Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Diamond apige show ya bure pale Taifa na Magufuli apige Kampeni uwanja wa Uhuru tuone nani ana watu wengi.Hizi ni ndoto za mchana. Mmejaribu kumnadi Lissu lakini watanzania wamemkataa, hawataki wakala wa mabeberu. Watanzania wameamua kwenda na JPM kwamiaka mingine mitano. Utafiti uliofanywa kisayansi juzi na Taasisi ya IBC Research International imegundua JPM anashinda kwa 89.5 na Lissu ataambulia tu 8.2% ya kura zote. Nakuhurumieni sana wana Ufipa, pengine ndoto hizi za mchana unazokuja nazo ni sehemu yenu ya kujifariji. Kila Mahali ni mauti ya ndiyo kwa JPM. Hakuna mtnzania wa kumchagua Lissu . Tunakwenda na JPM .
Ghafla ujasiri wote aliojijengea anauona ukitoweka na nguvu zimemwishia, kazeeka na hatamaniki tena.
Kaka mkubwa nimekuchokoza makusudi leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Hapo ndo nikajua kumbe Kuna wazungu koko siku hizi.Hizi ni ndoto za mchana. Mmejaribu kumnadi Lissu lakini watanzania wamemkataa, hawataki wakala wa mabeberu. Watanzania wameamua kwenda na JPM kwamiaka mingine mitano. Utafiti uliofanywa kisayansi juzi na Taasisi ya IBC Research International imegundua JPM anashinda kwa 89.5 na Lissu ataambulia tu 8.2% ya kura zote. Nakuhurumieni sana wana Ufipa, pengine ndoto hizi za mchana unazokuja nazo ni sehemu yenu ya kujifariji. Kila Mahali ni mauti ya ndiyo kwa JPM. Hakuna mtnzania wa kumchagua Lissu
. Tunakwenda na JPM
Haya Sasa Ni mahaba . Tukutane kesho kwenye Dua ya kitaifaVery objective analysis. Thanks.
Kweny uchambuzi wako naongezea Na Sala kumuombea Ushindi Mh Tundu Lissu. Kama moshi wa ubani umfikiavyo Bwana mawinguni kutoka ktk hekali takatifu la Sulemani, Bwana pokea sala zetu.
Tenda miujiza Bwana wa Israel. Tunainua macho na sala zetu mbele yako. Utuondolee udhalimu wote uwatie mikononi mwa Lissu kama ulivyowatia Wafilisti mikononi mwa Daudi.
Tunakuomba Ebwana uliyemwokoa Tundu lissu na mvua ya marisasi kutoka kwa mwovu Ibilisi shetani umuepushe na dhulma. Ukawadhofishe maadui wanaotaka kumwaga damu za watanzania taifa lako.
Tunaomba na kushukuru kwa Sifa na utukufu wa jina lako
Nataka niwaulize kwa mnao sema Tundu atashindwa hatukatai lolote laweza kutokea, lakini kwa nini hamji na hoja za kulipa nguvu tumaini lenu? Magufuri lazima ashinde kivipi? Kwa nguvu? Kwa kupendwa au kwa namna gani tuambieni maana mna matumaini makubwa yanayoelea tu tena ya mkato subilini tarehe 28 mtaona. Kuna Siri gani katika ushindi wa CCM,sio hawahawa walituamisha kuwa upi zani umekufa? Ninachokifaham Mimi kwa sasa hakuna wataalam na wabobezi wa medani za siasa CCM kwa sasa wote mliwatupa nje ya fensi mkaanza upya na watu wapya maamuma si ndo hawa wanakaa mbele ya kamela wanajitamba wanatembelea V8 bila kutambua madhara ya kauri hizo wakati huu wa uchaguzi huku wapiga kura wamepigika, hawa ndo unawatarajia walete ushindi wa 80% Kipigo kinawahusu jipangeni kujinasua.Asante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Ukijiuliza kwa Nini Magufuli alimlipia Msigwa faini ya Mahakamani , utapata jibu kwa Nini mzee baba alipiga fosi kingi.ngoja nkusahishe kidogo, ni simple tu kumjua nan anashinda uchaguzi huu, fanya ivi
lowasa yeye kama yeye anatembea na 11% ya wapiga kura wote tanzania kutokana na maneno ya lisu mwenyewe alisema apa
, sasa amesharudi ccm na ndo aliesababisha mpasuko ccm 2015, amerudi ccm, toa tu 11% kwenye kura za 2015 za chadema, hapa nmeweka other factors constant, nkimaanisha wananchi waawapigia kwa mwamko ule ule, ingawa tushaona kwa macho yetu ngome zimevunjwa na mwamko wa wananchi kussport ccm, mengine jijazie mwenyewe hao wanachama waliohama cdm kwenda ccm wengine act, utachambua mwenyewe, na pia lazima ukumbuke kura za 2015 hazikua za chadema peke yake bali ukawa!! wakawasaliti ili waonekane wana nguvu saaahv kila mtu kivyake, mpaka apo nadhan unajua mshindi nan, nakazia tu, hata vyama vyote nchi nzima vikuungana bado haviwezi kuishinda ccm.
