Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema neno Mzee kuhusu OnanaJamaa UNABOA sana.
Natamani niku ignore nisiwe nasoma content zako.
Una Akili ya Ajabu mno, Nakuona una UPUMBAVU ule WA Jimy KINDOKI.
JiSAHIHISHE MZEE.
hebu tuyaache haya maneno ya tumepigwa𝙇𝙄𝙂𝙄 𝙉𝘿𝙊𝙂𝙊 𝙃𝘼𝙄𝙅𝘼𝙒𝘼𝙃𝙄 𝙆𝙐𝙏𝙊𝘼 𝙈𝙏𝙐 𝙈𝙕𝙐𝙍𝙄.
Yaan hiyo Ligi ya Rwanda akicheza MZIZE anachukua tuzo zote. Ukiona Umbo la Onana na Sarpong unaogopa ila kazi zao sasa alafu wote huwa wanatokea RAYON SPORT[emoji2296].
Yaani kwa Rwanda angalau mchezaji atoke APR kama Niyonzima na Twite lakin Rayon ambayo kila mwaka imejitahidi ni Nafasi ya pili ni bomu tu.
Yale Yale ya kina sawa kubwa
NIMEKAA PALEEEEEEEE
Mchambuzi mwenzangu nguli nakukubali sanaSisi wachambuzi tunaona mbali
Hakika ww ni mchambua mboga na si mchambuzi wa michezo
KonikoniSkudu ni professional
KonikoniSkudu ni professional