Uchambuzi: Mambo ya msingi kabisa ya kuyatambua kuhusu mgogoro wa wapiganaji wa M23 na Congo DRC na mapendekezo ya nini kifanyike

Tuache kutafuna maneno, kiini cha mgogoro wa DRC ni tamaa ya Rwanda chini ya mwamvuli wa uingereza. Kuumaliza huu mgogoro, hatua tatu zifanyike:
1. Kundi la M23 lifutwe kabisa ndani ya DRC na karibu na mipaka yake kwa mtutu wa bunduki. (Jeshi la TZ na South Afrika yanaweza kuikamilisha hii kazi kwa miezi sita tu)

2. Rwanda iwekewe vikwazo vya kiuchumi na kisiasa (inyimwe misaada, itengwe na jumuiya za kimataifa ikiwemo kutengwa na jumuiya ya Afrika mashariki, SADC)

3. Uingereza inyoshewe kidole, ishinikizwe, alaumiwe na kukosolewe (kwa aibu itabidi ijitenge na Rwanda)
hii vita unaitizama kwa upande sio sahihi , majeshi yana mipaka ya silaha za kutumia huko DRC ila wale waasi hawana mipaka , kama Hamas wanalipua makaz ya watu ila IDF wakifanya hivyo kelele nyingi
 
HUWEZ kuwasikiliza wahuni!

Kila kundi katika nchi likitaka kufanikishiwa mahitaji yake nchi haiwezi kwenda!

Congo waimalishe jeshi lao!

Hata hapa Tanzania tuliingia vita na Uganda kwasababu ya mkoa wa kagera tu.

Ukraine ameingia vita na Russia kwasababu ya Crimea.

Hao m23 sio wa kuacha ni kwenda nao kiulalo ulalo.
kiulalo ulalo hahahaaa htr sna
 
Hapa jambo la msingi tuwamulike watusi popote walipo na tuishi nao Kwa tahadhari ili filimbi ikipulizwa kila mtu ajue anafyeka watusi wa karibu yake vinginevyo amani ya EA itatoweka.

Nawasilisha
hahahaaaa
 
We mpumbavu tutolee ujinga wako!

Mnaanza kujisemesha kigoma na kagera zilikuwa chini ya watusi au sio ?

Jaribuni huo ujinga wenu kuuleta Tanzania hakuna rangi mtaacha kuiona
Kagera ni mkoa wa Tanzania toka kabila la wahaya na Kigoma ni mkoa wa-Tanzania toka kabila la waha. Hao ndugu zake hawana kwao Tanzania na hawatambuliki kwa lolote zaidi ya hadhi ya ukimbizi na sifa ya usaliti.
 
hii vita unaitizama kwa upande sio sahihi , majeshi yana mipaka ya silaha za kutumia huko DRC ila wale waasi hawana mipaka , kama Hamas wanalipua makaz ya watu ila IDF wakifanya hivyo kelele nyingi
Unataka kusema nini?
Hakuna muasi hapo hao ni askari wa jeshi la Rwanda, M23 ni kichaka cha jeshi la Rwanda ndani ya DRC. Wakipigwa wanakimbilia Rwanda, vita ikitulia wanajipanga upya kutoka Rwanda. Kiini cha hii vita ni utawala wa Rwanda. Hii ngoma inatakiwa ipigwe mpaka Kigali.
 
Matatizo ya Drc ni 'imported' kutoka nchi jirani yake.
 
Na ndiyo lengo kuu,na haitaishia hapo tu,watasogeza magoli hadi kagera na mbarara,huyu Richard inaonekana kama anajaribu kutu pre empty,ana maslahi na m23,hata uandishi wake ni wa kirwanda per se, ila ajue tu,m23 itapanua mguu siku moja,na kende zitabanwa bara bara,na hutowasikia tena,kwani PK ni Mungu bana?
Zaidi ya matusi watz hakuna tunachojua ndio mana ccm inatuburuza itakavyo
 
Hii vita Ina historia ndefu sana wenye ndugu waliokwisha kwenda huko congo na kuludi ndo akikupa story unaelewa nn kinaendelea na hadi sasa hapa Tanzania Kuna maeneo kuanzia biharamulo, ngara hadi kigoma usalama unazidi kuimalishwa huko misituni wanapelekwa watu kuimalisha Hali ya mambo
 
Mengi bado yasemwa kuhusu mgogoro unoendelea huko Congo DRC na kwamba hawa wapiganaji wa M23 wafyekwe au wapotezwe mazima jambo ambao si rahisi kama wengi wanavyodhani.

