Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Ahadi ni nyingi sana mpaka zingine tumesahau,lakini kamwambieni sisi tunamtaka Lowasa
 

Hatutaki neema ya magufuli tunataka ya lowassa ina baraka zaidi
 

Zumbukuku wewe
 
Hapa ni kimorali mbundimbundi kiroba asubuhi na mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Ccm imewatelekeza vijana,,,Hasira zao watazionyesha oct 25 kwa kumchagua Lowasa kwa kishindo
 
Baada ya kufahamu wanamuunga mkono lowassa.kwani chama chake ndio kinaingia madarakani ama..hatudanganyiki

Kwani ndo lowasa anaingia madarakani Leo,miaka 30 alikuwa wapi,
 
Ni vizuri aendelee kutapatapa ili kudhirisha kuwa ni mfa maji. CCM leo ndio wanawakumbuka vijana? walikuwa wapi miaka yote?
 
Ccm imewatelekeza vijana,,,Hasira zao watazionyesha oct 25 kwa kumchagua Lowasa kwa kishindo

Nini nakwambia jiseme mwenyewe sio wote wengine hatuwezi kumpa nchi uchafu wa ccm, bora magufuli Mara 1000000000%
 
Ni vizuri aendelee kutapatapa ili kudhirisha kuwa ni mfa maji. CCM leo ndio wanawakumbuka vijana? walikuwa wapi miaka yote?
Kwa cdm na lowasa wake wamewafanyia nini vijana? Si bora hata magufuli amekuwa akiwapa vijana ajira kwenye miradi ya barabara ? Na tunaweza kuamini kuwa atatukumbuka
 

Mkuu Mimi kama sio kupata ajira kwenye miradi ya ujenzi wa barsbara nisingepata kibanda changu na slitutetea wakati tunataka kufukuzwa na wakandalasi kuwa hatuna sifa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…