na pia lazima ukumbuke ccm haipo yenyewe lazima ujue ina support ya vyama vingap nyuma,
Wewe mama mipasho ondoa mipasho yako peleka huko kunakostahili. Huna uwezo wa kujenga hoja. Hata hao unaowapigania kwa mipasho wanakushangaa kwa uwezo wako mdogo.Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu
Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha
October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenichekesha mpaka basi daaah. Mwana kahamisha magoliJikite kwenye mada. Based on SWOT analysis. Nje ya hapo utakuwa umeshiba makande tu wewe.
endelea kujichua bafuni magu anapinduliwa kabla ya saa sita mchana,kwa Lisu safari hii wananchi hatutaniiHakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu
Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha
October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Tuepuke personal attacks jikite kwenye SWOT Analysis.Pole
niruhusu nichangie ifuatavyo
CCM ilishaachana na kura za wanafunzi (MKAPA-2000), Wafanyakazi ( KIKWETE-2010), wapiga dili ( JPM-2015-2020)
Lakini itapata kura za wanyonge ambao furaha yao ni kuona matajiri wanashughulikiwa kama JPM alivyofanya.
Aidha CCM ilishaachana na kura za wamachinga na wakazi wa mjini siku nyingi kwa sababu hawana msimamamo, hawaaminiki na hawaridhiki- CCM inawasaidia tu ili kuleta hali ya utulivu lakini siyo kwa nia ya kutafuta kura
Udhaifu wa CHADEMA ni kutokuwa na mgombea urais ambaye kwa asili ni CHADEMA
WALIOWAHI KUGOMBEA KUPITIA CHADEMA
1. Mbowe- CHADEMA ndebile
2. Slaa- CCM aliyechefuliwa
3. Lowassa- CCM aliyechefuliwa
4. Mbelgiji Lissu- kwa asili si CHADEMA- ni MWANAHARAKATI ni kama kupe tu kwenye ng'ombe
CCM ndiyo iliyokubali kuwepo kwa vyama vingi na toka hapo inajua hatakaa ipate 100% ya kura zote- inachotafuta na kura za kutosha kuushida, kuunda na kutawala na itapata MIMI UTABIRI WANGU
CCM 60% - MINUS OR PLUS 3 %
endelea kujichua bafuni magu anapinduliwa kabla ya saa sita mchana,kwa Lisu safari hii wananchi hatutanii
Ni kweli ndio maana nikasema strength Yao kuu Ni Dola Ila udhaifu wao Ni kuyakabili MAANDAMANO YASIYO na KIKOMO are they prepared?Kukishinda chama dola ni ngumu sana.
Kama ulifatilia kampeni za Ccm utagundua kwamba Ccm iliendesha kampeni ya kiserikali/dola na sio kampeni ya chama cha siasa.
Wewe endelea na ndoto zako za usiku lkn ukweli ndiyo huo. Huo utafiti wenu wa kupika data kwenye makaratasi hauna tofauti na ule tulioaminishwa kuwa Tanzania imeingia kwenye uchumi wa kati. Maisha/Uchumi halisi wa Watz uko wazi.Hizi ni ndoto za mchana. Mmejaribu kumnadi Lissu lakini watanzania wamemkataa, hawataki wakala wa mabeberu. Watanzania wameamua kwenda na JPM kwamiaka mingine mitano. Utafiti uliofanywa kisayansi juzi na Taasisi ya IBC Research International imegundua JPM anashinda kwa 89.5 na Lissu ataambulia tu 8.2% ya kura zote. Nakuhurumieni sana wana Ufipa, pengine ndoto hizi za mchana unazokuja nazo ni sehemu yenu ya kujifariji. Kila Mahali ni mauti ya ndiyo kwa JPM. Hakuna mtnzania wa kumchagua Lissu . Tunakwenda na JPM .
Hii ndio NGUVU ya ummaNinm ngumu wewe huoni hata kampeni tumepigwa mabomu lakini tumewaweza?? Ni ngumu kumshinda lakini sio kuwa haiwezekani.
Tumepigwa mabomu watu wametekwa hadi kuuawa lakini bado kampeni zetu zime hit sana. Kampeni zilikuwa ngumu sana lakini tumemaliza kwa ushindi .kubwa. hiyo ndio maana ya ngumu. Ni ngumu lakini tutashinda.