Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,353
- 1,784
Leteni hiyo zee kwenye midahalo tumalize kazi mapema,
Kijana kuizungumzia ccm hii ni aibu sana,ukiachilia mbali kuichagua. Mikopo mashuleni kupata hadi damu zimwagike, leo wamejua vijana wanataka mabadiliko ccm wamekuja na nyimbo mpya, its too late, hapa ni ukawa tu.
we babu toka lini ukawa kijana? Vijana wote wameshafanya maamuzi ya kumchagua Lowasa
Mkuu Mimi kama sio kupata ajira kwenye miradi ya ujenzi wa barsbara nisingepata kibanda changu na slitutetea wakati tunataka kufukuzwa na wakandalasi kuwa hatuna sifa,
Tafadhari usituseme tupo vijana tena tunaojitambua hatuwezi kuyapa makapi ya ccm nchi bora magufuli anayepimika kwa uadilifu kuriko machafu tangu enzi za baba wa taifa
Kijana kuizungumzia ccm hii ni aibu sana,ukiachilia mbali kuichagua. Mikopo mashuleni kupata hadi damu zimwagike, leo wamejua vijana wanataka mabadiliko ccm wamekuja na nyimbo mpya, its too late, hapa ni ukawa tu.
Kweli hata huyu aliyeleta hii thread ni bonge la lofa,yaani anaoneka hana informations za ukweli,wakati huo huo anatumia internet,jamani hata kugoogle kashindwa?kama siyo upu mbavu na ulofa ni nini?Mkapa hakuwa mwembe yanga na hakutamka hayo maneno ya mabadiliko.
lofa ni lofa tu
Toa ujinga wako hapa,Mkapa hakusema hivyo bali alisema "WANAOJIDAI WAO NI CHAMA CHA UKOMBOZI KWAMBA NI WAPUMBAVU MALOFA"
hujui unachokiandika sina haja ya kukuelimisha kwa sababu inawezekana ww ni majinuni unae fyata tuu bila kujua unafyata nn,hivi kauli ya mh mkapa inasema hivyo?mods nawaomba sana msiondoe uzi huu
mh. Benjamin mkapa akiwa mwembe yanga alisema naomba kunukuu "wote wanaotaka mabadiliko ni wapumbavu na malofa"
sitaki kuamini kama magufuli na timu yao ya kampeni wamesahau maneno haya maana kwa hivi sasa magufuli anahubiri kuleta mabadiliko na wamchague yeye maana yeye ni magufuli for change(m4c)
hivyo tusisite kumwita magufuli ni mpumbavu na lofa
nilikuwa na wakumbusha tu na karibu kwa mjadala
hujui unachokiandika sina haja ya kukuelimisha kwa sababu inawezekana ww ni majinuni unae fyata tuu bila kujua unafyata nn,hivi kauli ya mh mkapa inasema hivyo?
mods nawaomba sana msiondoe uzi huu