UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

Sasa Ikulu ilikuja kutoa ile taarifa kwa umma kama msemaji wa nani? Msemaji wa familia? Msemaji wa Magufuli? Msemaji wa CCM?
Hivi ule msafara wa magari ya Ikulu, Usalama wa taifa na CCM ulikwenda gerezani kumtoa mwanafamilia?
Presidential privilege kama vile wewe ungekuwa mheshimiwa ungetuma entourage pia.
Hivi ni kawaida ila kwa JPM ni maswali mengine ambayo majibu wote tunayo- Chuki!!!!!
 
Back
Top Bottom