Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

Zitto - kuna la jifunza hapa kwako, Lissu na Maalim. Hasa pale kwenye maandamano yasiyo na kikomo. Sidhani kuwa kutakuwa na njia nyingine zaidi ya hiyo.
 
Diamond apige show ya bure pale Taifa na Magufuli apige Kampeni uwanja wa Uhuru tuone nani ana watu wengi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Kwa kweli kazeeka ghafla. Nikimwangalia anaonekana siye Magufuli tuliyemzoea!
Ghafla ujasiri wote aliojijengea anauona ukitoweka na nguvu zimemwishia, kazeeka na hatamaniki tena.
 
Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Kaka mkubwa nimekuchokoza makusudi leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]
Ahsante kwa kuchangia
 
BPl


Hapo ndo nikajua kumbe Kuna wazungu koko siku hizi.
. Tunakwenda na JPM
 
Hivi wale wanachama wa ccm 17ML mbona huwa hatuwaoni wakipiga kura?

Au ni majina yanayojirudia na waliokufa?
 
Haya Sasa Ni mahaba . Tukutane kesho kwenye Dua ya kitaifa
 
Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Nataka niwaulize kwa mnao sema Tundu atashindwa hatukatai lolote laweza kutokea, lakini kwa nini hamji na hoja za kulipa nguvu tumaini lenu? Magufuri lazima ashinde kivipi? Kwa nguvu? Kwa kupendwa au kwa namna gani tuambieni maana mna matumaini makubwa yanayoelea tu tena ya mkato subilini tarehe 28 mtaona. Kuna Siri gani katika ushindi wa CCM,sio hawahawa walituamisha kuwa upi zani umekufa? Ninachokifaham Mimi kwa sasa hakuna wataalam na wabobezi wa medani za siasa CCM kwa sasa wote mliwatupa nje ya fensi mkaanza upya na watu wapya maamuma si ndo hawa wanakaa mbele ya kamela wanajitamba wanatembelea V8 bila kutambua madhara ya kauri hizo wakati huu wa uchaguzi huku wapiga kura wamepigika, hawa ndo unawatarajia walete ushindi wa 80% Kipigo kinawahusu jipangeni kujinasua.
 
Ukijiuliza kwa Nini Magufuli alimlipia Msigwa faini ya Mahakamani , utapata jibu kwa Nini mzee baba alipiga fosi kingi.

Nadharia ya Lowassa ilikufa immediately siku Lissu alipopigwa risasi. Pale Lowassa hakuonesha NGUVU ya ushawishi wake CHADEMA.

Kinachowabeba CDM Ni ujinga wa timu Lowassa kuunga mkono juhudi na chaguzi batili za marudio. Wananchi wamewaonea huruma na wakawa upande wao.

Ikiwa kweli politics is dynamic basi game ilishabadilika Sept 7 2017 pale Dodoma. Probably Edo karudi na mkewe tu ili KULINDA maslahi Yao.

Kosa lingine Ni waunga juhudi walivyotendwa ndani ya CCM imejustfy kuwa serikali ilitengeneza tukio la wabunge wa Chadema kuhama na sio kwamba chama kimekufa.

Nilizingatua hayo kwenye uchambuzi wangu so I don't see impact yake kwenye uchaguzi huu.
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Wewe mama mipasho ondoa mipasho yako peleka huko kunakostahili. Huna uwezo wa kujenga hoja. Hata hao unaowapigania kwa mipasho wanakushangaa kwa uwezo wako mdogo.
 
Jikite kwenye mada. Based on SWOT analysis. Nje ya hapo utakuwa umeshiba makande tu wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha mpaka basi daaah. Mwana kahamisha magoli
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
endelea kujichua bafuni magu anapinduliwa kabla ya saa sita mchana,kwa Lisu safari hii wananchi hatutanii
 
Tuepuke personal attacks jikite kwenye SWOT Analysis.
Kama hawataki kura za wafanyakazi mbona Magu anahaidi nyongeza ya mshahara, Kama hataki wamachinga mbona wanasisitiza vitambulisho...... Sina Nia ya ushabiki natamani utushirikishe mawazo yaliyosahaulika Kanda kesho watu watamtaja mshindi Ni MAGUFULI kwa kutumia sababu nzito ambazo umeandika hapa.
Otherwise umeogopa mada
 
Kukishinda chama dola ni ngumu sana.

Kama ulifatilia kampeni za Ccm utagundua kwamba Ccm iliendesha kampeni ya kiserikali/dola na sio kampeni ya chama cha siasa.
Ni kweli ndio maana nikasema strength Yao kuu Ni Dola Ila udhaifu wao Ni kuyakabili MAANDAMANO YASIYO na KIKOMO are they prepared?
Misri, Tunisia n.k wamekwama na kidagaa hiki vipi hapo mkuu do you see them.....?
 
Wewe endelea na ndoto zako za usiku lkn ukweli ndiyo huo. Huo utafiti wenu wa kupika data kwenye makaratasi hauna tofauti na ule tulioaminishwa kuwa Tanzania imeingia kwenye uchumi wa kati. Maisha/Uchumi halisi wa Watz uko wazi.
 
labda tushangazwe na wizi wa kura ambao haujawahi kutokea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ushindi utawezekanaje wakati vituo vingine Chadema hawatakuwa na mawakala??????

Huu uchaguzi tayari Magufuli anatembea na matokeo na sisi wengine tunachosubiri ni nchi kuwekewa vikwazo tu baada ya kushindwa kuheshimu matakwa ya wapiga kura. Period.
 
Hii ndio NGUVU ya umma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…