Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.
NIKwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?
baada ya kufahamu wanamuunga mkono lowassa.kwani chama chake ndio kinaingia madarakani ama..hatudanganyiki
Una uhakika au ushahidi gani kwamba Lowassa ni fisadi???
Mimi ni kijana mtoto wa mkulima masikini wa Tanzania namuunga mkono FISADI wenye nguvu kuliko serikali yoyote iliyowahi kuundwa na ccm tangu uhuru.Serikali zote za ccm ziliishia kumpa uwaziri pamoja na ufisadi wake.So kwa kigezo hicho hicho why tusimkabidhi nchi.
Kwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?
Amechelewa,,vijana wote wako kwa Lowasa
Vijana wanafuata viroba tu kwa Lowassa.hakuna kijana anayejielewa utamkuta kwa Lowassa.
Chizi ni wewe usiyewajua Fidel Castro wala Che Guevara yet unawalinganisha na mtu.
Hao hawakuwa wezi na mafisadi kama Lowassa, usilinganishe usivyovijua.
Kwani hapa duniani ni nchi gani ambayo haina vijana wasiokuwa na ajira?
Mimi ni kijana sitaki hata kusikia jina la lowasa fisadi mkubwa huyu wewe unasema nani anamuunga mkono kijana gani labda awe mtoto wa fisadi.
Kwa hiyo sisi vijana tuwe na maamuzi magumu kama tunaamini huyu magufuli ataleta mabadiliko tumchague afu baada ya miaka mitano kama hadithi yake ni ileile basi tuna piga chini........
Na pia kama lowasa ataleta mabadiliko tunaamini basi tumwke kama mambo ni yale yale basi twendeni ACT