Uchambuzi: Kwanini Simba kwa Onana wamepigwa

SIJAWAHI KUONA JITU TAHIRAA KIASI HIKI.

PATRIC MAFISANGO ALIWANYUKA 5-0.

HARUNA NYONZIMA.

MBUYU TWITE

HAWA WOYE WAMECHEZA RWANDA INAMAANA WALIKUWA WABOVU?????

Mashabiki WA Yanga wenye akili ni wawili tu.

WEWE NI JUHAA....
Vpi kuhusu sarpong
 
Baleke yupo bado mzee
 
Patric Mutesa Mafisango ,Haruna Hakizimana Niyonzima watu Hawa walitoka wapi?
 
Hakuna kitu rahisi kama kujibu hoja za wanayanga, Wana tabia ya kuuliza kitu huku majibu wanayo. Wanadai ;ligi nyepesi hapahapo wanajitetea kumsajili Nyonzima aliyetokea ligi ileile ndio maana Kila kesi inayoenda CAS na FIFA wanashindwa.
 
Hatakuwa wa kwanza endapo ikitokea hivyo. Iliisha tokea kwa Sarpong, Shevchenko, Mateja Kezman, hata akina Torres from Liverpool to Chelsea na juzi kabisa Eden Hazard. Kuhama na kiwango kushuka regardless league aliyotekea.

But wapo waliotoka league ndogo na kukiwasha league kubwa vizuri sana. Mfano Leandro Trossard, Miquissone mwenyewe alitoka kwao league ndogo akaja kukiwasha hapa.
Itategemeana na
1. Mfumo
2. Afya
3. Psychology
4. Starehe nk
 
Hakuna kitu rahisi kama kujibu hoja za wanayanga, Wana tabia ya kuuliza kitu huku majibu wanayo. Wanadai ;ligi nyepesi hapahapo wanajitetea kumsajili Nyonzima aliyetokea ligi ileile ndio maana Kila kesi inayoenda CAS na FIFA wanashindwa.
Muda utaongea
 
Yaaah mkuu ...umeongea vyema sana
 
Jamaa UNABOA sana.

Natamani niku ignore nisiwe nasoma content zako.

Una Akili ya Ajabu mno, Nakuona una UPUMBAVU ule WA Jimy KINDOKI.

JiSAHIHISHE MZEE.
 
Yule wa nyu kesto yuko wapi?
 
Jamaa UNABOA sana.

Natamani niku ignore nisiwe nasoma content zako.

Una Akili ya Ajabu mno, Nakuona una UPUMBAVU ule WA Jimy KINDOKI.

JiSAHIHISHE MZEE.
Ignore tu mkuu[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…