Serikali za Afrika hususan eneo la maziwa makuu zimefikia uamuzi wa kutuma majeshi yao Tanzania ikiwemo pamoja na Afrika Kusini. Serikali ya Rwanda imetuhumiwa kuwasaidia wapiganaji hawa wa M23 na Uganda pia kwa asilimia fulani. Hapa ni lazima ieleweke kwamba ushiriki wa majeshi ya Tanzania katika mgogoro huu ni katika kuhakikisha usalama wa eneo lote la Goma ya kusini ambao lipo karibu kabisa na mpaka na Tanzania na pia kuhakikisha usalama wa eneo lote la mashariki ya Congo DRC.

Afrika Kusini nayo imejiingiza katika mgogo huu kutokana na uwezo wake wa kijeshi ambao umewazidi nchi za Tanzania na pia katika kutaka kuonyesha kuwa nchi hiyo nayo sasa ni mwamba katika medani za kivita baranio Afrika.

Lakini mgogoro huu kati ya wapiganaji hawa wa M23 na serikali ya Congo DRC waweza kutatuliwa endapo Serikali ya Congo DRC itaamua kumeza risasi na kuwaachia M23 wawe na Kivu yao ambayo ndo sehemu ya walipozaliwa baba zao na mama zao.

Ntachambua namna mgogoro huu ulivyoanza na jinsi unavyokwenda na kuona kama kuna dalili za kuwepo maridhiano yoyote kati ya pande hizi mbili.

M23 kilianzishwa rasmi miaka 10 ilopita.

Baada ya kuanzishwa tu wakateka mji wa Goma ulioko mashariki ya Congo DRC karibu na Tanzania.

Goma ni mji wenye watu wapatao milioni 2 ambao sasa hivi wapo kwenye dhahama ya kuukimbia mji huo kutokana na madhila ya mapigano kayti ya M23 na Majeshi ya Congo DRC, Tanzania na Afrika Kusini.

Lakini tukirudi nyuma kulikuwepo na usitishaji wa mapigano kati ya mwaka 2017 na 2020, lakini mwaka 2021 mapigano yakazuka upya.

Wapiganaji wa sasa wa M23 ni watoto wa "Original M23" waliliunda hili kundi mwaka 2012. Wale wapiganaji wa awali ndo walipigana sana na majeshi ya Congo DRC wakati huo wapiganaji hawa wakiitwa CNDP kwa kirefu National Congress for the Defence of People.

M23 madai yao ni kwamba wabaguliwa na Wakongo na wao ni kizazi cha watutsi walozaliwa Kivu pamoja na makabila mengine madogo walozaliwa sehemu hiyo. Hawa ni kizazi cha Rwanda na wajulikana wazi kwa jina la Rwandophones yaani wazungumza kinyarwanda.

Mwaka 2012 M23 waliuteka mazima mji wa Goma na baada ya mazungumzo ya hapa na pale bado kundi hili liliendelea kudai haki yake ya kutambuliwa rasmi na baadae kundi hili likaanza kupata msaada kutoka Rwanda. Hata umoja wa SADC nao ulifanikisha kufanya mazungumzo ambapo kundi hili lilisitisha mapigano rasmi mwaka 2013.

Lakini baadae kundi la M23 likasambaratika na wapiganaji wapatao 1700 wakakimbilia Uganda na wengine wapatao 700 hivi wakakimbilia Rwanda. Hapo waweza kuunganisha "Dots" kwamba kundi jipya la M23 limetokea wapi likiwa na silaha kali na za kisasa zikiwemo la SAM.

Mapema mwaka 2017 kukaanza "Movement" ya wapiganaji kutoka Uganda ambao walianza kuingia nchini Congo DRC na kuanza kupigana na majeshi ya Congo DRC. Mwaka 2021 mapigano mapya yakazuka na kuanza kuenea sehemu mbalimbali za Kivu. Mwaka 2022 vita ikakolea huku M23 ikiwa imara na yenye uwezo wa kuyachachafya majeshi ya Congo DRC.

Uwezo huo wa M23 ndo uloanza kutia shaka kwamba Rwanda yahusika kwa kutoa msaada wa mafunzo, vifaa na mbinu za kijeshi kwa kundi hilo. (Pia Uganda kwa kiasi fulani nayo imetuhumiwa kuhusika na kundi hili (rejea vile vikosi 1700 na 700).

Kwanini M23 wapigania sana Kivu?

Kama nilivyoeleza hapo juu wapiganaji wengi wa M23 watokea sehemu ya kaskazini mwa jimbo la Kivu hususan sehemu za Rutshuru na Masisi ambazo zipo karibu kabisa na mipaka na Rwanda hivyo kuwafanya wapiganaji hawa kuwa na uzoefu mkubwa wa miteremko na maporomoko ya milima ambapo wakiwa juu milimani wapiganaji hawa waweza kuiona Goma.

