Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

Elections 2015 Uchambuzi wa ahadi za mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dr. John Pombe Magufuli

MAGUFULI KATIKA VIWANGO VYAKE
Mgombea wa Ccm Dk John Magufuli kwa sehemu kubwa ya mikutano yake na wananchi imehusu kilimo,ajira,miundombinu,afya,elimu,uongozi bora na umoja wa kitaifa:Kuna sababu kweli ya kutomchagua kiongozi huyu?Watanzania tushtukee
 
MAGUFULI KATIKA VIWANGO VYAKE
Mgombea wa Ccm Dk John Magufuli kwa sehemu kubwa ya mikutano yake na wananchi imehusu kilimo,ajira,miundombinu,afya,elimu,uongozi bora na umoja wa kitaifa:Kuna sababu kweli ya kutomchagua kiongozi huyu?Watanzania tushtukee

Ukweli mtu ni Magufuli tu
 
WHY NOT MAGUFULI:
Mgombea wa Ccm Dk John Magufuli kwa sehemu kubwa ya mikutano yake na wananchi imehusu kilimo,ajira,miundo mbinu,afya,elimu,uongozi bora na umoja wa kitaifa:Kuna sababu kweli ya kutomchagua kiongozi huyu?Watanzania tushtukee


Magufuli n mpango wa mungu jamn

Magufuli for change
 
Mkuu hata Mawaziri 30 ni wengi mno, kwa nini hatuigi Taifa kubwa lenye utajiri kama Merikani ambalo idadi ya Mawaziri ni ndogo sana, Mh.Magufuli suala hilo anapaswa kulifanyia kazi fasta -apunguze vile vile vitu vya anasa especially magari ya kifahari na safari za nje zisizo kuwa na kichwa wala miguu, makongamano yasiyo kuwa na tija kwa Taifa letu - mwisho afanye juu chini kufufua viwanda nchini, wale wote walio uziwa viwanda vyetu wakavigeuza ma Godown wafunguliwe mashtaka na kufilisiwa.

Bukyanagandi, kwa haya waliyoyafanya ccm mf. matumizi mabaya ya kodi za Watanzania, kuua viwanda nk hatuwezi kuwapa tena ccm nchi hii. Ndio maana tunataka mabadiliko ya mfumo kwa nguvu zote. Tunataka mabadiliko ya serikali kutoka chama kingine sio ccm tena. Rais JK alipoingia madarakani aliahidi mambo mengi na maisha bora kwa kila mtanzania. Amekaa madarakani miaka kumi hakuna cha maana alichofanya bali katupotezea muda tu. Hatuwezi kuchukua risk tena kwa kuichagua CCM. Tunataka mabadiliko ya kimfumo period. CCM wakalie bench. MABADILIKO LOWASAA, LOWAASA MABADILIKO!!!!!!
 
Mkuu hata Mawaziri 30 ni wengi mno, kwa nini hatuigi Taifa kubwa lenye utajiri kama Merikani ambalo idadi ya Mawaziri ni ndogo sana, Mh.Magufuli suala hilo anapaswa kulifanyia kazi fasta -apunguze vile vile vitu vya anasa especially magari ya kifahari na safari za nje zisizo kuwa na kichwa wala miguu, makongamano yasiyo kuwa na tija kwa Taifa letu - mwisho afanye juu chini kufufua viwanda nchini, wale wote walio uziwa viwanda vyetu wakavigeuza ma Godown wafunguliwe mashtaka na kufilisiwa.


Bukyanagandi, kwa haya waliyoyafanya ccm mf. matumizi mabaya ya kodi za Watanzania, kuua viwanda nk hatuwezi kuwapa tena ccm nchi hii. Ndio maana tunataka mabadiliko ya mfumo kwa nguvu zote. Tunataka mabadiliko ya serikali kutoka chama kingine sio ccm tena. Rais JK alipoingia madarakani aliahidi mambo mengi na maisha bora kwa kila mtanzania. Amekaa madarakani miaka kumi hakuna cha maana alichofanya bali katupotezea muda tu. Hatuwezi kuchukua risk tena kwa kuichagua CCM. Tunataka mabadiliko ya kimfumo period. CCM wakalie bench. MABADILIKO LOWASAA, LOWAASA MABADILIKO!!!!
 
Mimi ndio huwa simwelewi kabisa anaposema anatumia usafiri wa gari ili ajionee shida za wananchi. Hivi ni mtanzania gani ndani ya miaka zaidi ya hamsini ya uhuru asiyeyajua fika matatizo ya nchi hii. Kama alikuwa hayajui anadhani ndani ya mwezi mmoja uliosalia ndio atayafahamu na kuyatafutia njia ya utatuzi? Ni ubabaishaji juu ya ubabaishaji.
 
Wenye uelewa watanielewa mara moja..!!

