Uchambuzi huru: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya Aprili 22, 2021

Nakubaliana nawe mkuu.

"Win-win situation " ikifanyika kwa kificho kama ilivyozoeleka wakati fulani hapo nyuma kwa wahusika kusainisha mikata hotelini-London ikihusisha wachache tu lazima tupigwe tena.

Mchakato wa mikataba iridhiwe na bunge baada ya kujadiliwa kwa uwazi kwa maslahi mapana ya taifa na si kwa hati ya dharura bila shaka keki ya taifa tutaifaidi sote...
 
Daaah Uzuri hiyo ni hadithi japo inafikirisha! Ukweli unabakia Ukisha umwa na nyoka kuogopa majani yakikugusa sii kosa! Tembea sehemu za wazi zaidi kulizo zenye kiza na majani..
Magufuli na vibaraka wake wamewakapiga sana watu kwa style hiyo ya kujifanya vinara wa kukemea rushwa.
 
Magufuli na vibaraka wake wamewakapiga sana watu kwa style hiyo ya kujifanya vinara wa kukemea rushwa

Magufuli na vibaraka wake wamewakapiga sana watu kwa style hiyo ya kujifanya vinara wa kukemea rushwa.
Hahahaha, Unasoma sana hadithi za Mitandaoni. Kuna wakati watu wamepigwa kwa kukemea Rushwa kama wakati wa nyuma? Utake usitake utatoa rushwa kataa utalala ndani, mtaani mpaka Mgambo walikuwa na nguvu mtaani. Au mmesahau? Oooh yawezeka mwenzangu wa Masaki ndio maana huyajui haya!
 
Mimi naongelea grand corruption kwenye mikataba ya kimataifa huko, si rushwa ya kushikwa na ndata kuwadakisha buku mbili wakuachie wasikulaze polisi.

Hebu tujaribu kutofautisha mambo kwa level zake.

Hizo rushwa za kuwapa polisi Magufuli alizihalalisha kama ni hela za ku brush viatu tu kwa trafiki.
 
Mkuu kwa hali halisi nchi yetu ina rasilimali nyingi sana tunakwama kwenye capital na technology yetu bado ipo chini lazima tukubali wenye mitaji waje ili tufanikishe uchumi wetu ufike mbali na ninapsema wenye mitaji njoo nyamongo uone uwekezaji uliofanywa na BARRICK GOLD MINING na uone jinsi maelelfu ya watanzania wanavyonufaika kwa ajira na kufanya biashara ndani na nje ya mgodi,Mama yetu anajua nini anafanya tuwe wavumilivu kidogo matunda tutayaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…