Rutshuru yenyewe yapakana na Rwanda, Congo DRC na pia Uganda ambapo sehemu hii ina biashara kubwa ambayo yahusisha malori ya mizigo yatokayo Mombasa nchini Kenya na yanokwenda Congo DRC sehemu za Goma na Bukavu kupitia Uganda. Pia sehemu hii ina madini na rasilimali zingine hivyo kuwapa uwezo kundi hili la M23 kukusanya ushuru unotokana na kodi kwa magari yanopita sehemu ya mpaka wa Bunagana.

Sehemu nyingi zenye migogoro kati ya vikundi vya waasi au magaidi kitu cha kwanza kabisa ni kushikilia vyanzo vya mapato. Hata makundi ya ISIS, Al Shabab, Hamas na makundi yanopigana huko Colombia na Uturuki na Yemen ni lazima yawe na vyanzo vya uhakika vya mapato ambapo ushuru wa barabara ni namba moja. Ingawa nisingependa kuliita kundi la M23 kundi la magaidi lakini nalo ni kundi ambalo latumia mbinu zilezile.

Nguvu ya M23 kupigana na kuyazidi nguvu majeshi ya Congo DRC yatokana na nini?

Uwezo mkubwa wa kupigana uliionyeshwa na kundi hili umetia shaka kuwa ni lazima wapewa au wapata msaada kutoka Rwanda au Uganda. Kumekuwepo matumizi ya silaha kali kama vile SAM (Surface to Air Missiles) ambapo kumekuwepo na taarifa za kudunguliwa kwa helikopta kadhaa za jeshi la Congo DRC.

Pia M23 wameonekana na uwezo wa kuhimili mapigano kwa masaa mengi jambo linoashiria kuwa kundi hili wana vifaa vya kisasa kabisa kama vile vyenye kusaidia kuona nyakati za usiku (night vision cameras) na vifaa vingine vya kisasa kama makombora, mizinga na silaha za SMG za kisasa. Ni dhahiri kuwa kama vifaa hivi vimefika mikononi mwa M23 basi kuna msaada mkubwa wa ugavi wa silaha hivi na ndo maana jeshi la Rwanda lahusishwa na kundi hili.

Pia licha ya kupigana kwa kutumia silaha za kisasa, kundi hili la M23 laonekana kupigana vita ya kitaalam yaani ya hatua kwa hatua (Conventional warfare) kuharibu mifumo na silaha za adui kwa kudungua silaha na vifaa vya adui jambo linoashiria kwamba kundi hili lina msaada mkubwa wa kilaama.

Kwa kudhihirisha hilo, leo hii M23 wamefika karibu kabisa na mji wa Goma na mida hii wazuia mizigo na chakula kupitishwa katika barabara kuu za kuelekea kwenye mji huo na pia wameingia katika mji wa Sake uliopo kilomita zipatazo 25 kaskazini magharibi mwa Goma.

Kwa vipi mgogoro huu utapa suluhisho?

Kwanza kabisa tuangalie jeshi la Congo DRC na uwezo wake. Jeshi hili ni la hovyo, lilokosa mpangilio wa kijeshi, lenye uhaba wa silaha na vifaa vya kisasa. Mgao au malipo ya wanajeshi mara nyingi huishia kwa majenerali ambapo huneemeka na misaada ya kijeshi kutoka nje na nchi jirani za Tanzania na Burundi. Pia majenerali hao na viongozi wengine wa kijeshi hutumia muda mwingi kwenda migodini kutafuta dhahabu au madini kwa ajili ya kuuza ili kupata fedha za mabilioni.

Ndo maana leo hii Afrika Kusini wameamua kutuma vikosi vipatavyo 2900 kwenda kusaidia kampeni ya kudhibiti kundi hili la M23.

Mgogoro huu waweza kuisha kwa kurudia makubaliano yalofikiwa miaka 10 ilopita ambapo ilikubaliwa kuwa wapiganaji wa M23 waingizwe kwenye jeshi la Congo DRC jambo ambalo halikutekelezwa. Pia mfumo wa kisiasa wa M23 ulipaswa kutambuliwa na kinyume chake jambo hilo likapuuzwa hadi leo. Endapo M23 wangekuwa wakishiriki harakati za kisiasa huenda leo hii nao wangekuwa na uwakilishi bungeni.

