UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

Ulipotaja .... nanukuu.... mwendo huu wa kushabikia matukio kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni kujifurahisha tu kupunguza shinikizo la damu... mwisho wa kunukuu... NILIDHANI WEWE UNGETUMIA NJIA NYINGINE KUYASEMA HAYA... |Kumbe na wewe walewale tu... Nyani haoni..............................
Ndivyo ulivyonielewa! Yumkini unashabikia wanasiasa wachumia tumbo kwa kuwatumia watu kama wewe.
 
Kwa kifupi ikulu imejaa wapuuzi tu na uthibitisho ndo huo. Kuingia ikulu yeyote anaweza kuingia kama atasimamiwa na dola.
Endeleeni kushabikia viongozi wanaoitaka Ikulu kwa gharama yoyote. Ati Tanzania hakuna demokrasia, haki na uhuru wa mawazo!
 
Mtazamo wako

Unaweza kuwa wa kisomi sana

Ila alichofanya JPM amekuwa man of the match kwa raia wengi sana
Yaani watu washitakiwe kwa kesi iliyotengenezwa na watu wake yeye akiwa kimya, wakasota rumande akiwa kimya, kesi hiyo hiyo ingurume hadi karibu na uchaguzi na wakafungwa akiwa kimya, chanzo cha kesi ikiwa kuuawa kwa mtoto wa kike asiye na hatia kwa risasi zilizoingia nchini kwa kodi ya mzazi aliyempoteza binti yake na jalada la kesi ikafungwa na DPP kwa kile kilichoitwa DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Bado unadhani wananchi hawaoni? Achana na hayo mambo, hata wangelipiwa faini zote ya kiasi cha milioni 350 achana na hiyo milioni 38 bado mioyo ya watanzania ingebubujika machozi tu. Tuache uonevu kama Taifa, viongozi waache tabia ya ajabu ajabu kama hizi. Ni mbaya sana kuonea watu ambao una dhamana ya kuwalinda.
 
Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai.

Sina uhakika kama Ikulu ilikuwa inajua kuwa kitendo ilichokifanya leo kilikuwa ni cha kitoto, kijinga na kituko mbele ya macho ya dunia na watanzania wengi.

Sababu za msingi kabisa ni hizi hapa.

1/Mchungaji Msigwa alishtakiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inaongozwa na Rais wa Tanzania.
(Kwa maneno rahisi kimantiki ni kuwa Rais wa Tanzania alikuwa anamshtaki raia anayeishi Tanzania).

Sasa nini mantiki ya Jamhuri (Raisi) kumshtaki raia ili afungwe na kisha hapo hapo kuja kumlipia faini ili aachiwe huru?

Kwanini Jamhuri ipoteze muda, nguvu kazi ya mawakili wake, mshtakiwa na mahakama katika kuiendesha kesi hiyo kwa zaidi ya miaka 2 mfululizo wakati ikijua fika ilikuwa haina nia ya kumfunga Msigwa gerezani?

2/Rais wa Tanzania kikatiba anayo mamlaka ya kumwachia huru wakati wowote, mfungwa yoyote kutoka kifungoni.
Kwanini Rais akimbilie kumlipia pesa Msigwa badala ya kuamuru aachiliwe huru tu?

3/Mchungaji Msigwa alikuwa akitetewa na mawakili wake kutoka CHADEMA wakati wote wa kesi, na mara baada ya kutiwa hatiani, mawakili hao hao ndio waliweka utaratibu wa namna ya kukusanya pesa kupitia CHADEMA ili mchungaji Msigwa aweze kuachiliwa huru.
Kipi kimewafanya watendaji wa Ikulu kuibuka sasa kumpigania Msigwa baada ya kufungwa gerezani na sio wakati wote wa kuendeshwa kesi dhidi yake?

Nini kimeifanya Ikulu kuukwepa huo utaratibu wa Mawakili wake katika kulipa faini?

Nani kawatuma Ikulu kwenda kujipendekeza kwa Msigwa nje ya utaratibu wa wanasheria wa Msigwa?

Nini kitatokea ikiwa Msigwa atakuja hadharani kuwakana Ikulu?

4/Watanzania wengi wanajua na kuamini kuwa kesi yote hii iliyomtia hatiani Msigwa na wenzake ina mkono wa serikali, vyombo vya dola na CCM.
Sasa hii janja janja ya Ikulu kumlipia faini Msigwa ina lengo gani?
Kulikuwa na ulazima gani kwa Ikulu kuja kujikocha hadharani kwa mtindo wa namna hiyo?

