UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

UCHAMBUZI: Ikulu kujiingiza katika kesi ya Msigwa ni matokeo kukosa maarifa?

kamati ya siasa ya CCM inawezekana kuna makundi na wanaosikilizwa kutoa ushauri katika mambo ya siasa inawezekana pia ni wachache na mawasiliano na mwenyekiti wao pia inawezekana sio mazuri

UVCCM, UWT, CCM, Baraza la Wazee CCM , hawa wapo wapo hawajui kazi yao wanachojuwa ni kukata mauno na kura posho tu acheni makundi mnamuangusha mwenyekiti wenu. anajitaidi sana mwenyekiti wenu kupiga kazi ili CCM irudi tena katika mioyo ya wananchi na tuwe na imani na ccm lakini nyinyi kwanza matumbo yenu yavimbe acheni makundi mshaurini mwenyekiti wenu vizuri kwa niaba ya chama
WAnaChama wengiwao wa ccm ni wachumia tumbo tu
 
Kila mtu ameshangazwa na kilichofanywa na utawala wa Magufuli (Magufuli adminstration) ya kukimbilia kulipa faini isiyowahusu!

Michango ya kumtoa Msigwa ilishatosha na leo ilikuwa wawalipie wafungwa watatu wa CHADEMA, sasa kwa mshangao wa kila mtu, anatokea mtu mmoja anawa-overtake wahusika kwenda kutoa mchango usio wahusu...

Hiyo ni tabia ya kijinga na isiyo na mantiki yoyote inayoendelea kuwashangaza wahusika wenyewe (CHADEMA), Mhusika mkuu (Mbunge Msigwa-Mfungwa), wananchi wote wenye akili timamu na hata wengine waliotumwa kupeleka hiyo faini.

Kwa utaratibu unaofahamika, kama kuna m
tu yeyote ameguswa na hayo yanayoendelea angepeleka mchango wake kwenye kamati zinazohusika...

Kama hapendi kutajwa basi angeomba awe " Anonymous" yaani asitajwe wakati anawasilisha michango au mchango wake lakini kilichotokea ni "real a laughing stock" asiyehusika anajua hahusiki na anajua wapi mahali pa kupeleka michango au angalau basi kuwahusisha wahusika au kuwapa taarifa lakini badala yake wanakimbilia huko jela kumtoa mfungwa ambaye pesa zake wahusika wameshalipia, isitoshe wanakwenda na utitiri wa waandishi wa habari(press) na maandamano ya magari mengi"(???)

Labda wanaweza kutueleza nia yao ni nini? Kama kweli walikuwa na nia ya kumtoa huyo mfungwa (Msigwa) kwani lazima waite waandishi wa habari? Je ilikuwa lazima mkurugenzi wa Ikulu asimame mbele ya Camera kuonyesha risiti za malipo ya faini? Inasaidia nini? Je kulikuwa na ugumu gani wa kuwasiliana na viongozi wa CHADEMA kuwaeleza kuwa wasihangaike na faini ya Msigwa kwa sababu tayari ipo kuliko kuwasumbua kwenda kupeleka faini na siku hiyo hiyo mnapeleka na ninyi? Hapo kuna shida tena siyo ndogo! Huyu Polepole anakimbizana na ujinga, ni hopeless na kama yeye ni architecture wa haya mambo basi ana shida kubwa ya ufikiri.

Kama kuna lilifichika basi litaonekana......Hadi sasa nia yao ni PUBLICITY STUNT labda kuna mengine zaidi, Time will tell. Hivi hii aibu ya kumlazimisha mfungwa apande migari yenu halafu akawakatalia mtaipeleka wapi?

AIBU aibu, Rais wa wanyonge anayemlipia mfungwa mmoja kutoka jela, vipi wale wananchi wake wengine? Au hawastahili....kwa sababu hawana ndugu aliye rais. Some people need to grow up
 
field marshall1
Kwanza tujiulize swali moja, hivi si ndiye huyo huyo Rais ambaye anawachukia sana wapinzani, hadi akatamka "publicly" kwa Lowassa, wakati ule akiwa upande wa upinzani, kuwa awaonye wapinzani wenzake kuwa wa-behave, ama sivyo wataozea Jela?

