Uchambuzi na upelelezi wa tukio la kifo cha padri Francis uanzie hapa

Mapadre waoe ili wasizini na wake za watu na kuwaingilia watu kinyume na maumbile
 
Mkuu tusaidiane nyama kwa kweli hapa moyo wangu hautulii natamani ningepewa kibali binafsi kufwatilia kwa kina whts goin on[emoji849] inafikirisha sana
WALIOMUUA WANAJUA KWANINI
 
Hakuna huo utaratibu mtu akikuika hufukuzwa! Awe mwanamke au mwanamme na waliofukuzwa wapo wengi tu mtaani kwa makosa ya kingono na kwenda kinyume na kanisa
Nimekuuliza upo ndani ya hiyo system inayofukuza au kufukuzwa!??

Hilo kanisa ni kama dubwana kubwa ndgu, sio rahisi kuvumilia kuchafuliwa kindezi tu.

Haya sasa cheki taarifa ya polisi wanasema mwamba atakua amejiua na ndo imeisha hiyo!!

Japo sijui kama ni kweli au lah ila tu chekecha mbongo na uwaze nje ya box.
 
Kuwa Padri kijana ni changamoto hasa kwenye zile ishu za kula tunda za watu[emoji124][emoji124][emoji124]
View attachment 2192523

Wengi huupata upadri wakiwa vijana. Asilimia 98 ya mapadri waliupata wakiwa na umri wa miaka 27-35, na hata sasa wengi hupata hilo daraja katika umri huo.
Sasa kama unaona ni changamoto kuwa padri kijana basi shauri mamlaka zibadili mfumo wa utoaji wa hilo daraja, watu wawe mapadri wakiwa na miaka 75 plus.
Lakini pia uelewe huwezi kuwa padri kama haupo kamili kibaiolojia. So mapdre wanasimamisha mb*** kama watu wengine hata kama ni mzee, na hupata matamanio ya kufanya mapenzi kama kawaida.
 
Ifika wakati sasa na matenki ya maji yawe na makufuri na kutunzwa na mtu maalum!! Hata kama yapo ya maziwa iwe kama yale ya kwenye vituo vya petroli na jamii hii ya mafuta - kufuri.
 
Uchunguzi wa mwili wa marehemu kwenye mapafu utaonyesha kama alikufa maji au alitupwa kwenye tanki la maji akiwa tayari amekufa na kama alikufa maji jee alijirusha mwenyewe kwenye tanki hilo au alisukumiwa huko
 
Sasa wewe ulitakaje? Uzi umeeleza bayana! Unaniuliza swali nikujibu nini? SOMA KWA KUTULIA UELEWE
 
Jibu fupi la mkato habari Kwisha...

Uchunguzi wa Dactari ... .. atajibu anavyotakiwa ajibu basi!

Wajanja mno.. ..
 
hii " LAST MOMENT" ndio yenye kuamua usahihi wa chanzo cha kifo..
Kuna nyakati "genye" kama njaa hazichagui mtu.,
 
Sasa wewe ulitakaje? Uzi umeeleza bayana! Unaniuliza swali nikujibu nini? SOMA KWA KUTULIA UELEWE
Nilisoma kwa makini na nikaelewa na kutoa maoni yangu.
Wewe ukayapinga sasa ni kazi yangu kukuelimisha nilichokimaanisha wala usikasirike ndgu.
 
Alikutwaje humo kwenye tanki.Yaani walihisi vipi kwamba kwenye tanki yumo mtu.

Ni maumivu makubwa sana ikiwa wale ambao tunawategemea watupe msaada wa kisaikolojia ndiyo wanaogeuka wahanga wa kisaikolojia.
Kwa taarifa yako " don't trust them, I mean"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…