herry msagati
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 293
- 199
Labda awe rais wa ukoo wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe kura Magufuli hayo uliyojiuliza utapata majibu yake. Tingatinga halishindwi. Hata sisi CCM tuna imani naye. Atarekebisha kwa vile ameanza vema. Hana madeni nyuma
haina haja ya kusoma kama wasomi wenyewe ndio hawa! usomi sio makalatasi na kuijua lugha usomi ni kuitendea haki elim yako kwa kuitendea haki jamii iliyokuzunguka
Weka hasira pembeni bibi yangu.Kwani we hukosei?Mbona kwenye nyuzi nyingi umekosea na kurekebishwa kwa lugha nzuri?
Sasa wewe uliyeenda shule umuhimu wa elimu yako ni upi kama unarekebisha kwa hasira na mihemko?Walimu wako walikufundisha katika hali ya hasira namna hiyo?....
Rekebisha vizuri,kwa lugha nzuri kwani hakuna mkamilifu.
Mchana mwema

Walimu wangu walikuwa wanatulamba fimbo tukikosea "R" na "L" kwenye matamshi na kwenye kuandika. Hakuna msamaha.
Walimu wangu walikuwa wanatulamba fimbo tukikosea "R" na "L" kwenye matamshi na kwenye kuandika. Hakuna msamaha.
Sawa lakini sio sababu ya wewe kutenda kama ulivyotendewa,tena miaka mingi iliyopita.Labda kama umejiwekea dhana ya kuwa, huwezi mrekebisha mtu mpaka umkejeli na kutoa lugha isiyofaa.
Miaka ya 60 si sawa na leo.
Kuna fimbo hapa umeona?
Hapa kuna kutiwa akili kwa nguvu (psychologically) ukitaka usitake.
Kuna watu wanafikiria mara mbili mbili kabla ya kuandika, kuna wengi nnawaona sasa wapo sawa, walikuwa wakikosea wamejirekebisha. Nnawasifu sana.
Nimeona mafanikio ndiyo maana sichoki kurekebisha kila nnapopaona, laiti kusingekuwa na mafanikio hata mimi nguvu zingeisha.
Suala la kurekebisha ni jema kabisa.Lakini unarekebishaje?
Sio mbaya endelea na mtazamo wako.
MAGUFULI NA HAPA KAZI TUU!!
Kauli mbiu ya CCM (Hapa kazi tu) na Uchapaji kazi wa Mgombea wake Dr. J.P.Magufuli inaonyesha dhamira ya dhati ya chama hicho katika kumkomboa Mtanzania.Ni dhahiri kwamba tutaijenga nchi yetu kwa sisi wote kuungana na kwa kila mtu kutekeleza wajibu wa kuwa sehemu ya maendeleo ya nchi hii,hatuwezi kuwa tunataka maslahi yetu ya watanzania ya afya bora,maisha bora na elimu nzuri lakini eti unadhani una mtu ambaye atakuja kukuletea maslahi hayo!Watanzania tubadilike,tunahitajika kiongozi mchapakazi,kujituma na kufanya kazi ipasavyo!!