Swali la pili, hivi ni kitu gani kimemfanya Rais huyo huyo abadilike hadi ku-sympathize na Msigwa, hadi atake kumtoa gerezani?

Swali la tatu, hivi anadhani kuna mtanzania gani asiyejua kuwa yeye ndiye "mastermind" wa kesi yote hii ya kubambikwa ya akina Mbowe?

Hakika hivi sasa mnara wa Babeli umeshaanza kuporomoka kwa kasi ya kutisha!
 
Halafu chadema watashika madaraka au ZANU PF kisingekuwa madarakani pia naona hata ruzuku mtakosa Sasa mtajiendesha vp

Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kitoto.Unafikiri CDM inaendeshwa na Ruzuku tu,jiulize viongozi wanatolewaje kifungoni sasa? Hiyo ni ruzuku,au Tundulisu anatibiwa na ruzuku?
 
Wale mnao kebehi Ofisi za makao makuu ya Chadema. Sasa mmeelewa kuwa ofisi ya kifahari si kipaumbele cha chama kwa sasa hivi. Kama ingekua kipaumbele nguvu ya umma ingeteremsha mjengo wa maana.
 
Swali la kitoto.Unafikiri CDM inaendeshwa na Ruzuku tu,jiulize viongozi wanatolewaje kifungoni sasa? Hiyo ni ruzuku,au Tundulisu anatibiwa na ruzuku?

Hii move ya mahakama ilikuw last blow kwa chadema, wkitegemea watawafunga , ni nguvu ya umma ndio imewaokoa na hata kumfanya mkulu nae ajiweke mbele aonekane
 
Huyu alishachapia tangia 2015 kuwekwa visasi kwa Hawa wapinzani.

Laiti angejitambua na mapema yaani tukishamkubali saaana kutokana na utawala wake kurudisha Imani,nidhamu na heshma serikalini.

Lkn tangia alivyobana Hawa wapinzani,,,,aseeee kawapa kina na sauti kubwa Sana.

Leo dunia nzima imeshajua athari za Corona na uminywaji haki za binaadamu pamoja na Democrasia Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMATI ipi hiyo ya kupokea michango???

Tuliambiwa turushe kwenye line ya simu ya mtu anaitwa LODRICK LUTEMBEKA!

How the hell do you hold this strange man accountable?

Nani anajua shilingi ngapi kawasilisha na ngapi katumiwa huyo Lutembeka ? Au Sugu au Lema au Mdude Nyagali?

Ndivyo CHADEMA watakavyo handle Wizara ya Fedha?

Akaunti ya chama wanayosema tutume inaitwa CHADEMA M4C, jina la chama ni CHADEMA, sasa ni akaunti ipi ambayo serikali inaikagua ???? Wanataka kupiga?

Uchaguzi Serikali za Mitaa tumeenguliwa, walisema jina la chama tulikuwa tunajaza MOVEMENT FOR CHANGE, leo tena mnachangisha michango kwenye akaunti ya MOVEMENT FOR CHANGE!

Mnataka kupiga ????

FREEMAN MBOWE is simply not up to the job.
 
Mimi nadhani katiba inampa mamlaka ya kusamehe convict yoyote. Angetumia mamlaka yake kuwatoa sio tu Msiba bali wote waliohukumiwa kifungo kwenye kesi ile bila kulazimika kufuja tena rasilimali fedha, maana uendeshaji tu wa kesi yenyewe itakua umeligharimu Taifa pesa za walipa kodi
Asante sana. Ni kweli kama ameguswa sana na hawa convicts angewaachia wote (presidential pardons) kuliko kumtoa ndugu yake pekee...Je wale wasio na ndugu nani atawatoa.

Magufuli kama rais kwanini abague watu wake...wengine watolewe wengine waumie!! Huo ni ubaguzi unaofanywa na rais wa wanyonge. Pili hizo pesa zimetoka kwenye vote gani?
 
Back
Top Bottom