tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka!
Tangu zamani watanganyika, hasa kutoka CCM, wamekuwa mstari wa mbele kuwadekeza wazanzibar na kung'anga'ania muungano licha ya wazanzibar wote kutokuwa tayari kuwa ndani ya muungano. Ni kama vile watanganyika na serikali ya Tanganyika imewabeba wazanzibar mgongoni wakiwabembeleza kubaki kwenye muungano.
Wazanzibar wote ( bila kujali itikadi zao za kisiasa) hawautaki kabisa huu muungano licha ya kwamba wao ndio wananufaika na muungano zaidi ya 💯%. Ni kwanini hasa CCM wanawang'ang'ania wazanzibar ilhali hawapendi huu muungano? Nadhani kuna namna ambayo watawala wananufaika kupitia muungano huu wa mchongo. Nadhani sasa baada ya huyu mbunge kukiwasha, itabidi CCM watafakari upya kama waendelee na huu muungano au la.
Rais Samia alipokalia kiti, wazanzibar wengi sana wamejumlishwa kwenye serikali ijapokuwa idadi yao ni ndogo sana. Pamoja na hilo, bado hawaridhiki. Shukrani zao ni kumtukana makamu wa Rais (mtanganyika) kwa kumpachika jina baya la uyuda. Kwa akili zao finyu, wanatamani hiyo nafasi pia ijazwe na mzanzibar (kinyume cha katiba). Bila shaka, huyu mbunge waliyemtuma kuja kuleta chokochoko kwenye bunge la Tanganyika, kuna kitu wanakitafuta safari hii, sio bure.
Pamoja na uchache wao, CCM wameona ni busara kuwajumlisha kwenye bunge la Tanganyika wakati wao wana bunge lao kule Zanzibar ambalo halimjumuishi mtanganyika hata mmoja. Na wakaona wasilisemee hili kwenye bunge lao badala yake wamekuja kubwatukia kwenye bunge la Tanganyika. Hawarudhiki hawa jamaa. Wanataka wabwebweje ili waridhike?
Tukumbuke wakati makamu wa rais anaapishwa alisema hatakuwa mpinzani wa rais bali atakuwa msaidizi wa rais. Wazanzibar walitegemea hii kauli igeuke kuwa kinyume.
www.facebook.com
Lakini walipoona makamu wa Rais amenyooka kama rula na ameamua kuwa upande wa wananchi, hasa kufuatia mauaji ya Oktoba 29, wameanza kumchokoa pweza huku wakijua fika hawatamuweza
MAONI YANGU
Watanganyika tusikubali kuona makamu wetu wa rais anabagazwa kwa namna yoyote ile. Kwa hili naomba tuondoe itikadi zetu za kisiasa tusimame pamoja na makamu wa rais kutetea rasilimali na haki za watanganyika. Hawa wala urojo wameishavimbiwa mihogo ya Kisarawe sasa wamepata nguvu za kumtukana kiongizi wa watanganyika kwa kumpachika majina ya ajabu.
Tangua alipoapishwa kushika madaraka, makamu wa rais ameonesha ukomavu wa kisiasa na kizalendo kwa kusimama upande wa wananchi na kutetea maslahi ya nchi bila kuyumba. Tusikubali vibaraka wa machawa wamyumbishe kwa namna yoyote ile.
Aluta continua!
Tangu zamani watanganyika, hasa kutoka CCM, wamekuwa mstari wa mbele kuwadekeza wazanzibar na kung'anga'ania muungano licha ya wazanzibar wote kutokuwa tayari kuwa ndani ya muungano. Ni kama vile watanganyika na serikali ya Tanganyika imewabeba wazanzibar mgongoni wakiwabembeleza kubaki kwenye muungano.
Wazanzibar wote ( bila kujali itikadi zao za kisiasa) hawautaki kabisa huu muungano licha ya kwamba wao ndio wananufaika na muungano zaidi ya 💯%. Ni kwanini hasa CCM wanawang'ang'ania wazanzibar ilhali hawapendi huu muungano? Nadhani kuna namna ambayo watawala wananufaika kupitia muungano huu wa mchongo. Nadhani sasa baada ya huyu mbunge kukiwasha, itabidi CCM watafakari upya kama waendelee na huu muungano au la.
Rais Samia alipokalia kiti, wazanzibar wengi sana wamejumlishwa kwenye serikali ijapokuwa idadi yao ni ndogo sana. Pamoja na hilo, bado hawaridhiki. Shukrani zao ni kumtukana makamu wa Rais (mtanganyika) kwa kumpachika jina baya la uyuda. Kwa akili zao finyu, wanatamani hiyo nafasi pia ijazwe na mzanzibar (kinyume cha katiba). Bila shaka, huyu mbunge waliyemtuma kuja kuleta chokochoko kwenye bunge la Tanganyika, kuna kitu wanakitafuta safari hii, sio bure.
Pamoja na uchache wao, CCM wameona ni busara kuwajumlisha kwenye bunge la Tanganyika wakati wao wana bunge lao kule Zanzibar ambalo halimjumuishi mtanganyika hata mmoja. Na wakaona wasilisemee hili kwenye bunge lao badala yake wamekuja kubwatukia kwenye bunge la Tanganyika. Hawarudhiki hawa jamaa. Wanataka wabwebweje ili waridhike?
Tukumbuke wakati makamu wa rais anaapishwa alisema hatakuwa mpinzani wa rais bali atakuwa msaidizi wa rais. Wazanzibar walitegemea hii kauli igeuke kuwa kinyume.
53K views · 947 reactions | #VIDEO “Nitakuwa msaidizi wako na si mpinzani wako” maneno ya Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Dtk. Emmanuel Nchimbi baada ya ku
#VIDEO “Nitakuwa msaidizi wako na si mpinzani wako” maneno ya Mgombea mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Dtk....