Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Gwajima asome alama za nyakati aachane na siasa, aendelee kudanganya wafuasi wake kuwa anafufua misukule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo tapeli ndio aliyemwambia Lisu kesho atapigwa lisasi akasema kama wewe huo ni uongo.Maombi uchwara kutoka kwa mchungaji tapeli hayatofanikiwa kamwe!
Si anasema anafufua watu mbona hakukifufua chuma chake kile cha Chato?
Watanzania waliomba baada ya ujinga mkuu wa 2020 na hii haitowaacha salama lazima masterminds wa ule ujinga waishe wote tuwe na clean generation ndio wafikirie kuomba maombi.
Otherwise huyo mama na wengineo wote ni zao la ule uchafuzi mkuu na hawana pa kukwepea kuhusu hilo
Wanakufa wote waliokuwa wamefunga safety belts akapona mmoja ambaye alikuwa hajafunga kwenye basi; mimi sijawahi kusikia.Au wanakufa wote anapona mmoja?
Wote nyie ni wapuuzi pamoja na gwajiboyUCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA?
Anaandika, Robert Heriel.
Leo ni Sabato, nitazungumza Kwa uchache Sana nisichoshe watu. Ingawaje napendelea maandiko marefu mno.
Tumesikia kuna Mfungo wa Masaa 72 yakumtoa Amalek katika Nchi, mfungo huo umehusishwa na Gwajima, yaweza kuwa kweli au Laa! Sipo hapa kuelezea ukweli au uongo wa Jambo hili bali nipo hapa kumuelezea AMALEK Kwa wale wasiomfahamu.
Nitaelezea Kwa ufupi na Kama kuna sehemu muhimu nitakuwa nimeiacha basi wengine wataongezea. Na Kama utakuwa na swali basi nitakuwa hapa kujibu Kwa siku ya leo kabla jua halijachwea Magharibi.
AMALEK NI NANI?
Kihistoria hasa historia ya kiyahudi ambayo sehemu kubwa ipo kwenye Biblia imemtaja Amalek.
Amalek ni mtu lakini pia ni Kabila/taifa.
Amalek kulingana na Biblia ni mjukuu wa Esau/Edomu ambaye alizaliwa na mtoto wa Kwanza wa Esau aitwaye Elifazi.
Kwa ambao hawamjui Esau,
Huyu ni Yule Kaka yake na Yakobo/Israel waliozaliwa na Isaka mwana wa Ibrahimu.
Hivyo Isaka alizaa watoto wawili mashuhuri ingawaje wapo wengine; Yakobo ambaye ndiye Israel Baba wa taifa la Israel mpaka hivi leo, Kaka yake Esau ambaye ni Edomu Baba WA taifa la Waedomu mpaka hivi leo.
Israel maana yake ni aliyepigana na MUNGU.
Wakati Edomu maana yake ikiwa mwekundu wa ngozi kutokana na kuwa Esau alikuwa na ngozi nyekundu yenye masharavu/vinyweleo vingi.
Esau akamzaa Elifazi, kisha katika majumbe/wajukuu akazaliwa Amalek Kama mjukuu wa Esau Kwa mtoto wa Kwanza aitwaye Elifazi.
Amalek ndiye Baba wa taifa la Waamalek Kama Biblia inavyoripoti.
Mpaka hapa sijui tunaenda Sawa?
Waamalek baada ya Karne nyingi kupita waliweka makazi Yao katika nchi ya NEGEBU ambayo kwenye Ramani ya kale IPO katikati ya nchi ya Misri na Kanaani.
Hivyo Waisrael walivyokuwa wanatoka Misri Kwa Farao kuelekea Kanaani ilikuwa lazima wapite nchi ya Waamalek naam ndiyo nchi ya Negebu. Na hapo ndipo kisa cha ugomvi baina ya Israel(watoto wa yakobo) dhidi ya Waamalek(Wajukuu wa Esau) inapoonekana kujitokeza.
Yoshua alivyowatuma wapelelezi wakaipeleleze nchi ya Kanaani, wapelelezi wanatoa ripoti Yao Kwa Joshua wakimwambia mataifa yaliyokatikati mpaka kufikia Kanaani. Waamalek, wahiti, waperezi na wengine wanatajwa katika ripoti hiyo.