Jambo jingine ambalo wanasiasa wa Congo DRC wataka kulisahau ni ushiriki wa Rwanda katika vita ya kumwondoa aliekuwa raisi wa wakati ule ikiitwa Zaire Mabutu Sese Seko mwaka 1996 ambapo Laurent Kabila alikuja kuwa raisi wa Congo DRC. Hivyo Congo DRC kutokea raisi Joseph Kabila na sasa Felix Tsishekedi wamekuwa wakikwepa kuwa karibu na Rwanda ambayo nayo kwa sababu za kiusalama na kisiasa imewalazimu kuwa macho na Congo DRC.

Rwanda imebakia haina jinsi bali kuachana na kutoa msaada kwa kundi la M23 jambo ambalo ni gumu kwa kuzingatia kuwa Congo DRC wana ushirikiano wa kijeshi na Uganda na pia majeshi yake yamekuwa yakiingia Burundi ambako pia kuna makundi ya waasi ambao pia yahisiwa kuwa yana msaada mkubwa kutoka vikosi vya kijasusi vya Rwanda. Pia Kwa Rwanda kuwaondoa M23 katika maeneo wanoyashikilia ya Kivu na Goma jambo ambalo ni gumu kutokea kutokana na rasilimali kubwa zilizopo katika eneo hilo.

Huko nyuma mwaka 2009 iliwahi kutokea ambapo Rwanda na CNDP walikubaliana na serikali ya Congo DRC kuachana na Goma na Kivu jambo ambalo M23 walilikubali kwa shingo upande kwani liliwaathiri wao zaidi kiuchumi kuliko Congo DRC. Rwanda yataka kuwepo na guarantee kutoka jumuiya ya Afrika Mashariki kwamba vikosi vya kuleta amani vya nchi za maziwa makuu havitaleta athari yoyote ya kiusalama katika eneo la kaskazini mwa mji wa Kivu jambo litopelekea Rwanda kuhisi haiko salama.

Jambo la mwisho ni kwa serikali za Tanzania, Congo DRC, Kenya, Uganda, Burundi na Sudan ya kusini ambazo zaunda Umoja wa Afrika Mashariki kuitisha mkutano na Rwanda ambao utafikia azimio la kuitaka Rwanda kuacha kutoa msaada kwa M23 na pia kuuwa tayati kutuma majeshi yake kwenda Kivu na Goma kusaidia kudhibiti kikundi cha M23 ambacho chaundwa na Wakongo wenye asili ya Rwanda.

Bila hivyo, mgogoro huu utaendelea kuitafuna Congo DRC na kueneza makundi mengi zaidi ya waasi ambayo yatatokana na migogoro mingine iliyopo barani Afrika kama Sudan. Jambo lillo wazi ni kwa serikali ya Congo Kuketi kikao na waasi wa M23 na kuangalia upya makubaliano ya mwaka 2010.

Uchambuzi huu pia umetumia vyanzo mbalimbali kama AP, na Reuters.
Uchambuzi wako ni wakimamruki nadhani unaweza kua umetumwa!! yaan unatumia western media kufanya analysis wakat UN na Taasisi za kimataifa ndio kiiini cha mzozo?? (None sense)
Unajua m23 au banyarwanda kwa kivi ni asilimia ngap??? hata asilimia 10% hawafiki ni sawa na tanzania masai waanze kudai Tz yote nzima ni yao afu uunge mkono wakat n chini ya asilimia 2% ya watu

Lakin pia umesahau m23 yalikua n makubaliano ya rwanda na Laurent kabila kua kuwaingiza jeshini ili waweze kucontrol DRC nzima kama ilivo rwanda na Uganda

Kifupi unaongea kitu usichokijua!! mzizi wa mgogoro ni superiority perception
 
Hapa jambo la msingi tuwamulike watusi popote walipo na tuishi nao Kwa tahadhari ili filimbi ikipulizwa kila mtu ajue anafyeka watusi wa karibu yake vinginevyo amani ya EA itatoweka.

Nawasilisha
Watutsi watauliwa Rwanda na Burundi tena kabla ya Bongo
 
Suala hili la Mgogoro huko Congo DR (Zaire) kwa upande huo wa Mashariki mwa nchi liko Very Complex, kuna 'Aggregates of Factors' ambazo zimesababisha Mgogoro huo kuwa mkubwa hivyo, wa kudumu na mgumu kutatulika. Sababu zipo nyingi sana, zipo sababu ambazo ni internal factors na sababu zingine ambazo ni external factors.
Aidha, Mgogoro huo ulianza tangu zamani Sana, mwanzoni kabisa mwa miaka ya 1960 baada ya Mkoloni wao Ubelgiji kuondoka madarakani nchini humo. Mgogoro huo ni wa kihistoria, haukuanzia na hao Waasi wa M23. M23 ni mwendelezo tu wa huo Mgogoro.
 
