Gael Bigirimana alitokea kwenye ligi bora kabisa duniani, EPLYaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote.Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao
Umesema Ligi ndogo haijawai kutoa mtu mzuri. Amekupa mfano Samatta alitokea ligi (ndogo) ya Tz akenda kucheza ligi (kubwa) ya Congo akafanya poa, akaenda Belgium akafanya poaKwani Ligue ya bongo ni mbovu?
Una dalili ya roho mbaya We Jamaa, π‘π‘π‘π‘ππππ ππΏπππ ππΌππ πΌππΌππ πππππΌ πππ πππππ.
Yaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote. Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao sasa alafu wote...
Kibabage mmelipa ngapi?Tatizo Sauti ya Ng'ombe ni Janja Janja Jazz Band ,hataki kutoa Mzigo inamlazimu kuokoteza wachezaji.
Gael Bigirimana alitokea kwenye ligi bora kabisa duniani, EPL
Hapana ligi ya bongo ni bora sana ukilinganisha na ile ya EPL.Kwani Ligue ya bongo ni mbovu?????