Magufuli hayuko sawa... IQ yake ni ndogo sana... i proved this...!!! Anasema asiyoyajua, anayajua asiyo yasema..!!

IQ ya MAGUFULI, is ABNORMAL..!!!!

1: Nitawafunga wafisadi wote... haaaa... so hata boss wake wa sasa, Mkapa, Chenge, Ngeleja, Tibaijuka, MAGUFULI, etc... ataweza..? pure joke.. Mbona sasa anawanadi mafisadi hao akina Chenge, Tibaijuka, Ngeleja..? Hajui anasema nn na anatenda nn, so ATAJIFUNGA NA YEYE..? huyo ndio Magufuli...IQ yake is ABNORMAL..

2: Nitajenga kila kijiji ZAHANATI... wee acha uongo..huwezi hili..?

3: Nitatoa kila kijiji mil 50... IQ ya Magufuli is ABNORMAL... u can't do this, let's bet..!!!

4: Kila MKOA nitajenga HOSPITAL YA RUFAA KUBWA KUBWA... plz, Magufuli plz... stop this, huwezi..!!!

5: Kila mwalimu nitampa laptop, kuboresha elimu, UR OFF TRACK...laptop haziboreshi elimu... omg..!!!

6: Tanzania ya MAGUFULI itakuwa ya VIWANDA, kila kona ya nchi... JE HAJUI CCM ndio IMEUA VIWANDA..? Hata yeye anashangaa hilo... he is not serious...!!

7: Dawa kukosekana hospitalini, na kupatikana ktk pharmacies nearby hospitals, clinics, ANASHANGAA SANAA, as if hagombei CCM...!!

8: Anasema, ataifumua CCM na SERIKALI... kwa ukali kabisa... sasa hapa ndio kichekesho, so ATAJIFUMUA NA YEYE..? He is core part of CCM.. so anaishtaki CCM na yeye kwa WANANCHI...he is ABNORMAL..!!

9: Atafuta misamaha yote ya WABUNGE... lol..!! Hii ina tija kweli..? Au anaongea tu kupata kura..?

10: Wanafunzi wanakaa chini, ANASHANGAA, anasema atakufa na mtu...miti imejaa, kwani for 54 yrs ni CHAMA GANI KILIKUWA MADARAKANI..?
Is he speaking as an OUTSIDER...?

11: Anasema ANACHUKIA SANA UKABILA, hapo hapo akiwa Chato, dakika chache tu AKAANZA KUONGEA KILUGHAAAAAA WEEE, akarudia tenaa na tenaaa anaomba kura... huo sio UKABILAAAAA... Is he Ok..?

IQ ya Magufuli is ABNORMAL...!!

12: Saddam wa Libya mnamjua..? watu eeehh... sorry Saddam wa kulee Kuwait na Gadaffi wa Iraq walitaka mabadiliko, mnaona kilitokea nn, ACHENI MSIFANYE MABADILIKO MTAJUTA.... dakika chache tena hapo hapo... NAFAHAMU WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO... MM NDIO NITALETA MABADILIKO... hayaaaaa mamaaaaa... totally confused, hayuko sawa.. si umesema wasifanye MABADILIKO...?😨😨😠😠 mmh.. omg..!!

13: M4C ni MAGUFULI for CHANGE....👇👇 Sasa hapa ndio nikamaliza ANALYSIS YANGU...and PROOF beyond any doubts...kuwa IQ ya MAGUFULI is ABNORMAL...!!!

Ooooh dear.. noo..noo.. something, somewhere, is wrong Mr. Magufuli...!!

Ni mtu wa kukurupuka na HASIRA sana, these are signs of the WEAKEST manager not even to be called a LEADER..!!

Kwa MFUMO wa CCM, Magufuli si chochote, si lolote, HAWEZI FANYA CHOCHOTE...hata yeye anajua hilo wazi wazi, basi tu anajikaza KISABUNI...!!!

In short, ukimsikiliza anachoongea, HUWEZI muamini kabisa ukilingalisha na hali HALISI iliyopo...!!!

IQ ya Magufuli is ABNORMAL...!!! I proved this...!!!
 
hata kikwete aliwahi kusema "urais wangu hauna ubia na mtu"! wakamwangaliaaaa! akaufyata. yaliyotokea tumeyashuhudia.
 
hahahahahhha

Anapiga pushap kwani ikulu ni uwanja wa ndondi....Ohhhh Gosh....Very LOW IQ
 
Hata Wa Kumtoa Babu Seya Jela,kumfufua Balali Naye IQ Yake Vipi?Anayesema Serikali Ya Ccm Haijafanya Chochote Wakati Alikuwa Waziri Mkuu Je?Anayesema Ccm Watoe Hirizi Zao Ikulu Wakati Miaka Yote Alisaidiana Nao Kuziweka Naye Huyu Vipi?
 
Back
Top Bottom