5/Katika mazingira ambayo CHADEMA inarindima katika miamala ya fedha ya kona zote za nchi ili kuchangishana pesa za kuwatoa viongozi wao wote (pamoja na Mashinji ambaye amehama CHADEMA).

Nini mantiki ya Ikulu na CCM ghafla kuibuka na kudai na wao wamechanga pesa ili kuwatoa kifungoni baadhi ya viongozi hao?

Je, Ikulu imeamua kuiga utaratibu wa CHADEMA?

Je, Ikulu ina hofu au wivu kwa huo utaratibu wa CHADEMA?
Bangi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani tulikuwa tunaambiwa soma uje kuwa kama sokoine, na viongozi wengine kama sharif hamand

mtoto wangu nitamwambia asome amekuwa kama polepole, Sabaya,makonda, au Agrrey mwanri yule comedian?

kweli tunakokwenda siko.

hii yote ni kazi ya think-tanks wa chama chetu kwa sasa comrades Bashite & Musiba!
 
N

Nadhani ile faini ililipwa na John Pombe Magufuli kwenye capacity yake kama raia/ndugu.
Sasa Ikulu ilikuja kutoa ile taarifa kwa umma kama msemaji wa nani? Msemaji wa familia? Msemaji wa Magufuli? Msemaji wa CCM?
Hivi ule msafara wa magari ya Ikulu, Usalama wa taifa na CCM ulikwenda gerezani kumtoa mwanafamilia?
 
M/Mwenyekiti wa chademaTundu Lissu ameziomba jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi,misaada ya kifedha,,na kuinyima ushirikiano wa wa kidiplomasia, kuitenga Tanzania kwa kile alichodai kuhusika na ukandamizwaji wapinzani wa Rais Magufuli,kudorora haki za binadamu

View attachment 1386369

Sababu kubwa ni hii
Huyu ni mpumbavu tu.
 
Endeleeni kushabikia viongozi wanaoitaka Ikulu kwa gharama yoyote. Ati Tanzania hakuna demokrasia, haki na uhuru wa mawazo!
Uhuru na haki vipo mnadani awamu hii, bisha nikutumie wasio julikana. Na uchague mapema adhabu yako, tukuteke au tukufungulie ya utakatishaji??
 
M/Mwenyekiti wa chademaTundu Lissu ameziomba jumuiya za kimataifa kuiwekea vikwazo vya kiuchumi,misaada ya kifedha,,na kuinyima ushirikiano wa wa kidiplomasia, kuitenga Tanzania kwa kile alichodai kuhusika na ukandamizwaji wapinzani wa Rais Magufuli,kudorora haki za binadamu

View attachment 1386369

Sababu kubwa ni hii
Sawa Manka

Omba litokee si unaona Zimbabwe wanafaidi
 
KAMATI ipi hiyo ya kupokea michango???

Tuliambiwa turushe kwenye line ya simu ya mtu anaitwa LODRICK LUTEMBEKA!

How the hell do you hold this strange man accountable?

Nani anajua shilingi ngapi kawasilisha na ngapi katumiwa huyo Lutembeka ? Au Sugu au Lema au Mdude Nyagali?

Ndivyo CHADEMA watakavyo handle Wizara ya Fedha?

Akaunti ya chama wanayosema tutume inaitwa CHADEMA M4C, jina la chama ni CHADEMA, sasa ni akaunti ipi ambayo serikali inaikagua ???? Wanataka kupiga?

Uchaguzi Serikali za Mitaa tumeenguliwa, walisema jina la chama tulikuwa tunajaza MOVEMENT FOR CHANGE, leo tena mnachangisha michango kwenye akaunti ya MOVEMENT FOR CHANGE!

Mnataka kupiga ????

FREEMAN MBOWE is simply not up to the job.

Exactly, my sentiments. Democracy is directly related to transparency, accountability and responsibility and the same applies to a fundraiser.

You can plea for funding and then mute after. Who does that?

Currently the dudes are showing bond receipts but aren't ready to state the amount of collected funds.

They have no idea of the responsibility to provide a feedback to the general public on funds collected in response to their plea.
 
Currently the dudes are showing bond receipts but aren't ready to state the amount of collected funds.

CHADEMA wanaijuaje hiyo figure???

Pesa zimekuja kwa kurusha kwenye laini za simu binafsi!

CHADEMA does not have an earthly clue how much money was received!
 
.. they dont have a clue because they dont want to know the amount collected or they are unable to do that?

