbiu ya KAZI IENDELEE.
Mimi binafsi, niseme ukweli wangu kutoka moyoni ya kuwa sii mshabiki wa rais Mama Samia Suluhu Hassan toka hotuba yake ya kwanza alipo apishwa kama rais wa Awamu ya sita. Huu ndio ukweli wangu! Na sababu zangu ni ndogo kabisa, nilimsoma toka mwanzo mwelekeo na Dira yake Kitaifa, dira ambayo Kiitikadi, mimi sii muumini wake na hupingana na nadharia zinazofungamana zaidi na UBEPARI badala ya UJAMAA wa Mwafrika.
Hivyo unaponisoma hapa ni muhimu Uzingatie kuwa mimi ni muumini wa UJAMAA wa Mwafrika na naamini Maendeleo ya Tanzania yataletwa na WATANZANIA wenyewe badala ya WAWEKEZAJI kutoka nje. Imani ya kwamba maendeleo yetu yanahitaji kuweka masharti rahisi ili kuvutia Wawekezaji ni sawa na fikra za.Kitumwa za Mababu zetu walokubali kupewa na wakoloni Shanga na vilemba ili tupendeze huku wagenu wakiondoka na madini mali ghafi na nyara zetu za Kitaifa.
Niseme wazi kwamba binafsi yangu naiona tofauti kubwa sana baina ya Hayati rais wa awamu ya Tani John Pombe Magufuli na Mama Samia Suluhu Hassan na kwamba hawa sii kitu kimoja hata kidogo. Tofauti zinazotokana na ahadi za mabadiriko makubwa ya SERA na SHERIA ambazo Chama cha Mapinduzi na Hayati Magufuli walizitumia kupata ushindi mkubwa katika Uchaguzi wa mwaka 2020. Niseme kwa nini nasema hivi?
Haina Shqka kabisa, Hayati Magufuli alikuwa rais anayepigania maslahi ya Wananchi Wanyonge kwa maana ya Watanzania Maskini dhidi ya Wawekezaji Mabeberu tofauti kabisa na Dira na Mwelekeo wa Mama Samia anayetazama zaidi viwashwishi kwa maslahi ya WAWEKEZAJI pamoja na dhana ya UKUONGEZA UZALISHAJI wa Mazao kwa WINGI zaidi (Quantity) badala ya fikra za Magufuli kudhamiria Kuanzisha viwanda vya ndani ili Kuongeza thamani ya Mazao yetu ya Asili yalokuwa BORA zaidi (Quality).
Nimalizie tu kwa kusema, rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan awe makini sana na dhana hizi, kwani hatukuanza jana wala juzi. Tulifuata mrengo ule toka wakati wa Rais Ally Hassan Mwinyi, akaja Mh. Benjamin Mkapa na Mwishowe mstaafu Jakaya Kikwete, na kote huko nyuma tulifanya makosa mengi sana kwa dhana ya Ushirikiano wa Kimataifa katika Biashara. Matokeo yake tukaunda Matabaka ya Walionacho na wasiona nacho baina ya Wainanchi wenyewe. Ndipo Ufisadi na rushwa viliposhamiri kwani hapana alotaka kubakia katika kundi la wasionacho (Maskini)
Maoni ya rais kuhusu matumizi ya mbinu za kisasa katika Kilimo, kuna hatari kubwa ya nchi yetu kurudi kutawaliwa tena Kiuchumi kutokana na ujio wa mbegu za maabara ambazo zitaondoa kabisa rutuba ya Ardhi yetu, ubora wa mbegu zetu (Organic) na kubwa zaidi kumikilisha Mashirika ya nje nguzo za Uchumi wetu Kitaifa.
Maasalaam,
- Ramadhan Kareem
Mkuu huyu ni Luuufufuuuuuu!!!Mkuu wewe ni yule Rufufu Mkandara mchambua mikanda ya video? Yaani hapa ndio umechambua hotuba ya Rais Samia? Haki ya nani Kanda ya Ziwa inatapatapa!! Uliposikia anasema kuongeza uzalishaji wewe ukenda kwenye GMO? Mbona mama alikuwa wazi kabisa kwamba wataiongezea uwezo (mtaji) ASA ili izalishe mbegu za kutosha kuliko kutegemea mbegu za kutoka nje! ASA haizalishi GMO mkuu! Naona mnahaha!!
