Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?

Uchambuzi: Huyu Amaleki anayezungumziwa na Askofu Gwajima ni nani?

Kama ni msomaji wa biblia hakuna cha kushangaza na kujiuliza!
Kasome tena biblia yako!
Lakini pia kama Upo mwilini zaidi huwezi kumuelewa!


Biblia nimeisoma yote zaidi ya mara nne.
Nimeichambua kuniambia nikasome tena sijui unataka nikatafute nini
 
Watu wapotoshaji Sana,gwajima hajaanza Leo kuwa na masomo yenye heading ya namna hiyo,hata 2019 alikuwa na maombi ya namna hii yenye title hiyo ingia u tube utayakuta,lakini pia mfungo huu alitangaza jpl iliyopita kama maandalizi ya kufunga Mwaka.
 
Ukisoma kitabu chochote ili ukielewe usikisome Kwa hisia, soma Kwa akili.
Usikisome Kwa mapenzi, soma Kwa tafakuri.

Usisome biblia Kwa Imani
Soma Kama mwanafasihi na mwanafalsafa utakuwa huru kweli kweli.


Karibu sana
Wewe jamaa nakili wazi kua wewe ni Great thinker!
Kongole Sana nimekuelewa Sana hapa Mkuu,
Kila mwenye kusoma na aelewe!
 
Temea mate chini. Usimdhihaki Mungu. Kwanini hamtaki kujifunza kwa Mwendazake akiyeidhihaki korona kisha ikamuondoa?
Corona mtaani hamna,hio omicron na corona ipo kwenye mitandao ikisifiwa sana na wanasiasa na watu maarufu kua inaua sana ila mtaani haipo watu wanapiga maisha kawaida.

Mtapigwa booster mpk akili ziwakae sawa, mkija kushtuka baadhi ya viungo vyenu havifanyi kazi.
 
Asante kwa historia nzuri ya hao jamaa kibiblia. Nakupongeza pia kusema wewe wamchukukia Gwajima kama Mwalimu tu, huenda upo sahihi nami naamini hivyo lkn pia ni kiongozi mwenye watu. Akisema wote humwamini 100% tofauti nawe nami pia. Hivyo nafikiri ameruhusiwa kufunga hadi sasa kwa kuwa sijasikia katazo lolote la mamlaka kumzuia asifunge.
Binafsi napata nashindwa pata tafsiri nzuri, japo nahisi habari za kuhojiwa yeye na wenzake sijui ni jana au Leo imepekea yeye kufunga ili awe kidedea. Naamini kesho atasema matokeo ya mfungo wake pale kanisani kwake.
Ulitarajia katazo gani kwa mfano. Wale hawavai matisheti kama ya ukawa.
 
View attachment 2048875
Mheshimiwa Gwajima pichani hana jipya katika hili; kama watu wengi wanavyofikiri ukisoma maoni yao katika mitandao ya jamii ! Bila shaka hii ni sehemu ya mahubiri kwa watu wake ya kawaida katika kuwafundisha jinsi ya kupambana adui yao, anaitwa mfalme wa anga na wasaidizi wake kama ilivyoandikwa katika WAEFESO 6:10-13 😵
Mtu asiwe na jipya na tunamjua waTanzania karibu wote,wewe hatukujui,yamkini hata balozi wako wa mtaa jakujui,Gwajima ana wafuasi zaidi ya elf3

Wewe uko hapa JF unapoyonga halafu unasema hana jipya
 
Back
Top Bottom