It has been about 72 hours and none interested in communicating to the public what's going on with mobilizing information on collected funds for accounting purposes.
 
they dont want to know the amount collected or they are unable to do that?
they are physically unable to know the amount raised because funds were channeled to various peoples' personal phone lines!

CHADEMA cannot know how much money was sent to RODRICK LUTEMBEKA or GODBLESS LEMA
.
C.C.M. has misruled and misappropriated trillions from public cofers over the decades, but one thing they will never do is insult you by asking your contributions to be sent to the TIGO PESA account of party kahuna Kasheku Musukuma!

Such horrendous leadership from Ufipa operatives.
 
Kitengo cha Propaganda Lumumba kimepwaya sana!Ukiangalia hata yule ndugu yake Peter Msigwa,alikuwa ni kama anaelekezwa cha kusema na Gerson Msigwa!Yaani alikuwa analishwa maneno!Picha limechezwa kwa kiwango cha Bongo movie aisee,wapikaji wamefeli big time!
Hapana mkuu,usilipandishe hadhi like tukio ..lile igizo linaweza kufanywa na watoto wa chekechea.Hapo ndipo unapouona ukuu wa CCM,hata wanted hekima na busara wakimwona mwenzao anakunya kwenye sebuleni hawamkemei !
 
Hizi hoja hakuna mwanaccm hata mmoja anaweza kuja kuzijibu
Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai.

Sina uhakika kama Ikulu ilikuwa inajua kuwa kitendo ilichokifanya leo kilikuwa ni cha kitoto, kijinga na kituko mbele ya macho ya dunia na watanzania wengi.

Sababu za msingi kabisa ni hizi hapa.

1/Mchungaji Msigwa alishtakiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inaongozwa na Rais wa Tanzania.
(Kwa maneno rahisi kimantiki ni kuwa Rais wa Tanzania alikuwa anamshtaki raia anayeishi Tanzania).

Sasa nini mantiki ya Jamhuri (Raisi) kumshtaki raia ili afungwe na kisha hapo hapo kuja kumlipia faini ili aachiwe huru?

Kwanini Jamhuri ipoteze muda, nguvu kazi ya mawakili wake, mshtakiwa na mahakama katika kuiendesha kesi hiyo kwa zaidi ya miaka 2 mfululizo wakati ikijua fika ilikuwa haina nia ya kumfunga Msigwa gerezani?

2/Rais wa Tanzania kikatiba anayo mamlaka ya kumwachia huru wakati wowote, mfungwa yoyote kutoka kifungoni.
Kwanini Rais akimbilie kumlipia pesa Msigwa badala ya kuamuru aachiliwe huru tu?

3/Mchungaji Msigwa alikuwa akitetewa na mawakili wake kutoka CHADEMA wakati wote wa kesi, na mara baada ya kutiwa hatiani, mawakili hao hao ndio waliweka utaratibu wa namna ya kukusanya pesa kupitia CHADEMA ili mchungaji Msigwa aweze kuachiliwa huru.
Kipi kimewafanya watendaji wa Ikulu kuibuka sasa kumpigania Msigwa baada ya kufungwa gerezani na sio wakati wote wa kuendeshwa kesi dhidi yake?

Nini kimeifanya Ikulu kuukwepa huo utaratibu wa Mawakili wake katika kulipa faini?

Nani kawatuma Ikulu kwenda kujipendekeza kwa Msigwa nje ya utaratibu wa wanasheria wa Msigwa?

Nini kitatokea ikiwa Msigwa atakuja hadharani kuwakana Ikulu?

4/Watanzania wengi wanajua na kuamini kuwa kesi yote hii iliyomtia hatiani Msigwa na wenzake ina mkono wa serikali, vyombo vya dola na CCM.
Sasa hii janja janja ya Ikulu kumlipia faini Msigwa ina lengo gani?
Kulikuwa na ulazima gani kwa Ikulu kuja kujikocha hadharani kwa mtindo wa namna hiyo?

5/Katika mazingira ambayo CHADEMA inarindima katika miamala ya fedha ya kona zote za nchi ili kuchangishana pesa za kuwatoa viongozi wao wote (pamoja na Mashinji ambaye amehama CHADEMA).

Nini mantiki ya Ikulu na CCM ghafla kuibuka na kudai na wao wamechanga pesa ili kuwatoa kifungoni baadhi ya viongozi hao?

Je, Ikulu imeamua kuiga utaratibu wa CHADEMA?

Je, Ikulu ina hofu au wivu kwa huo utaratibu wa CHADEMA?

Jr[emoji769]
 
they are physically unable to know the amount raised because it was channeled to various peoples' personal phone lines!

