Uchambuzi: Kwanini Simba kwa Onana wamepigwa

Uchambuzi: Kwanini Simba kwa Onana wamepigwa

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
𝙇𝙄𝙂𝙄 π™‰π˜Ώπ™Šπ™‚π™Š π™ƒπ˜Όπ™„π™…π˜Όπ™’π˜Όπ™ƒπ™„ π™†π™π™π™Šπ˜Ό π™ˆπ™π™ π™ˆπ™•π™π™π™„.

Yaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote. Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao sasa alafu wote huwa wanatokea RAYON SPORT[emoji2296].

Yaani kwa Rwanda angalau mchezaji atoke APR kama Niyonzima na Twite lakin Rayon ambayo kila mwaka imejitahidi ni Nafasi ya pili ni bomu tu.

Yale Yale ya kina sawa kubwa

NIMEKAA PALEEEEEEEE
 
Samatta alitokea ligi ya vodacom akaenda kukiwasha Mazembe na EPL na akawafunga hadi Man City pale wembley.

Na akagunga goal la kichwa mbele ya VVD pale anifield.

images (28).jpeg
 
𝙇𝙄𝙂𝙄 π™‰π˜Ώπ™Šπ™‚π™Š π™ƒπ˜Όπ™„π™…π˜Όπ™’π˜Όπ™ƒπ™„ π™†π™π™π™Šπ˜Ό π™ˆπ™π™ π™ˆπ™•π™π™π™„.

Yaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote. Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao sasa alafu wote...
Una dalili ya roho mbaya We Jamaa, 😑😑😑😑
 
Nikiwa kama mdau wa michezo, sina ujasiri wa kumhukumu wakati sijamuona akicheza. Ligi itakapoanza, mbivu na mbichi zitajulikana.

Muhimu tu kila usajili kwa timu za ligi kuu, basi uwe na tija kwa timu zote zinazoshiriki. Na usiwe usajili wa mihemko, au kukomoana.
 
Back
Top Bottom