Uchambuzi wa hotuba ya Rais Samia katika Baraza maalum la vyama vya siasa

Katika hotuba zilizomdharaudhisha na kumfanya aonekane debe tupu ni hii!
 
Mleta Uzi think Twice

Samia ni mwana siasa na ni raisi

Hata wewe kuna vitu umeshindwa kuvielewa

Kwanza jiulize hayo maneno aliyatamka akiwa wapi ? nadhani utajijibu

Hizi kauli dhidi ya raisi ni sahihi?

1.mnafikiri huyu mama kapewa nini ,hebu nanyi mjiulize kapewa nn?
2.huyu anaejiita nan kama mama
3 . Bandali yetu imeuzwa
4 .nakwenda chato kumuamsha maghufuri amka amka uone ya ccm yako .

Huu upuuz umetamkwa na chadema Tena mchana kuepo

Mleta Uzi tambua haya
Sisi watanzania tuna athiri ya dharau na kumchukulia mtu poa au mazoe


Viongozi wengi wanawake baadhi ya wanaume hawataki kupokea maelekezo hij yote Kwa sababu ya dharau.
 
Acha longolongo anapovurunda na kuangamiza Taifa achekewe kwa sababu ni mwanamke!
 
Viongozi wanaoingia madarakani kwa wizi wa kura wana heshima gani? Ama uafrika ndio huo wa kupora chaguzi za nchi kisha kutaka heshima wakati uko madarakani kwa njia zisizofaa?
 
We Jamaa unajua kujikomba hatari upo wapi Chake Chake au Mjini Magharibi?
 
Mama kalijambia taifa, kaongea pumba mwanzo mwisho
 
Sie tulimjua zamani sana
 
Ameibagaza sana Katiba
 
Njiwa: kwanza kabisa tofautisha haiba ya Magufuli na Samia, asiige alivyokuwa akifanya Magufuli na yeye ataweza. Ukimfukuza kichaa mkiwa uchi utaonekana wewe ni kichaa zaidi.

Pili kwa hotuba yake ile, SSH hakuwakosea tu wapinzani wake bali aliwakosea Watanzania wote kwa ujumla. Kakitabu kalikompa Urais na yeye akaapa kukalinda, kakitabu kaliko weka misingi ya Muungano na leo yy ni Rais wa huo Muungano, anakakanyaga na kukadharau mbele ya umma.!!

Mshaurini ajiepushe kuingiza mambo ya Imani kwenye hotuba zake. Si watu wote wanao amini ktk kile alichokiita vitabu vitakatifu. Katiba ni msingi wa Sheria za nchi, usipozifuata unaadhibiwa na jamuhuri. Vitabu vitakatifu ni hiari ya mtu atajuana na Mungu wake wala Samia hana uwezo wa kuhukumu.

Badala ya kumpotosha kwa chuki zenu dhidi ya akina Lissu, Mbowe na wengine, mshaurini atumie busara. Pengine akina Lissu ni wazuri kwake kwasababu wanamkosoa adharani, yawekana kuna kundi kubwa ndani ya chama chake na watu wake wanaomzunguka ni marafiki mchana lakini usiku ni ubwa mwitu wakali dhidi yake.

Msiendelee kumpotosha.
 
Hivi unaelewa hata miiko ya uongozi?

Kiongozi mkubwa wa taifa anatakiwa kubehave vyovyote hisia zake zitavyo mtuma just kwa sababu yeye ni binadamu? Seriously!?

Kwamba ni sawa kwa raisi kututolea sisi hisia zake badala ya kuzungumza hoja?
Tutawezaje kumtofautisha raisi na wavuta bangi kwa hili?
Matusi na ubaguzi si sahihi kwa yeyote yule, akiwemo rais.
SSH atakua vipi sahihi akitumia matusi?

We don't have a leader.
 
Nahisi aliingia ukumbini akiwa ameshusha mzinga wa vodka ya kirusi
 
Kajichojoa hadharani
 
Ubora wa hotuba ya Samia haukuishia kuwekwa kwenye record za dunia tu,uliwakawaka mpaka juu ya minara ya Dubai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…