Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FYI mbinu chafu waliokuwa wamepanga ni CDM lakini CCM wapo one step ahead.Hakuna wakumzuia Lissu safari hii, mbinu zote chafu hazitafua dafu.
Hatoshi,hajui kizungu na ni mwalimu.October 28th ni JPM TUU.
JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Achana na habari za udaku, Huo uchambuzi wa kisayansi umezingatia vigezo gani?Hizi ni ndoto za mchana. Mmejaribu kumnadi Lissu lakini watanzania wamemkataa, hawataki wakala wa mabeberu. Watanzania wameamua kwenda na JPM kwamiaka mingine mitano. Utafiti uliofanywa kisayansi juzi na Taasisi ya IBC Research International imegundua JPM anashinda kwa 89.5 na Lissu ataambulia tu 8.2% ya kura zote. Nakuhurumieni sana wana Ufipa, pengine ndoto hizi za mchana unazokuja nazo ni sehemu yenu ya kujifariji. Kila Mahali ni kura ya ndiyo kwa JPM. Hakuna mtanzania wa kumchagua Lissu . Tunakwenda na JPM .
Kizungu kwani yeye Mzungu? Kinasaidia mini kwenye kuleta Umeme vijijini?Hatoshi,hajui kizungu na ni mwalimu.
Mku Mm mwanaccm usisubirie uthibitisho kwani mchambuzi yuko vizuri kabisaHebu thibitisha kauli yako, msaliti ki vipi?
Mku upepo umetubadilikia kwani mambo yako waziAsante kwa uchambuzi mzuri na mahiri, hii ya Lissu atashinda, naomba usubirie tarehe 28 October, utashangaa!.
P
Mwambie bi mkubwa aje aungane na bi mkubwa wangu, waburudike mpaka siku akimaliza kuapishwa mheshimiwa lissu, bill yao nalipaUchambuzi mzuri Ila free and fare election lissu anashinda kwa zaida ya 60%
Yaani toka mama yangu ambaye ni kada wa jumuiya ya wazazi ccm anihakikishie kumpigia kura Tundu lissu pia akawa anasema kamati yao nzima wamesema hawana Imani na Magufuli
Jinsi alivyo mfia chama halafu anamchinja mwenyekiti wake
Ndio niliona kabisa kwamba Magufuli Hana chake mwaka huu.
CDM ndio walipanga vituo na wapiga kura fake kwa maelfu? Basi hatuna serikali kuna genge tu la WAHUNI.FYI mbinu chafu waliokuwa wamepanga ni CDM lakini CCM wapo one step ahead.
Kwanza nikushukuru kwa kuileta video hii nimeitizama yote. Msingi wa Lowassa kuwa na 18% ulikuwa political personality.
Kwa kigezo Cha politics personality twaweza walifanya utafiti na wakasema John Pombe Magufuli umaarufu wake umeporomoka.
Huyo sio Mimi Ni twaweza, wakaishia kufungiwa.
Kwa kigezo hicho hicho political personality Leo hii tukimsimasha Lissu na Lowassa bado atapata hiyo 18%?
Lowassa tukimsimasha na Magufuli atapata 18%?
Jibu Ni hapana, hivyo basi hoja yako dhaifu ya kwamba Lowassa ana watu au mvuto wa kisiasa inafia hapo.Pia Lowassa hakuwa Brand pekee iliyosababisha watu kuvutiwa na kujaa kwenye mkutano. Chadema yenyewe Ni Brand imara iliyojitosheleza na ndio maana hata Lissu anapata watu kwa wingi ule ule.
Kuondoa kwa Lowassa kungekuwa na athari chanya Lissu angekuwa Kama Membe angeishia watu wachache lakini ndio kwanza Gari linawaka.
"Politics is a game of dynamics" ukiyajua haya utaacha ushabiki, kwenye siasa za 2020 hakuna mahusiano na matukio ya 2015 . Ushahidi Ni kura za MAONI ndani ya CCM walioshinda wakati ule wameangukia pia na wamekuja wapya.
Karibu Tena tuchambue siasa.
Kama hawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Maneno ya watu walioshindwa haya
Mateso gn ww, akat miaka yote ww uko hoiLazima uwe na akili mbovu kumchagua jiwe awe Rais wa nchi, yaani mateso yote haya then upige kura kwa jiwe? You must be crazy kwakweli
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
tuna nguvu za ku control huu upepo, maadam ni upepo, utapita tuu.Mku upepo umetubadilikia kwani mambo yako wazi
Weka video clip tukuaminiKuna mtu kanambia anauhakika Lissu atashinda nikamwambia mimi sio mwanasiasa wala mtabiri ila Magufuli atashinda.
Nikamuomba tuweke dau la milioni mojamoja ili ambae kauli yake itakua ilikua yakweli achukue milioni mbili kakataa nikajua kumbe ananiambia maneno asio na uhakika nayo kabisa na anaujua ukweli.
Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Kibaraka wa NinyiemHakuna wa kumpigia kura msaliti wa Nchi Lissu
Ila ndio mbembwe za Uchaguzi, mnaruhusiwa kuongea kila lugha
October 29 baada ya kuragazwa na lissu kurudi ubeligiji
mrudi shamba msimu wa mvua umeanza
Uchambuzi wako unaakisi kiwango cha akili na weledi ulionao bahati mbaya kwa makusudi kabisa umeamua kuvitumia vibaya, kwa sababu kwa kukusudia, umeacha mambo ya msingi kabisaWasalaaam wanabodi,
Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti waliyojiwekea...
Mku kwa hali ilivyo sijui kwani sio kabisa.tuna nguvu za ku control huu upepo, maadam ni upepo, utapita tuu.
P