Msafara wa Israel ulishambuliwa Kwa nyuma na Waamalek wakiwa wanaikaribia Kanaani kuukabili mto Yordan.
Hoja za Waisrael zinadai kuwa Waamalek waliwafanyia uhuni na ubaya kwani waliwashambulia wakiwa wamechoka na kuzimia, tena walishambulia msafara Kwa nyuma Kule walipo watu dhaifu pasipokuwa na Jeshi Imara.
Israel Kama kawaida Yao wakaliweka taifa la Amalek Kama sehemu ya mataifa adui ambayo yanapaswa yalipizwe kisasi.
Na kisasi hiki kitafanyika mara baada ya waisrael kuitawala nchi ya Kanaani na wakishapumzika vya kutosha.
Hoja ya Pili ya waisrael Kwa Waamalek ilikuwa ni kuwaona Waamalek Kama vizuizi vya kuzuia wao wasifike nchi ya Ahadi. Kumbuka Amalek IPO katikati ya Misri na Kanaani hivyo kitendo cha taifa la Amalek kupigana na Waisrael kilimaanisha hawataki watumie nchi Yao Kama njia ya kufikia Kanaani.
Kisiasa huenda Amalek walikuwa na hoja kuwa hawataki kuvunja uhusiano na taifa la Kanaani Kwa kuwaruhusu Waisrael wapite kwenye nchi Yao kwenda kuvamia taifa la Kanaani Jambo ambalo kimsingi walikuwa sahihi.
Joshua Wakristo humuona Nabii lakini kimsingi ukiangalia alibeba dhima ya kisiasa yaani Mtawala Kama alivyo Musa, na kina Daudi.
Hivyo sababu nyingi za watawala hukaa Kisiasa kuliko kiimani.
Viongozi wengi WA kiyahudi wa wakati huo walitumia zaidi propaganda hasa za kiiamani wakiziunganisha kwenye Siasa ili kuteka nyoyo za wananchi wa Israel.
Siajabu Joshua alivyotangaza kuhusu kisasi kinachotakiwa kulipwa Kwa Amalek na kum-term Amalek Kama Shetani na mtu mwenye roho ya Shetani ambaye Hana ni njema na taifa Lao ambalo wao Kwa dini zao waliliona taifa Lao Kama taifa la Mungu.
Kumbuka hata hao waamalek nao wanadini zao na Mungu wao hivyo nao walikuwa wanawa-term waisrael vivyo hivyo.
Ni kawaida kwenye Siasa kuwapa majina mabaya Wale waliokinyume na serikali iliyopo.
Majina Kama wahaini, waasi, magaidi, mashetani, makafiri na majina mengine ni kawaida sana kwenye Siasa.
Vivyo hivyo hata Waisrael katika dhima za Kisiasa waliwapa maadui zao majina hayo hayo mabaya Wale wote walioenda kinyume na taifa Lao.
Hata huyo Amalek ya taifa la Amalek ambalo Wayahudi wanamchukulia Kama Shetani na taifa Baya waliliita hivyo kutokana na tofauti zao za kimaslahi ya kisiasa.
Watu wengine walioenda kinyume na taifa la Israel ni pamoja na kina Goliath na taifa lake la Wafilisti. Huwezi muona Goliathi mbaya wakati alikuwa akilipigania taifa lake.
Goliath Kwangu au Kwa watu Kama Taikon ninamchukulia Kama mzalendo Kwa taifa lake. Hii pia niliwahi Kueleza Kwa Delilah ambaye ni shujaa Kwa taifa la Wafilisti baada ya kumshinda shujaa wa kiisrael aitwaye Samson.
Nikirejea kwenye Mada yetu!
Gwajima anataka kufunga Kwa ajili ya Amalek.
Na hapa Amalek anaweza kuwa mtu mmoja au kundi la watu kama nilivyoeleza hapo juu.
Kisa cha Israel Vs Amalek kipo Kisiasa, hakipo kiimani. Ni Ishu ya maslahi ya kisiasa.
Je Gwajima anajaribu Kueleza kuwa nchi yetu ilikuwa inaenda nchi ya ahadi ya maziwa na Asali, nchi ya Flyover, nchi ya SGR, nchi ya Mradi wa rufiji na umeme, nchi ya umeme kutokukatika, nchi ya vitu kutopanda bei, na mambo mengine mazuri na sasa yupo Amalek au waamalek wanaozuia taifa hili lisifike huko?
