Juzi nilimsikia Lowassa akiwaambia wananchi wa Njombe kuwa UKAWA haitashindwa kuwaondolea wananchi Umasikini katika nchi yenye Uchumi wa Pamba, Korosho, Kahawa, Tumbaku, Chai, Katani, Dhahabu, Uranium, Dhahabu, Almasi, Gas, Makaa ya Mawe, Nickel, Chuma, Tanzanite, Shaba, Bahari, Maziwa, Mito, Mbuga nzuri za Wanyama, milima mirefu Duniani, .... Magufuli bila aibu akaichukua na kuwaambia wananchi maneno hayo hayo !!!! ... CCM kwa miaka 54 plus za Uhuru wa nchi hii ... Imefanya nini kwenye hizo rasilimali kwa maendeleo ya wananchi?...