Kwakweli Hapo umegongelea penyewe kabisa, kama ulivyosema, tuliokuwa na miongo 3 , ya haya mambo ya kuvutia wawekezaje toka wakati wa Mzee Ruksa, Akaja wa uwazi na ukweli, na Baadaye Ari na kasi mpya, na huko kote tunaona kutolipwa kwa kodi kwa njia mbali mbali na uwekezaji wa fdi foreign direct investment , ambao madhara yake. Tuliyaona, JPM hakukurupuka tu kutumia hizo hatua kuthibiti hali iliyokuwepo , hivyo kwa wengine wanaofuata bila kujua kwanini hatua hizi zilichukuliwa na mtangulizi wake na nini cha kufanya sasa tutarudi miaka 30 nyuma tena, na muda huo hatunaUnapochambua hoja za kisiasa unatazama Uhalisia wa Sera zinazotazamiwa kuongoza DIRA na MWELEKEO wa Taifa Katika muda husika! Huhitaji kuandika gazeti au vipengele vya hotuba ilichukua masaa matatu kuelezea. Binafsi yangu, hotuba nzima sikuona jipya ambalo Mkapa na Kikwete hawakufanya. Kwa ujumla JK kwa nia nzuri kabisa alitoa nafuu ya kodi kwa Wawekezaji wa nje miaka mitano bila kulipa. zana na vitendea kazi za Ujenzi na Uendeshaji bure, vibali vya kazi vikatoka kama uyoga lakini matokeo yake Ufisadi ulikuwa mkubwa. Nini najaribu kujenga hapa? Ni kwamba Maendeleo ya Tanzania yataletwa na Watanzania wenyewe.
Serikali zote za Ulaya na Amerika zimeweza kutokana na pato la Kodi kwa kuwezesha raia wao. Ubepari ni mfumo ulotangulia kabla ya soko huria ambao msingi wake ulikuwa CHUMA NJE leta Mafanikio yako nyumbani. Na ndio Utajiri wa nchi hizo ulipoanzia. Sisi kama Mabepari tutachuma wapi na kuleta nyumbani. Aidha mfumo ulofuata baada ya wao kujenga viwanda ni Soko huria! Yaani wamepanua sasa soko lao na mahitaji waweze kuuza bidhaa zao mahala popote Duniani. Sisi tutauza wapi ikiwa hatuna viwanda vyetu wenyewe? Atakaye jenga Kiwanda Tanzania atasaidia Ajira na huyo raia ndiye atakuwa mlipa kodi wakati Mwekezaji akipeleka mavuno yake kwao Ulaya. Tumewaona kina Acacia na Symbion, je bado hatujapata somo?
Jamani Mchina ajenge bandari ya Bagamoyo kweli? Kama tumeweza.kujenga Hydro sisi wenyewe tunashindwa kipi kujenga Bandari? Let people pay tax hili sii swala la Hiyari bali mandatory na halihitaji ku negotiate. Je, ikiwa rais ana bishara zake nani ataweza kuzungumza naye kuhusu kodi? Tuwaache TRA wafanye kazi zao kiutaalam. Hukulipa.kodi miaka 5 au 10 iliyopita, ni nafuu zipi zitamfanya aanze kulipa kodi kesho? Just common sense haihitaji digrii..
Labda kamaanisha " mfano mbaya"!Kweli; "rais wa mfano"?
Angeweza sana kuwa rais wa mfano bila ukandamizaji na kuminya haki za watu.
Utawezaje kuongeza mazao ya mbegu pasipo kupitia maabara? Utawezaje kuongeza uzaliahaji wa.maziwa ya ng'ombe pasipo maabara? Hivi GMO wewe unaielewaje? Neno modified lina maana gani mkuu?Mkuu wewe ni yule Rufufu Mkandara mchambua mikanda ya video? Yaani hapa ndio umechambua hotuba ya Rais Samia? Haki ya nani Kanda ya Ziwa inatapatapa!! Uliposikia anasema kuongeza uzalishaji wewe ukenda kwenye GMO? Mbona mama alikuwa wazi kabisa kwamba wataiongezea uwezo (mtaji) ASA ili izalishe mbegu za kutosha kuliko kutegemea mbegu za kutoka nje! ASA haizalishi GMO mkuu! Naona mnahaha!!
Para mbili zilizobeba ujumbe mzito sana. Mwekezaji aje toka nje, apewe misamaha ya kodi na kuja na manpower toka nje; sisi kama taifa tutafaidika vipi na huo uwekezaji?Faida kubwa za wawezaji huwa ni mbili tu: Walipe kodi serikalini, halafu watoe ajira kwa watanzania. Unapokuwa sera zinazotoa tax holiday kwa wawekezaji halafu zinawaruhusu kuleta wafanyakazi kutoka nje, ujue huna sera hapo.
Sera za China zilikuwa hivyo kuwa unawekeza lakini wafanyakazi watakuwa ni wachina, na uwafundishe kufanya kazi hizo.