Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyike

Sio mimi, ni wao M23 wataka wasikilizwe madai yao ya msingi ambayo nimeyaeleza kwenye uchambuzi.
Madai ya M23 ni madai ya kiuwendawazimu kwa 100%. Kwa mfano wanataka mambo haya:
1. Waingizwe bungeni kimchongo
2. Waingizwe jeshini kimchongo
3. Watambuliwe kama jimbo huru ndani au nje ya DRC
4. Wamegewe eneo la DRC na wawe taifa huru.

Na wakati kila mtu anajua M23 ni jeshi kamili la Rwanda linalotumia walowezi wa kitutsi waliopo mashariki mwa DRC kama mgongo wa kuunda madai yao ili wapate sababu ya kuivamia, kuvuna rasimali na kumega eneo la DRC.
 
Wewe ndio umemaliza Kila kitu


Huyu mtusi hawezi jibu
 
Tunasema hivi, dawa ya moto ni kuuwasha moto zaidi ili moto mdogo umezwe. M23 ni RDF, na wameamua kujitambulisha kivita, hivyo kuwazima mazima inabidi wasambaratishwe kijeshi, sio kucheka cheka nao mezani.

Kusema M23 ni wakongomani ni uongo kwa 100%. Hakuna mkongomani anayefurahia kuua mkongomani mwenzie asiyekuwa na hatia, Wale ni wanyarwanda wenye kutaka kumega eneo la DRC kinguvu.
 
Dawa ni kuivamia Rwanda kijeshi, hayo yote yatakoma.

Wapelekwe wanajeshi laki 5 kutoka Congo Dr, Tanzania, Zimbabwe na SA.
Wakifanya hivyo, milele hakutakuwa na vita ukanda huo.
VIkwazo tu vinatosha. Nchi ambayo ni landlocked inawekewa vikwazo tu kwenye huduma ya bandari kutoka kwa nchi zote inayozitegemea kupitishia mizigo yake. Maisha yawachape ili wamtoe rais wao madarakani kwa mikono yao wenyewe.
 
M23 sio wakongomani. Wakipewa jimbo wajitawale watataka majimbo mengine zaidi. Kwahiyo hakuna namna ya kushughulika nao zaidi ya nguvu ya kijeshi kwa ajili ya maslahi ya wakongomani.
 
Ni kweli Wanyarwanda wengi wanaiunga mkono M23. Hata humu wanajionyesha wazi.

Umenipatia nukta kubwa sana!
 
Wa kuviamin ni wewe uliyechagua upande au. Habar zote zipo maeneo husika. Hiv unafikiri watu hawajui nani alimuua rais wa Rwanda na Burundi wakat wanatoka Arusha. Au unafikiri watu hawajui nan alimuua comredi Rwigema. Nakupa challenge moja. Nenda tafuta vyeo vyote vikuu vya jeshi Rwanda ni watutsi. Hawa jamaa ni cancer.
 
Sasa kama nkunda yupo ndani Rwanda kwanini asirudishwe Congo
 
Ndio zipo maeneo husika, naweza kufungua blog leo nikapost ninacho ona niukweli kwangu sidhani kama hiyo inaweza kuwa reference kwa mtu atakayesoma nilicho post. lakini articles za wasomi, International communities au serikali ndio hutoa credible sources.
Huu mgogoro uko complex zaidi ya watu wanavyofikiria, kumbuka M23 sio yaleo iliwahi kufukuzwa na SADC i believe hata sasa finally watashindwa vita maana wanapigana na international community hata ama wanapata support ya Rwanda sababu Rwanda kama nchi also inaogopa international community kwani inaweza kuwekewa vikwazo so lazima wapunguze support au wasimamishe kabisa.
However that international community wont stay forever wakiondoka vita inaanza tena, Congo ni interest ya mataifa makubwa sio rahisi kusema unaimega hivyo sidhani kama kuna mpango kama huo.
Lakini my question is kama M23 inaomba mazungumzo kwanini yasikuwepo?? Just kuokoa raia serikali ikubali mazungumzo.
unaweza kumchukia Kagame thats normal, mimi mwenyewe namkubali lakini i disagree with SOME of his policies.
Lakini ukisema watutsi ni cancer you have gone too low..Hizo ni statements za watu wasio na busara. Unajuwa hao unaosema ni cancer wengi wao wako mikoa ya Kagera na Kigoma? ivi unajuwa falme za Karagwe zilikuwa zinaongozwa na kina nani?
Ni makosa kuchukulia the whole ethnic in general hili ni suala la ki siasa na economic interest zaidi.
 
Siku hizi hakuna unyanyembe wala utwa wala umangi. Hivyo sahau hizo empire leave internationally
 
Sababu za Tanzania na SA kwenda umekosea. TZ na SA zimeenda kama sehemu ya Maamuzi ya kikanda. Awali kikosi hiki cha SADC kiliitwa FIB, yaani Force Intervention Brigade. Hii ilifanya kazi kubwa.
Hivyo SA name TZ hazijaenda kwa maslahi binafsi tofauti na ulivyoeleza kwenye utangulizi wako.
 
Broda hao watu wameish hapo vizuri bila shida mpaka Kagame anaingia marakan ndio shida ilianzia hapo. Kagame kakubali kutumika na mataifa makubwa kuiibia Congo kwa gharama za damu za wakongo Man. Hayo makubaliano wanayoomba m23 sio kwamba hawajawah kuwapo huko nyuma kinachotokea ni kuwa hawa jamaa ni wanyarwanda wanaotaka Congo izungumze nao ili waingize wanyarwanda kwenye system za nchi ya Congo ili kila mipango mnayo panga imfikie Kagame asubuhi na ndicho Congo hataki ni kama yale makubaliano ya lemera. Kabarabe awe mkuu wa jeshi halafu wanaingiza watu wao ili waibomoe nchi. Hawa watutsi ndio zao hebu jiulize ile vita alikuwepo mkongo general mzur wakamuua wakat wanaelekea Kinshasa. Hata hapa bongo watutsi wote waliokuwa maeneo nyeti waliungana na wenzao Rwanda wakatimkia huko.
 
We mpumbavu tutolee ujinga wako!


Mnaanza kujisemesha kigoma na kagera zilikuwa chini ya watusi au sio ?


Jaribuni huo ujinga wenu kuuleta Tanzania hakuna rangi mtaacha kuiona
 
We mpumbavu tutolee ujinga wako!


Mnaanza kujisemesha kigoma na kagera zilikuwa chini ya watusi au sio ?


Jaribuni huo ujinga wenu kuuleta Tanzania hakuna rangi mtaacha kuiona
Wataharisha sana.... umesikia we nyau Kabare12 ? Jichanganyeni huko huko mnakokujua, sis hatuchek na malaya au mashoga wa ki tutsi. Tutawagonga mjinyee mafala nyie
 
Wataharisha sana.... umesikia we nyau Kabare12 ? Jichanganyeni huko huko mnakokujua, sis hatuchek na malaya au mashoga wa ki tutsi. Tutawagonga mjinyee mafala nyie
Halafu watusi wamejazana sana Kanda ya ziwa na hapo ifm sijui serikali hawalioni hili wanaingia Hadi kwenye taasisi za umma wanaajiriwa!


Serikali fanyeni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…