Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

Very objective analysis. Thanks.

Kweny uchambuzi wako naongezea Na Sala kumuombea Ushindi Mh Tundu Lissu. Kama moshi wa ubani umfikiavyo Bwana mawinguni kutoka ktk hekali takatifu la Sulemani, Bwana pokea sala zetu.

Tenda miujiza Bwana wa Israel. Tunainua macho na sala zetu mbele yako. Utuondolee udhalimu wote uwatie mikononi mwa Lissu kama ulivyowatia Wafilisti mikononi mwa Daudi.

Tunakuomba Ebwana uliyemwokoa Tundu lissu na mvua ya marisasi kutoka kwa mwovu Ibilisi shetani umuepushe na dhulma. Ukawadhofishe maadui wanaotaka kumwaga damu za watanzania taifa lako.

Tunaomba na kushukuru kwa Sifa na utukufu wa jina lako
 
Vyovyote itakavyokuwa cha msingi Lissu atangazwe mshindi
 
NEC na Masjili wa vyama ndio hawamtaki Lissu. Ndio ukweli huo.
 
wazazi wako wamepata hasara
 
Cookie Paw jana nimepost uzi wangu hadi sasa siuoni, nilikuwa nasubiria approval ya huo uzi kumbe mna longo longo tu... Sijui tatizo nini au hamkupenda content ya uzi kwasababu mtu wenu hakuwa wa Kwanza.

Achani hizo, mara content generated by user mara hamueleweki.

Kazi yenu iwe kuhariri content zenye matusi otherwise acheni siasa kama mlilenga platform hii iwe ya watu wa itakidi zote.

Na uzi wangu haukuwa na hata chembe ya tusi.
Maxence Melo
 

ngoja nkusahishe kidogo, ni simple tu kumjua nan anashinda uchaguzi huu, fanya ivi

lowasa yeye kama yeye anatembea na 11% ya wapiga kura wote tanzania kutokana na maneno ya lisu mwenyewe alisema apa

, sasa amesharudi ccm na ndo aliesababisha mpasuko ccm 2015, amerudi ccm, toa tu 11% kwenye kura za 2015 za chadema, hapa nmeweka other factors constant, nkimaanisha wananchi waawapigia kwa mwamko ule ule, ingawa tushaona kwa macho yetu ngome zimevunjwa na mwamko wa wananchi kussport ccm, mengine jijazie mwenyewe hao wanachama waliohama cdm kwenda ccm wengine act, utachambua mwenyewe, na pia lazima ukumbuke kura za 2015 hazikua za chadema peke yake bali ukawa!! wakawasaliti ili waonekane wana nguvu saaahv kila mtu kivyake, mpaka apo nadhan unajua mshindi nan, nakazia tu, hata vyama vyote nchi nzima vikuungana bado haviwezi kuishinda ccm.

na pia lazima ukumbuke ccm haipo yenyewe lazima ujue ina support ya vyama vingap nyuma,
 
Jikite kwenye mada. Based on SWOT analysis. Nje ya hapo utakuwa umeshiba makande tu wewe.
 
Kumbuka kuna kushinda na kuna kutangazwa. hivyo ni vitu viwili tofauti
 
Pole
niruhusu nichangie ifuatavyo
CCM ilishaachana na kura za wanafunzi (MKAPA-2000), Wafanyakazi ( KIKWETE-2010), wapiga dili ( JPM-2015-2020)
Lakini itapata kura za wanyonge ambao furaha yao ni kuona matajiri wanashughulikiwa kama JPM alivyofanya.
Aidha CCM ilishaachana na kura za wamachinga na wakazi wa mjini siku nyingi kwa sababu hawana msimamamo, hawaaminiki na hawaridhiki- CCM inawasaidia tu ili kuleta hali ya utulivu lakini siyo kwa nia ya kutafuta kura
Udhaifu wa CHADEMA ni kutokuwa na mgombea urais ambaye kwa asili ni CHADEMA
WALIOWAHI KUGOMBEA KUPITIA CHADEMA
1. Mbowe- CHADEMA ndebile
2. Slaa- CCM aliyechefuliwa
3. Lowassa- CCM aliyechefuliwa
4. Mbelgiji Lissu- kwa asili si CHADEMA- ni MWANAHARAKATI ni kama kupe tu kwenye ng'ombe
CCM ndiyo iliyokubali kuwepo kwa vyama vingi na toka hapo inajua hatakaa ipate 100% ya kura zote- inachotafuta na kura za kutosha kuushida, kuunda na kutawala na itapata MIMI UTABIRI WANGU
CCM 60% - MINUS OR PLUS 3 %
 
Lissu atashinda lakini Kaijage atamtangaza Magufuli mshindi. Liko wazi. Maalim Seif atashinda lakini ZEC watamtangaza Mwinyi mshindi. Usijifanye mjinga. 1995 kituo chako cha TV kilijumlisha kura na kumtangaza Maalim mshindi lakini ZEC wakatangaza Salmin mshindi. Hali itaendelea hivi hivi mpaka siku wananchi wenyewe watakapoishiwa uvumilivu.
Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
 
Jikite kwenye mada based on SWOT analysis.
 
Kukishinda chama dola ni ngumu sana.

Kama ulifatilia kampeni za Ccm utagundua kwamba Ccm iliendesha kampeni ya kiserikali/dola na sio kampeni ya chama cha siasa.
 
Kama hujajadili based on SWOT analysis basi umeandika upuuzi mtupu.

Jielekeze kwenye hoja ya mtoa mada.
 
Kukishinda chama dola ni ngumu sana.

Kama ulifatilia kampeni za Ccm utagundua kwamba Ccm iliendesha kampeni ya kiserikali/dola na sio kampeni ya chama cha siasa.
Ninm ngumu wewe huoni hata kampeni tumepigwa mabomu lakini tumewaweza? Ni ngumu kumshinda lakini sio kuwa haiwezekani.

Tumepigwa mabomu watu wametekwa hadi kuuawa lakini bado kampeni zetu zime hit sana. Kampeni zilikuwa ngumu sana lakini tumemaliza kwa ushindi .kubwa. hiyo ndio maana ya ngumu. Ni ngumu lakini tutashinda.
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza

Jiandaeni kupora kuta tu, na muombe wananchi waendelee kuwa makondoo wasilinde ushindi wao. Tumechoka kuburuzwa na chama cha zamani. CCM sio chama cha kizazi hiki. Lazima tutapata mabadiliko tunayoyataka, hiki sio kizazi cha kumsujudia rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…