Uchambuzi: Kwanini Simba kwa Onana wamepigwa

hebu tuyaache haya maneno ya tumepigwa
 
Kama wale washuka daraja kule bondeni malumo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na skudu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Rafiki yetu SAMUEL ETOO ndiye aliyetushawishi kumsajili ONANA alisema ni chuma kizito" - Ahmed Ally, Afisa habari wa klabu ya Simba SC.
 
"Rafiki yetu SAMUEL ETOO ndiye aliyetushawishi kumsajili ONANA alisema ni chuma kizito" - Ahmed Ally, Afisa habari wa klabu ya Simba SC.
Kispika anaongea sana mwisho anaharibu[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…