Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Hahaha sikupi hata uje na mamilioni...[emoji4][emoji4]
Utakuwa umekatili mdgo ako .....coz spicies zetu hizi .....Zina ng'ang'niwa sana huku


Sisi ndo kile kizazi Cha magenius, (Einstein )pesa mingi ..... handsome

So imagine what a loss ur going to incur
 
Simba kupoteza mchezo wake dhidi ya azam ni suala gumu.
Ikiwa wewe ni mtu wa mpira utaelewa ninachokimaanisha.
Simba hajapoteza michezo yake ya NBC wala kudraw, ametoka kucheza na al ahli Tripoli katoka na matokeo ya ushindi kitu ambacho kimezidi kupandisha hari ya timu kuanzia bench la ufundi uongozi wa timu wachezaji na hadi mashabiki wa timu.

Ni ngumu simba kupoteza, ukizingatia kikosi kimeshaanza kujipata, huu mchezo simba atashinda kwa namna yeyote mana hadi sasa azam anajijua kama yeye ni timu bora ila sio mbele ya simba.

Kwa mtazamo wangu wa kikosi cha simba kwa ubora wa wachezaji wake hawalingani na wa azam hata kidogo.

Nukuu maneno yangu, wachezaji wa azam ni watoto mbele ya wachezaji wa simba, nikisema watoto namaanisha watoto wadogo kimpira, ukimpa nado au Saadun jukumu la kuifunga simba unambebesha mzigo mzito asioweza kuuhimili, leo Faisal ataupiga mwingi ila atateseka mno. πŸ˜‚ kuna kiungo anaitwa Deborah Mavambo huyu ni pivot wa dimba.
 
Azam nao wanaona ni mechi muhimu kupunguza gap la point ....Ili kuwa nafasi ya pili
 
azam atakula 4 leo
 
Who's this guy
Huyo Pdiddy ni utopolo mwenzako ambaye naye huwa anafanyia unabii mechi za Simba tu kama wewe unavyofanyia unabii mechi za Simba tu. Ila sema yeye ni mjanja kidogo, huwa hatoi ahadi za kupigwa ban kama matokeo yatakuwa tofauti πŸ˜€ πŸ˜€πŸ˜€
 
Oya leo hautoi ahadi kweli. Ngoja nikutolee ahadi simba ikishinda laban ojii apigwe ban
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…