Uchaguzi 2020 Uchambuzi: Tundu Lissu anaweza kumshinda Dkt. Magufuli na Maalim Seif anaweza kuibuka kidedea Zanzibar

Bora mimi mipasho kuliko msaliti wa Nchi kutoka ubeligiji anayeporomosha matusi
Wewe mama mipasho ondoa mipasho yako peleka huko kunakostahili. Huna uwezo wa kujenga hoja. Hata hao unaowapigania kwa mipasho wanakushangaa kwa uwezo wako mdogo.
 
Wanabeat hao
 
Sample space imebase upande gani?
Utafiti huo umezingatia vigezo gani?
Au ndio ule waliokosa jina la Lissu na aslimia zikazidi 100 . Yale Ni mapishi ya upande mmoja tu.

Kama una kumbukumbu watafiti wa twaweza waliposema umaarufu wa Rais umeshuka.

Kuanzia siku Ile masharti ,vigezo na vibali vya tafiti za kisiasa vilibadilika may be let them come out na another reason, Kama Ni huo unaousema niliupuuza that day.
 
Usiwadanganye wenzio jamani
 
Wewe umetisha Sana na umekuja na uhalisia Fulani hivi. Tutaangalia nmna Bora kujazia mawazo yako kwenye uzi
 
Then mpaka apo tuseme umeandka tu rubbish, lisu ameshakwambia lowasa yeye kama yeye ana 18% unataka kubishana nae tena, remember hizi rsults ni from international observers! sio waandishi uchawra kama wewe
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Tupp wengi wa kumpa Kura Tundu Lissu
 
Masikini, umebaki peke yako katika mpambano
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
 
Watanzania wapi hao ebu jizungumzie mwenyewe
 
Then mpaka apo tuseme umeandka tu rubbish, lisu ameshakwambia lowasa yeye kama yeye ana 18% unataka kubishana nae tena, remember hizi rsults ni from international observers! sio waandishi uchawra kama wewe
Hebu type ushahidi wa video Lissu akitamka hayo yenye kuonesha 18%.
Matusi hayasaidiii, jipange uje na ushahidi nikuunge mkono
 
Hakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu

Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha

October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Wakati huo wewe utakuwa unaendelea kuweka kishoka kwenye V8
 
Hebu type ushahidi wa video Lissu akitamka hayo yenye kuonesha 18%.
Matusi hayasaidiii, jipange uje na ushahidi nikuunge mkono

hahaha ndo maaana nkakwambia umeandika rubbish, with non research! anyway here is the video

Ni punguani pekee asiye fikiri kwa kina anayeweza dhani Tundu Lisu atamshinda JPM.

Hivyo tu
 
Mwaka huu CCM lazima watoke
Kuna makundi matatu tu yanayo jifanya hayamuelewi JPM japo yanamuelewa

1. Vyeti feki

2. Fisadi

3 wazembe kazini

Hawa toka wameondolewa wanajaribu kuzunguka mitandaoni JF na Twitter kuaminisha umma kua JPM hafai

WaTanzanka wengi tuna akili na wengine kama 85% hawajui Jamii forum na Twitter ni kitu gani na wanajua JPM amewapambani nini
 
Mkuu personal attack hapo ziko wapi?
Makundi niliyoyataja yametajwa pia na mtoa mada kwa kuyabainisha kuwa yameumizwa na CCM na kwa misingi hiyo hayategemewi kuipigia kura CCM sasa shida iko wapi?
Inaelekea mmekalirishwa dhana ya SWOT na hamuelewi ni kitu gani-ila mwisho wa yote ni 28 ndo mtaona uhalisia na siyo SWOT analysis yenu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…