Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #101
Kama ni msomaji wa biblia hakuna cha kushangaza na kujiuliza!
Kasome tena biblia yako!
Lakini pia kama Upo mwilini zaidi huwezi kumuelewa!
Wewe jamaa nakili wazi kua wewe ni Great thinker!Ukisoma kitabu chochote ili ukielewe usikisome Kwa hisia, soma Kwa akili.
Usikisome Kwa mapenzi, soma Kwa tafakuri.
Usisome biblia Kwa Imani
Soma Kama mwanafasihi na mwanafalsafa utakuwa huru kweli kweli.
Karibu sana
Corona mtaani hamna,hio omicron na corona ipo kwenye mitandao ikisifiwa sana na wanasiasa na watu maarufu kua inaua sana ila mtaani haipo watu wanapiga maisha kawaida.Temea mate chini. Usimdhihaki Mungu. Kwanini hamtaki kujifunza kwa Mwendazake akiyeidhihaki korona kisha ikamuondoa?
Hopeless fellow.Zito anajifanyaga wa kimataifa, akashindwa kujua corona ni conspiracy theory isiyo na ukweli wowote.
Nahisi wewe ndio Gwajiboy.
Ulitarajia katazo gani kwa mfano. Wale hawavai matisheti kama ya ukawa.Asante kwa historia nzuri ya hao jamaa kibiblia. Nakupongeza pia kusema wewe wamchukukia Gwajima kama Mwalimu tu, huenda upo sahihi nami naamini hivyo lkn pia ni kiongozi mwenye watu. Akisema wote humwamini 100% tofauti nawe nami pia. Hivyo nafikiri ameruhusiwa kufunga hadi sasa kwa kuwa sijasikia katazo lolote la mamlaka kumzuia asifunge.
Binafsi napata nashindwa pata tafsiri nzuri, japo nahisi habari za kuhojiwa yeye na wenzake sijui ni jana au Leo imepekea yeye kufunga ili awe kidedea. Naamini kesho atasema matokeo ya mfungo wake pale kanisani kwake.
Wewe jamaa nakili wazi kua wewe ni Great thinker!
Kongole Sana nimekuelewa Sana hapa Mkuu,
Kila mwenye kusoma na aelewe!
Mtu asiwe na jipya na tunamjua waTanzania karibu wote,wewe hatukujui,yamkini hata balozi wako wa mtaa jakujui,Gwajima ana wafuasi zaidi ya elf3View attachment 2048875
Mheshimiwa Gwajima pichani hana jipya katika hili; kama watu wengi wanavyofikiri ukisoma maoni yao katika mitandao ya jamii ! Bila shaka hii ni sehemu ya mahubiri kwa watu wake ya kawaida katika kuwafundisha jinsi ya kupambana adui yao, anaitwa mfalme wa anga na wasaidizi wake kama ilivyoandikwa katika WAEFESO 6:10-13 😵
Ngoja tuone...