Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #21
Gwajima ni.zaid ya mwl bro. Kuhusu maombi ni jina tu ndilo.linaloleta mjadala lkn Gwaj amekuwa mstar wa mbele kwa taifa kunapokuwa na shida, shida hizo ni km vile mfumumuko wa bei, petrol kila mwez inapanda,vifaa vya ujenz, vyakula n.k
So gwaj yupo correct
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Gwajima ni lilelile la watu wengi TANZANIA. Nalo ni unafiki.
Mtu akishakuwa na sifa hiyo huwaga namchukulia kawaida