comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kumbe wewe ni CHADEMA? Kwa vile wewe ni CHADEMA unataka tuseme unachotaka kusikia tu ee?Ninm ngumu wewe huoni hata kampeni tumepigwa mabomu lakini tumewaweza?? Ni ngumu kumshinda lakini sio kuwa haiwezekani.
Tumepigwa mabomu watu wametekwa hadi kuuawa lakini bado kampeni zetu zime hit sana. Kampeni zilikuwa ngumu sana lakini tumemaliza kwa ushindi .kubwa. hiyo ndio maana ya ngumu. Ni ngumu lakini tutashinda.