Vichekesho Member Joined Jun 20, 2024 Posts 66 Reaction score 3,277 Sep 30, 2024 #1 Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. View: https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
Ukiondoa itikadi za dini na mihemko, huu uchambuzi uliofanywa na kituo cha SNS unatoa mwanga halisi wa kinacho endelea. Bigup kwa huyu ostadh ambaye anajadili facts sio zile story za vijiweni za akina Ritz na FaizaFoxy Karibuni. View: https://youtu.be/Fi1gKQxxBJw?si=YqdIVGOKsjvGAkpi
Morogoro kaskazini JF-Expert Member Joined Jul 5, 2020 Posts 2,392 Reaction score 9,187 Sep 30, 2024 #2 Watu wanataka mateka warudishwe
millerson JF-Expert Member Joined Aug 5, 2022 Posts 606 Reaction score 1,651 Sep 30, 2024 #3 Mbona kama uchambuzi wa man u na spurs