Je huyo ndiye amalek anayefungiwa masaa 72 ili aondolewe na kuangamizwa na Mungu?
Je Gwajima anajaribu Kueleza kuwa nchi yetu wapo watu wanaoitakia mabaya Kama vile waamalek walivyokuwa wanaitakia mabaya Waisrael?
Je Amalek au waamalek wanaozungumziwa na Gwajima ni kina Nani hasa katika nch yetu wanaopaswa kuondolewa?
Zingatia Gwajima Mimi namchukulia Kama watu wengine, sijampa nafasi ya unabii au mtume au Kuhani isipokuwa nafasi ya Ualimu tuu. Hivyo yeye Kama mwalimu Kama ninavyomchukulia anaweza akawa anahoja muhimu mbali na madhaifu yake mengine.
Ifahamike kuwa hakuna uwezekano wa kukaa majadiliano baina ya waamalek na waisrael hivyo Kwa vyovyote lazima mpambano upigwe.
Kufikia hapa sina la ziada. Kama kuna mwenye swali anaweza kuuliza. Kwa wale wajuvi zaidi wataeleza nilipoacha ikiwa kuna haja ya nyongeza.
Ni Yule Mtibeli kutoka Nyota ya Tibeli yenye mbawa mbili irukayo huku na Huku.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Goba, DAR ES SALAAM
Sasa tutaona, maana vita imefikia mahala pake , sio wengine wanazindika kwa waganga halafu wengine wanafikiria siasa ni mdomoni tu, wacha karate zichapwe hukohuko hewani, tupate majibu,Asante kwa historia nzuri ya hao jamaa kibiblia. Nakupongeza pia kusema wewe wamchukukia Gwajima kama Mwalimu tu, huenda upo sahihi nami naamini hivyo lkn pia ni kiongozi mwenye watu. Akisema wote humwamini 100% tofauti nawe nami pia. Hivyo nafikiri ameruhusiwa kufunga hadi sasa kwa kuwa sijasikia katazo lolote la mamlaka kumzuia asifunge.
Binafsi napata nashindwa pata tafsiri nzuri, japo nahisi habari za kuhojiwa yeye na wenzake sijui ni jana au Leo imepekea yeye kufunga ili awe kidedea. Naamini kesho atasema matokeo ya mfungo wake pale kanisani kwake.
Kwani amaleki ndio kashika USUKANI wa B.O.T letu la Tanzania,Mwambieni amaleki popote alipo, huku mtaani hali siyo hali na tunaelekea kipindi cha sikukuu...
Uko sahihi100%Nakubaliana na wewe kwenye historia ya waameleki lakini wazo lako kuwa kwa Israeli kutaka kufanya siasa na Imani kuwa kitu kimoja waisraeli walikosea. Hapo sio sawa. Israeli ni taifa aliloliunda Mungu kupita kwa Ibrahim, isaka yakobo mpaka Yesu. Nia ya Mungu ni kuwa taifa hili limwakilishe hapa duniani katika mpango wake wa kuifuta dhambi iliyotokea edeni(kwa hapa duniani). mambo ya taifa la Israeli yaliendeshwa kwa kupata uongozi wa Mungu kupitia manabii na wazee. Walipokuww wakitii maelekezo ya Mungu mambo yalinyooka walipokwenda kinyume waliangushwa. Kwa mantiki hiyo kwa waisraeli (wa Kale na wa Sasa) pona Yao ilitokana na kumtii Mungu kama taifa. Hivyo habari ya hii ni siasa hii ni Imani kwa waisraeli yote ni Imani na yote ni siasa kwa maana kwamba survival Yao inategemea utii wao kwa Mungu. Of course kwa hivi leo hiyo inayoitwa Israeli sio inayoishia kwa hiyo Imani. Hao ni watu waliomkataa Yesu na hivyo wamekuwa kama wapagani wengine. Waisraeli wa Sasa ni wale wanaoishi sawa sawa na mapenzi ya Mungu bila kujali wanatoka nanjilinji au wanatoka pale tel Aviv
Nyamaza hujui kitu. Utapata laana bureMkuu huyo Mungu wa Israel ni muongo tena muuaji na kupenda damu.
