Kumbe wewe ni CHADEMA? Kwa vile wewe ni CHADEMA unataka tuseme unachotaka kusikia tu ee?Ninm ngumu wewe huoni hata kampeni tumepigwa mabomu lakini tumewaweza?? Ni ngumu kumshinda lakini sio kuwa haiwezekani.
Tumepigwa mabomu watu wametekwa hadi kuuawa lakini bado kampeni zetu zime hit sana. Kampeni zilikuwa ngumu sana lakini tumemaliza kwa ushindi .kubwa. hiyo ndio maana ya ngumu. Ni ngumu lakini tutashinda.
Mkuu hakuna mada hapa ya kujikita kwayo, Ulichotuletea ni hisia zako binafsi zisizo na base ya kisayansi. Nakujibu kwa utafiti wa kisayansi inayothibitisha JPM atapata ushindi wa kura 89.5% na Lissu ataambualia tu 8.2%. Tafiti ujibiwa kwa tafiti na siyo mada za hisia.Jikite kwenye mada based on SWOT anal
Hivi Huu ujinga SWOT umekalirishwa na KAS AU?Mkuu si ujielekeze kwenye SWOT analysis?? Zile akili zako unazotiaminisha unazo umezikabidhi wapi Mayalla. Unanyemelea uteuzi?
Kuna mtu kanambia anauhakika Lissu atashinda nikamwambia mimi sio mwanasiasa wala mtabiri ila Magufuli atashinda.
Nikamuomba tuweke dau la milioni mojamoja ili ambae kauli yake itakua ilikua yakweli achukue milioni mbili kakataa nikajua kumbe ananiambia maneno asio na uhakika nayo kabisa na anaujua ukweli.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
ALIJIPELEKA UKIMBIZINI UBELGIJIHebu thibitisha kauli yako, msaliti ki vipi?
Kukishinda chama dola ni ngumu sana.
Kama ulifatilia kampeni za Ccm utagundua kwamba Ccm iliendesha kampeni ya kiserikali/dola na sio kampeni ya chama cha siasa.
Jiandaeni kupora kuta tu, na muombe wananchi waendelee kuwa makondoo wasilinde ushindi wao. Tumechoka kuburuzwa na chama cha zamani. Ccm sio chama cha kizazi hiki. Lazima tutapata mabadiliko tunayoyataka, hiki sio kizazi cha kumsujudia rais.
CCM ni chama cha kisasa, na itaendelea kushinda kwa haki kwa miaka miamoja ijayo
Kwaina ya Wapinzani hawa km lissu wanaotumwa na Mabeberu waje wagombee kwa maslahi ya watu wa nje mtateseka sana
Uchaguzi utakuwa huru na haki na Ccm itashinda kwa kishindo
Atashangaa kweli. Kwa mbinu za ushindi (soma wizi wa kura uliotukuka), CCM hawana mpinzani Africa mashariki, kusini na kaskazini. They are second to none.Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichovaa koti la chama cha siasa.
Umesema kweli P not that easy for Lissu kushinda CHADEMA hakina merits. Wana safari ndefu!Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Onyesha alisaliti vipi. Upi mkataba alo sign mheshimiwa Lissu. Ukiweza kutuelezea hilo basi nitabadili mawazo ile tarehe 28 nimuadabishe. Mnajenga madaraja haharini wakati watu vjijini hawana maji safi na salama. Shule hazina madawati, shule hazina matundu ya vyoo tena huyo mgombea wenu ndo kajenga kituo cha mwendo kasi pale jangwani kwenye mkondo wa bahari fisadi wakubwAUnakosea aliyesaliti nchi kwenye madini ni lissu