Suala ni kweli lipo complex sana.

Wengi hawafahamu pia kwamba FDLR ni zao la wanajeshi wa zamani wa Banyamulenge, SADC, Burundi, wanamgambo wa vikosi vya jeshi la Congo DRC pamoja na vikosi vya wanajeshi za zamani yaani mamluki kutoka nchi za Ulaya.

Hizi ni taarifa za kijasusi kabisa ambazo zipo na zajulikana.

Juzi Jenerali Pasifuque Ntawunguka aliuawa na yeye alikuwa ni kamanda wa sehemu ya jeshi la FDLR ambalo latumia jina la FOCA. Huyu jamaa alitumia majina mengi ya bandia kama Omega au Israeli lakini alitafutwa na amepotezwa na majasusi wa M23.

Ukiuliza mambo aliafanya Ntawanguka kwenye miaka ya 90s utaambiwa na jamaa ana chuki kubwa dhidi ya watutsi.

Bila shaka ndo maana kazi ya kumsaka ilikuwa ni nzito lakini imekamilika.
 
Hii kitu solution yake ni ngumu sana...annexation..na ndio itafanya iishe lakini wataridhika?.. mpaka sasa sababu ni kuwalinda minority na kulinda mali zinazoibiwa
 
Kuna mambo kadhaa kwa mwandishi wa Uzi huu.
1. Aidha yuko upande wa M23 na washirika wake kwahiyo lengo ni kutafutwa uungwaji mkonokupitia propaganda hizi . Akikiri kuwa M23 wanafadhiliwa na Uganda na wana asili ya Rwanda na kupata ufadhili lkn anataka qaingizwe ndani ya jeshi au kisiasa ndani ya DRC hii ni kusema Congo kisiasa na kijeshi iwe imefungama na Rwanda na Uganda. Fucken' ideal

2. Lakini anaweza kuwa hajui kitu juu ya mgogoro huu kuwa ni UN sponsored na kuwa kuna makundi mengi mno ambayo lengo ni ku disstablize DRC na kufanya wizi wa madini muhimu. Tena hajui kuwa silaha zamakundi mengi , intels zaote huwa zinatolewa nna mashirika ya kijasusi ya kimataifa.
Hajui kuwa nchi alizotaja kama qafadhili au hifadhi ya M23 iliposambaratika ni mawakala wa naotumiwa kunyonya Congo na qao wakifaidika kwa asilimia nyingi na wizi qa madini ni Qaafrika ambao ni pippet wa mataifa ya kinyonyaji..

Hajui tu kuwa viongozi wengi wa Congo huwekwa kwa madhumuni na hivyo hawana mkakati wa kulitengeneza jeshi, ndio maana unawaona wako na boot za tope, hawana ujuzi hawana siraha na mafunzo, haqana tija za kimapato na hivyo hakuna Jeshi lenye weledi.
Unaweza kudhani tu hakuna nchi yoyote hata ya Kiafrika yenye lengo la kuwasaidia Congolese kila anayeenda anatafuta mkate wake. Pia hii rule of engagement ambayo inafanya majeshi yaliko huko chini ya mwamvuliwa UN kama walinda amani ni toothless dogs kwa sababu kama wangeenda kufuta vikundi vyote vya uasi wangekuwa qanavitafuta na kyshambulia, lkn sasa wao wanakaa kuzuia waasi wasije kwa raia wasishambulie labda ikibidi ..
Intels nyingi zinajua nini kinafanyika Congo na Taarifa zilizokusanywa na kuwa analysed zinaonesha Congo ni eneo limetengwa kama shamba la bibi.
Poor African with poor Leadership
Poor Africa citizens whom can be bought for betrayal
We are doomed
Pathetic
 
Tumekua Kila siku tukidanganywa hiki kikosi ni Cha waasi kumbe bhana ni wapigania haki ya ardhi Yao mungu awabariki

Hawa wanajeshi wa m23 haki imeshinda Hawa ni mashujaa wa congo ambao wanawahangaisha wanyonyaji
 
Tumekua Kila siku tukidanganywa hiki kikosi ni Cha waasi kumbe bhana ni wapigania haki ya ardhi Yao mungu awabariki Hawa wanajeshi wa m23 haki imeshinda Hawa ni mashujaa wa congo
Mko wengi..... nyuzi zinatrend balaaaa ila tz ni baba hivyo mtoto anatakiwa amheshimu baba mda wote
 
Back
Top Bottom