CHADEMA cannot know how much money was sent to RODRICK LUTEMBEKA or to GODBLESS LEMA.

C.C.M. has misruled and misappropriated trillions over the decades, but one thing they will never do is insult you by asking your contributions to be sent to the TIGO PESA account of party kahuna Kasheku Musukuma!

Such horrendous leadership from Ufipa operatives.
I think I can buy this one
 
Kituko kipya cha karne katika siasa za Tanzania kimeibuka leo, baada ya Ikulu ya Tanzania kuitangazia dunia kuwa, Rais wa nchi amelipa kiasi cha shilingi milioni 38 ili kumlipia faini Mchungaji Peter Msigwa ambaye ni mfungwa wa kisiasa aliyetiwa hatiani kwa makosa ya jinai.

Sina uhakika kama Ikulu ilikuwa inajua kuwa kitendo ilichokifanya leo kilikuwa ni cha kitoto, kijinga na kituko mbele ya macho ya dunia na watanzania wengi.

Sababu za msingi kabisa ni hizi hapa.

1/Mchungaji Msigwa alishtakiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inaongozwa na Rais wa Tanzania.
(Kwa maneno rahisi kimantiki ni kuwa Rais wa Tanzania alikuwa anamshtaki raia anayeishi Tanzania).

Sasa nini mantiki ya Jamhuri (Raisi) kumshtaki raia ili afungwe na kisha hapo hapo kuja kumlipia faini ili aachiwe huru?

Kwanini Jamhuri ipoteze muda, nguvu kazi ya mawakili wake, mshtakiwa na mahakama katika kuiendesha kesi hiyo kwa zaidi ya miaka 2 mfululizo wakati ikijua fika ilikuwa haina nia ya kumfunga Msigwa gerezani?

2/Rais wa Tanzania kikatiba anayo mamlaka ya kumwachia huru wakati wowote, mfungwa yoyote kutoka kifungoni.
Kwanini Rais akimbilie kumlipia pesa Msigwa badala ya kuamuru aachiliwe huru tu?

3/Mchungaji Msigwa alikuwa akitetewa na mawakili wake kutoka CHADEMA wakati wote wa kesi, na mara baada ya kutiwa hatiani, mawakili hao hao ndio waliweka utaratibu wa namna ya kukusanya pesa kupitia CHADEMA ili mchungaji Msigwa aweze kuachiliwa huru.
Kipi kimewafanya watendaji wa Ikulu kuibuka sasa kumpigania Msigwa baada ya kufungwa gerezani na sio wakati wote wa kuendeshwa kesi dhidi yake?

Nini kimeifanya Ikulu kuukwepa huo utaratibu wa Mawakili wake katika kulipa faini?

Nani kawatuma Ikulu kwenda kujipendekeza kwa Msigwa nje ya utaratibu wa wanasheria wa Msigwa?

Nini kitatokea ikiwa Msigwa atakuja hadharani kuwakana Ikulu?

4/Watanzania wengi wanajua na kuamini kuwa kesi yote hii iliyomtia hatiani Msigwa na wenzake ina mkono wa serikali, vyombo vya dola na CCM.
Sasa hii janja janja ya Ikulu kumlipia faini Msigwa ina lengo gani?
Kulikuwa na ulazima gani kwa Ikulu kuja kujikocha hadharani kwa mtindo wa namna hiyo?

5/Katika mazingira ambayo CHADEMA inarindima katika miamala ya fedha ya kona zote za nchi ili kuchangishana pesa za kuwatoa viongozi wao wote (pamoja na Mashinji ambaye amehama CHADEMA).

Nini mantiki ya Ikulu na CCM ghafla kuibuka na kudai na wao wamechanga pesa ili kuwatoa kifungoni baadhi ya viongozi hao?

Je, Ikulu imeamua kuiga utaratibu wa CHADEMA?

Je, Ikulu ina hofu au wivu kwa huo utaratibu wa CHADEMA?
Hawa kina Humphrey Polepole ni watu wa hatari sana katika nchi hii. Hawajali chochote kuhusu taratibu na sheria za uendeshaji nchi.. Wao wanajali matumbo yao tu!
 
Akili zao ndogo sana,hizi 38M,amelipa kama Raisi,kama mwenyekiti wa CCM,kama Baba Mkwe au?maana ni mchanganyiko usio na Tija,na kama amelipa kama mwanafamilia,kwanini uwatumie watumishi wa serikali,na vyombo vya habari,alitaka kiki tu!huu ni uzalilishaji,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom