TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Umesharudi bongoland?.Mkuu acha kunianika mimi na mke wangu humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesharudi bongoland?.Mkuu acha kunianika mimi na mke wangu humu.
Sawa kaanisha tuhuma. Zinaweza kuthibitishwa au ni kule tu kupiga ramli?Mleta maada kaanisha aina za tuhuma
Kha!kha!,Hapa mnamjadili Askofu sio?!!,Ni Askofu nani huyo mnayemjadili??[emoji23][emoji23][emoji134][emoji134]Fungua uzi wao hapa tunajadili askofu
WALIOMUUA WANAJUA KWANINIMkuu tusaidiane nyama kwa kweli hapa moyo wangu hautulii natamani ningepewa kibali binafsi kufwatilia kwa kina whts goin on[emoji849] inafikirisha sana
Endelea kutoelewa.Ata mm sielewi
Nimekuuliza upo ndani ya hiyo system inayofukuza au kufukuzwa!??Hakuna huo utaratibu mtu akikuika hufukuzwa! Awe mwanamke au mwanamme na waliofukuzwa wapo wengi tu mtaani kwa makosa ya kingono na kwenda kinyume na kanisa
Kuwa Padri kijana ni changamoto hasa kwenye zile ishu za kula tunda za watu[emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 2192523
Uchunguzi wa mwili wa marehemu kwenye mapafu utaonyesha kama alikufa maji au alitupwa kwenye tanki la maji akiwa tayari amekufa na kama alikufa maji jee alijirusha mwenyewe kwenye tanki hilo au alisukumiwa hukoSitaki kuamini kuwa padre alipanda kwenye tank akiwa mzima akajitupa huko ili afe kifo cha maji ambacho kitachukua muda mrefu. Narudia sitaki kuamini kuwa alipanda kwenye tank akiwa mzima halafu akadumbukia huko. Hivi maeneo ya karibu hakuna CCTV Camera? Nyumba yao imepakana na Shule za st . Joseph na Cathedral Bookshop na Tanzania Commercial Bank zamani Bank ya Posta pia kuna Insurance coy jirani. Je kote huku hakuna CCTV? Je wao hawana CCTV? Ngoja nitulie niendelee kusikia ya kusemwa.
Sasa wewe ulitakaje? Uzi umeeleza bayana! Unaniuliza swali nikujibu nini? SOMA KWA KUTULIA UELEWENimekuuliza upo ndani ya hiyo system inayofukuza au kufukuzwa!??
Hilo kanisa ni kama dubwana kubwa ndgu, sio rahisi kuvumilia kuchafuliwa kindezi tu.
Haya sasa cheki taarifa ya polisi wanasema mwamba atakua amejiua na ndo imeisha hiyo!!
Japo sijui kama ni kweli au lah ila tu chekecha mbongo na uwaze nje ya box.
Ukiwa na mambo ya ajabu hutoboi.Haya wale wakujisifia hakuna mambo ya ajabu ajabu katoliki waje watambe na huku
Nilisoma kwa makini na nikaelewa na kutoa maoni yangu.Sasa wewe ulitakaje? Uzi umeeleza bayana! Unaniuliza swali nikujibu nini? SOMA KWA KUTULIA UELEWE
Ushirika, ushiriki na umisionari🗣️Kanisa la Kisinodiiiiii.............
Ishaisha hiyo ganga yajayohilo jengo alikofia halina cctv camera?
Kwa taarifa yako " don't trust them, I mean"Alikutwaje humo kwenye tanki.Yaani walihisi vipi kwamba kwenye tanki yumo mtu.
Ni maumivu makubwa sana ikiwa wale ambao tunawategemea watupe msaada wa kisaikolojia ndiyo wanaogeuka wahanga wa kisaikolojia.