Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Uchambuzi: Siioni Simba ikipata ushindi mbele ya Azam

Naendelea kunyunyizia ubani dhukra ili dua lako liende kama ulivyo liomba.
 
FB_IMG_17272711927733020.jpg
Kula chuma hikooo
 
Azam wakicheza km walivyocheza Ken GOLD Jana Simba lazima ajambie Moto yaan lazima akalie moto na aache mashusi

Ubashiri : Azam 4-1 Simba

IDD NADO asiwekwe nje narudia kocha wa Azam IDD NADO awekwe ndani ndio mfungaji wa magoli ya leo
Sahihi mkuu
 
Naendelea kunyunyizia ubani dhukra ili dua lako liende kama ulivyo liomba.
Hakika mkuu.. kwenye ligi Kuna umafia.....Simba anafanyiwa umafia apoteze

Ili pia kwenye derby ....mwezi wa 10 apigwe na yanga
 
Mke wako ana kazi walai...mwanaume una gubu kwa wanaume wenzio kila siku kuwaombea mabaya...hivi ushaona kuna mwa a Simba anae anzishaga uzi za kipumbavu kama zako?? Sijui una matatizo gani..hunaga content nyingine?
Mkuu sisi kazi yetu ni kulizingumzia soka....
 
Mke wako ana kazi walai...mwanaume una gubu kwa wanaume wenzio kila siku kuwaombea mabaya...hivi ushaona kuna mwa a Simba anae anzishaga uzi za kipumbavu kama zako?? Sijui una matatizo gani..hunaga content nyingine?
Hata Yanga mbona hua nawachana wakizingua

Unfortunately miaka ya hivi Yanga hawana udhaifu wako Smart
 
Huo usmart uko wapi...acha ngebe tushakuchoka bana..kwanza hujawahi patia hata siku moja..ni bora unyamaze kama mtu huko juu aliyekupa ushauri labda mtafanikiwa...
mkuU Sasa si unaona quality players wanasajiliwa yanga .....kuliko simba
 
Back
Top Bottom