Muongo kwa sababu aliwaahidi kuwapeleka katika nchi ya Canaan lakini walifika wawili katika Laki sita above 18yrs. Na waliobaki ni kupigana vita hadi mwisho na hakuna Canaan iliyoahidiwa hapa duniani. AKAJA good boy Yesu naye ameahidi Canaan ya mbinguni unatakiwa uwe mtii ili ife badae uingie Kanani ya mhinguni ni Uongo tu.Kama alishindwa kutimiza ahadi duniani hadi ufe ndo ahadi zitatimizwa, huyo Mungu sio Mungu bali ni muongo. Ameua wengi sana kwa kigezo cha upagani, shenzi zake. Hata Ibrahim aliambiwa amtoe kafara mtoto wake, na angemtoa leo hii kila mtu angekuwa anaua mtoto wake kwa kibali cha Mungu naye akashtuka atakosa watu wa kumuabudu akaaahirisha.
Kwa kura halali hawezi kushinda, labda watumie njia zingine. Sioni pia kama ubabe kama ule wa 2020 utakuwa na nafasi 2025.Samia hawezi kushinda 2025,
Jeshi lifanye maamuzi mapema
What is the world ? Unajidanganya sana.Kwa kura halali hawezi kushinda, labda watumie njia zingine. Sioni pia kama ubabe kama ule wa 2020 utakuwa na nafasi 2025.
The world is watching closely.
wahuni, nkNi kawaida kwenye Siasa kuwapa majina mabaya Wale waliokinyume na serikali iliyopo.
Majina Kama wahaini, waasi, magaidi, mashetani, makafiri na majina mengine ni kawaida sana kwenye Siasa
Ni kawaida kwenye Siasa kuwapa majina mabaya Wale waliokinyume na serikali iliyopo.
Majina Kama wahaini, waasi, magaidi, mashetani, makafiri na majina mengine ni kawaida sana kwenye Siasa.
The world is the world.What is the world ? Unajidanganya sana.
Yan nikiona mtu anakubali kuwa israel ni taifa teule na la thaman kuliko taifa lake. Pia watu wake et wamebarikiwa kuliko yeye wa kiziramuyaga, huwa najihis kumhurumia sana, na kuuchukia ukolonDu jamaa umechanganyikiwa!
Unajua maana ya neno "wote". Yaani kiswahili kimekuwa shida kwako kiasi hiki... wamekufa wote kapona mmojaWewe ndio mjinga; they all died but/except one. Mbona lugha ya kawaida. Wali-ripoti wote ila mmoja.
Wote isipokuwa mmoja. The last but one! Wewe ndio una shida ya lugha Mkuu.Unajua maana ya neno "wote". Yaani kiswahili kimekuwa shida kwako kiasi hiki... wamekufa wote kapona mmoja
Dah! Mungu akurehemu mtoto wakeMkuu huyo Mungu wa Israel ni muongo tena muuaji na kupenda damu.
Muongo kwa sababu aliwaahidi kuwapeleka katika nchi ya Canaan lakini walifika wawili katika Laki sita above 18yrs. Na waliobaki ni kupigana vita hadi mwisho na hakuna Canaan iliyoahidiwa hapa duniani. AKAJA good boy Yesu naye ameahidi Canaan ya mbinguni unatakiwa uwe mtii ili ife badae uingie Kanani ya mhinguni ni Uongo tu.Kama alishindwa kutimiza ahadi duniani hadi ufe ndo ahadi zitatimizwa, huyo Mungu sio Mungu bali ni muongo. Ameua wengi sana kwa kigezo cha upagani, shenzi zake. Hata Ibrahim aliambiwa amtoe kafara mtoto wake, na angemtoa leo hii kila mtu angekuwa anaua mtoto wake kwa kibali cha Mungu naye akashtuka atakosa watu wa kumuabudu akaaahirisha.
UCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA?
Anaandika, Robert Heriel.
Leo ni Sabato, nitazungumza Kwa uchache Sana nisichoshe watu. Ingawaje napendelea maandiko marefu mno.
Tumesikia kuna Mfungo wa Masaa 72 yakumtoa Amalek katika Nchi, mfungo huo umehusishwa na Gwajima, yaweza kuwa kweli au Laa! Sipo hapa kuelezea ukweli au uongo wa Jambo hili bali nipo hapa kumuelezea AMALEK Kwa wale wasiomfahamu.
