Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma

Huwez kusukuma gurudumu na we we ukiwa ndani yake. Tujaribu kuwa na akiri bac
 
Weka hasira pembeni bibi yangu.Kwani we hukosei?Mbona kwenye nyuzi nyingi umekosea na kurekebishwa kwa lugha nzuri?
Sasa wewe uliyeenda shule umuhimu wa elimu yako ni upi kama unarekebisha kwa hasira na mihemko?Walimu wako walikufundisha katika hali ya hasira namna hiyo?....
Rekebisha vizuri,kwa lugha nzuri kwani hakuna mkamilifu.

Mchana mwema

“If you’re not making mistakes, then you’re not doing anything.” Mistakes are the pathway to great ideas and innovation. Mistakes are the stepping stones to moving outside the comfort zone to the growing zone where new discoveries are made and great lessons are learned. Mistakes are not failures, they are simply the process of eliminating ways that won’t work in order to come closer to the ways that will. - Amy Rees
 
Weka hasira pembeni bibi yangu.Kwani we hukosei?Mbona kwenye nyuzi nyingi umekosea na kurekebishwa kwa lugha nzuri?
Sasa wewe uliyeenda shule umuhimu wa elimu yako ni upi kama unarekebisha kwa hasira na mihemko?Walimu wako walikufundisha katika hali ya hasira namna hiyo?....
Rekebisha vizuri,kwa lugha nzuri kwani hakuna mkamilifu.

Mchana mwema

Walimu wangu walikuwa wanatulamba fimbo tukikosea "R" na "L" kwenye matamshi na kwenye kuandika. Hakuna msamaha.
 
Walimu wangu walikuwa wanatulamba fimbo tukikosea "R" na "L" kwenye matamshi na kwenye kuandika. Hakuna msamaha.

Sawa lakini sio sababu ya wewe kutenda kama ulivyotendewa,tena miaka mingi iliyopita.Labda kama umejiwekea dhana ya kuwa, huwezi mrekebisha mtu mpaka umkejeli na kutoa lugha isiyofaa.
 
Sawa lakini sio sababu ya wewe kutenda kama ulivyotendewa,tena miaka mingi iliyopita.Labda kama umejiwekea dhana ya kuwa, huwezi mrekebisha mtu mpaka umkejeli na kutoa lugha isiyofaa.

Kuna fimbo hapa umeona?

Hapa kuna kutiwa akili kwa nguvu (psychologically) ukitaka usitake.

Kuna watu wanafikiria mara mbili mbili kabla ya kuandika, kuna wengi nnawaona sasa wapo sawa, walikuwa wakikosea wamejirekebisha. Nnawasifu sana.

Nimeona mafanikio ndiyo maana sichoki kurekebisha kila nnapopaona, laiti kusingekuwa na mafanikio hata mimi nguvu zingeisha.
 
Suala la kurekebisha ni jema kabisa.Lakini unarekebishaje?
Sio mbaya endelea na mtazamo wako.
 
Kila nikaapo na kuzisikiliza naona jinsi anavyosema uwongo ,mtu mzima kutoa ahadi zisizotekelezeka ahadi ambazo wenzake waliopita walizitoa na hawakuweza kuzitimiza.

Kuzuia habari za UKAWA zisitokeze magazetini na hata hapa JF kuzikata na kuzifuta hakutowasaidia kitu chochote ,mwamko umeshatokea na hautozimwa kwa kukoseshwa kujitangaza ,wananchi wameshaamua na hatua ya kuiondoa CCM ipo ndani ya mioyo kwa sasa haihitaji tena media.

Magufuli anaepewa uzito katika media hatoshinda hata kwa asili,ia 30 ,ilani wanazojivunia hawawezi kuzitekeleza ,hatuhitaji ilani wala kusema mgombea kuwa na uadilifu hilo halihitaji kabisa .

Nchi ngapi zina elimu bure nchi nzima ,anaesema elimu bure kwa Tranzania nzima haiwezekani huyo inaonyesha hajawahi kusafiri hata nje ya mkoa anaoishi.
 
Hana tofauti na yule wa chauma..........anasema ataleta ndege za umwagiliaji kwenye mashamba ya wananchi..........tumchague..........
hivi huwa wanawaza kabla ya kuongea kweli.........?....
 
hizi hotuba zake tumesikia sana ni za copy and paste ben mkapa alikuja nazo,nd. kikwete pia,movie hizi tumeziona sana zinachosha kwa kweli hata kusikiliza ni kupoteza wakati tu.
Tunachotaka ni safu ya uongozi ibadilike ili tuone tafauti ikoje,tuone movie nyengine tafadhali,it might be interesting weka ukawa ikulu sasa
 
kwa chama tawala hawapaswi kuahidi ila kujigamba imefanya hiki na kile mlipotuamimi kuunda serikali sasa wanapokuja na ahadi wakati ya kale hayakutelezwa tunashindwa kuwaelewa. je magufuli atakuwa peke yake mbona anajiamini zaidi yey ili hali ccm ni ile ile ukoo wa panya. watanzania magufuli anatudanganya hafai hata kidogo
 
MAGUFULI NA HAPA KAZI TUU!!
Kauli mbiu ya CCM (Hapa kazi tu) na Uchapaji kazi wa Mgombea wake Dr. J.P.Magufuli inaonyesha dhamira ya dhati ya chama hicho katika kumkomboa Mtanzania.Ni dhahiri kwamba tutaijenga nchi yetu kwa sisi wote kuungana na kwa kila mtu kutekeleza wajibu wa kuwa sehemu ya maendeleo ya nchi hii,hatuwezi kuwa tunataka maslahi yetu ya watanzania ya afya bora,maisha bora na elimu nzuri lakini eti unadhani una mtu ambaye atakuja kukuletea maslahi hayo!Watanzania tubadilike,tunahitajika kiongozi mchapakazi,kujituma na kufanya kazi ipasavyo!!
 
Magufuli ushashinda hata usipofanya kampeni, hata huku Tandaimba tunatambua uwezo wako.
 
Wale genge la wauza unga kwa mwavuli wa chama cha ushirika ukiwa wanatetemeka
 
Back
Top Bottom