Nitaelezea Kwa ufupi na Kama kuna sehemu muhimu nitakuwa nimeiacha basi wengine wataongezea. Na Kama utakuwa na swali basi nitakuwa hapa kujibu Kwa siku ya leo kabla jua halijachwea Magharibi.
AMALEK NI NANI?
Kihistoria hasa historia ya kiyahudi ambayo sehemu kubwa ipo kwenye Biblia imemtaja Amalek.
Amalek ni mtu lakini pia ni Kabila/taifa.
Amalek kulingana na Biblia ni mjukuu wa Esau/Edomu ambaye alizaliwa na mtoto wa Kwanza wa Esau aitwaye Elifazi.
Kwa ambao hawamjui Esau,
Huyu ni Yule Kaka yake na Yakobo/Israel waliozaliwa na Isaka mwana wa Ibrahimu.
Hivyo Isaka alizaa watoto wawili mashuhuri ingawaje wapo wengine; Yakobo ambaye ndiye Israel Baba wa taifa la Israel mpaka hivi leo, Kaka yake Esau ambaye ni Edomu Baba WA taifa la Waedomu mpaka hivi leo.
Israel maana yake ni aliyepigana na MUNGU.
Wakati Edomu maana yake ikiwa mwekundu wa ngozi kutokana na kuwa Esau alikuwa na ngozi nyekundu yenye masharavu/vinyweleo vingi.
Esau akamzaa Elifazi, kisha katika majumbe/wajukuu akazaliwa Amalek Kama mjukuu wa Esau Kwa mtoto wa Kwanza aitwaye Elifazi.
Amalek ndiye Baba wa taifa la Waamalek Kama Biblia inavyoripoti.
Mpaka hapa sijui tunaenda Sawa?
Waamalek baada ya Karne nyingi kupita waliweka makazi Yao katika nchi ya NEGEBU ambayo kwenye Ramani ya kale IPO katikati ya nchi ya Misri na Kanaani.
Hivyo Waisrael walivyokuwa wanatoka Misri Kwa Farao kuelekea Kanaani ilikuwa lazima wapite nchi ya Waamalek naam ndiyo nchi ya Negebu. Na hapo ndipo kisa cha ugomvi baina ya Israel(watoto wa yakobo) dhidi ya Waamalek(Wajukuu wa Esau) inapoonekana kujitokeza.
Yoshua alivyowatuma wapelelezi wakaipeleleze nchi ya Kanaani, wapelelezi wanatoa ripoti Yao Kwa Joshua wakimwambia mataifa yaliyokatikati mpaka kufikia Kanaani. Waamalek, wahiti, waperezi na wengine wanatajwa katika ripoti hiyo.
Msafara wa Israel ulishambuliwa Kwa nyuma na Waamalek wakiwa wanaikaribia Kanaani kuukabili mto Yordan.
Hoja za Waisrael zinadai kuwa Waamalek waliwafanyia uhuni na ubaya kwani waliwashambulia wakiwa wamechoka na kuzimia, tena walishambulia msafara Kwa nyuma Kule walipo watu dhaifu pasipokuwa na Jeshi Imara.
Israel Kama kawaida Yao wakaliweka taifa la Amalek Kama sehemu ya mataifa adui ambayo yanapaswa yalipizwe kisasi.
Na kisasi hiki kitafanyika mara baada ya waisrael kuitawala nchi ya Kanaani na wakishapumzika vya kutosha.
Hoja ya Pili ya waisrael Kwa Waamalek ilikuwa ni kuwaona Waamalek Kama vizuizi vya kuzuia wao wasifike nchi ya Ahadi. Kumbuka Amalek IPO katikati ya Misri na Kanaani hivyo kitendo cha taifa la Amalek kupigana na Waisrael kilimaanisha hawataki watumie nchi Yao Kama njia ya kufikia Kanaani.
Kisiasa huenda Amalek walikuwa na hoja kuwa hawataki kuvunja uhusiano na taifa la Kanaani Kwa kuwaruhusu Waisrael wapite kwenye nchi Yao kwenda kuvamia taifa la Kanaani Jambo ambalo kimsingi walikuwa sahihi.
Joshua Wakristo humuona Nabii lakini kimsingi ukiangalia alibeba dhima ya kisiasa yaani Mtawala Kama alivyo Musa, na kina Daudi.
Hivyo sababu nyingi za watawala hukaa Kisiasa kuliko kiimani.
Viongozi wengi WA kiyahudi wa wakati huo walitumia zaidi propaganda hasa za kiiamani wakiziunganisha kwenye Siasa ili kuteka nyoyo za wananchi wa Israel.
Siajabu Joshua alivyotangaza kuhusu kisasi kinachotakiwa kulipwa Kwa Amalek na kum-term Amalek Kama Shetani na mtu mwenye roho ya Shetani ambaye Hana ni njema na taifa Lao ambalo wao Kwa dini zao waliliona taifa Lao Kama taifa la Mungu.
Kumbuka hata hao waamalek nao wanadini zao na Mungu wao hivyo nao walikuwa wanawa-term waisrael vivyo hivyo.
Ni kawaida kwenye Siasa kuwapa majina mabaya Wale waliokinyume na serikali iliyopo.
Majina Kama wahaini, waasi, magaidi, mashetani, makafiri na majina mengine ni kawaida sana kwenye Siasa.
Vivyo hivyo hata Waisrael katika dhima za Kisiasa waliwapa maadui zao majina hayo hayo mabaya Wale wote walioenda kinyume na taifa Lao.
Hata huyo Amalek ya taifa la Amalek ambalo Wayahudi wanamchukulia Kama Shetani na taifa Baya waliliita hivyo kutokana na tofauti zao za kimaslahi ya kisiasa.
Watu wengine walioenda kinyume na taifa la Israel ni pamoja na kina Goliath na taifa lake la Wafilisti. Huwezi muona Goliathi mbaya wakati alikuwa akilipigania taifa lake.
Goliath Kwangu au Kwa watu Kama Taikon ninamchukulia Kama mzalendo Kwa taifa lake. Hii pia niliwahi Kueleza Kwa Delilah ambaye ni shujaa Kwa taifa la Wafilisti baada ya kumshinda shujaa wa kiisrael aitwaye Samson.
Nikirejea kwenye Mada yetu!
Gwajima anataka kufunga Kwa ajili ya Amalek.
Na hapa Amalek anaweza kuwa mtu mmoja au kundi la watu kama nilivyoeleza hapo juu.
Kisa cha Israel Vs Amalek kipo Kisiasa, hakipo kiimani. Ni Ishu ya maslahi ya kisiasa.
Je Gwajima anajaribu Kueleza kuwa nchi yetu ilikuwa inaenda nchi ya ahadi ya maziwa na Asali, nchi ya Flyover, nchi ya SGR, nchi ya Mradi wa rufiji na umeme, nchi ya umeme kutokukatika, nchi ya vitu kutopanda bei, na mambo mengine mazuri na sasa yupo Amalek au waamalek wanaozuia taifa hili lisifike huko?
Je huyo ndiye amalek anayefungiwa masaa 72 ili aondolewe na kuangamizwa na Mungu?
Je Gwajima anajaribu Kueleza kuwa nchi yetu wapo watu wanaoitakia mabaya Kama vile waamalek walivyokuwa wanaitakia mabaya Waisrael?
Je Amalek au waamalek wanaozungumziwa na Gwajima ni kina Nani hasa katika nch yetu wanaopaswa kuondolewa?
Zingatia Gwajima Mimi namchukulia Kama watu wengine, sijampa nafasi ya unabii au mtume au Kuhani isipokuwa nafasi ya Ualimu tuu. Hivyo yeye Kama mwalimu Kama ninavyomchukulia anaweza akawa anahoja muhimu mbali na madhaifu yake mengine.
Ifahamike kuwa hakuna uwezekano wa kukaa majadiliano baina ya waamalek na waisrael hivyo Kwa vyovyote lazima mpambano upigwe.
Kufikia hapa sina la ziada. Kama kuna mwenye swali anaweza kuuliza. Kwa wale wajuvi zaidi wataeleza nilipoacha ikiwa kuna haja ya nyongeza.
Ni Yule Mtibeli kutoka Nyota ya Tibeli yenye mbawa mbili irukayo huku na Huku.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Goba, DAR ES SALAAM
Kama ni msomaji wa biblia hakuna cha kushangaza na kujiuliza!UCHAMBUZI; HUYU AMALEK ANAYEZUNGUMZIWA NA GWAJIMA NI NANI HASA?