Uchambuzi wa Kisheria juu ya Hati ya Mashtaka ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu

Watu wasijitoe ufahamu, zipo kauli ambazo lissu amezizungumza kwa mdomo wake ambazo hazina afya kwa taifa letu, let be fair!
Kauli za Lissu zina shida gani ikiwa ccm mnasema Hangaya anakubalika nchi nzima? Hapo hakuna kesi bali ni muendelezo wa siasa za kipumbavu za ccm inayobebwa na serikali.
 
Kauli za Lissu hazina Afya kivipi? Waliokata Wagombea 12,000 wa Chadema Uchaguzi wa Mitaa na Vijiji Novemba mwaka jana tuseme wao ndo wana afya kwa Taifa letu?
Ukiwa mwanasiasa inabidi uwe na akili zakukwepa mitego ya adui. Lissu anatumia mihemko ya uanaharakati kufanya siasa kitu ambacho kinamgharimu kijinga.
Mwenendo aliokuwa anaenda nao wenye akili wengi tulishaona na wengi waliandika humu kwamba atakamatwa.
Sasa kama wengine tunaona kabisa anaenda kukamatwa yeye hakuwa ana akili ya kuyaona haya? Labda chama kimemshinda akaona akitelekeze kwa kisingizio kwamba kawekwa gerezani na dikteta.
 
Watu wa serikali, na ccm huwa, ni kama, nyumbu, huwa naamini, ni watu wenye akili ndogo Sana, ni simplist people, kuanzia, boss wao ikulu, jeshini,kila sehemu, kumejaa watu wenye akili ndogo sana
Yani mkuu mie hiwaga sometimes nawatafakar sana hata ukienda maofsn mwao utendaji wao yani unajua kichwani hamna kitu?hao mAwaziri ndio usiseme yani ni total rubbish!tingepata watu wenye akili hii nchi ingefika mbali sana.

Sasa mfano huyu bibi ni lipi haswa amelifanya?yy ni zogo tu mda wotee maneno chepechepe utendaji sifur yy ni kupiga dili tu na mwanae kukusanya utajiri..Abduli kila deal la serikali pua yake yumo..what a shamefull country aisee
 
😅😅😅wametaka tu akapumzike ale ugali wa bure
 
Umeongea Kuntu tupu. Wakwe wanaleta mzazi kipo ni kipi? Kwaya ya mabubu wasikilizaji viziwi...
 
Huyu mnyampaa ni muhimu sana kwa kutikisa mamlaka itende haki na kuleta mabadiliko na maendeleo, ukweli ni tunu ya taifa, ila pia huyu jamaa ni hatari mno kwa usalama wa nchi ikiwa ataachwa kufanya harakati za kuvuka mipaka! Ana maneno makali kama moto!
Stori ya kushikwa kwake na kesi ya uhaini inatrend Duniani kupitis Al Jazeera!

Mwanzo wa Ngoma ni Lele!!
 
MUNGU ATAAMUA.....

MUNGU ANA NAMNA PEKEE YA KUAMUA KESI KAMA HIZI......KIPANDE KIDOGO CHA ARDHI KITAWEKWA TUTA LA KUMBU KUMBU YA KUDUMU ZA BAADHI YA MASHETANI WALIOJIVISHA UBINADAMU NA KUWAFANYIA USHETANI BINADAMU........

MUNGU ATAAMUA......
Kinachoshangaza haya yote yanatokea kuelekea Pasaka.

Kipindi Wakristo wanaadhimisha Mateso ya Bwana Yesu. Hawajui wanamtengenezea picha gani Tundu Lissu kwa Wakristo.
 
Nchi hii imesha collapse alafu tuna TISS na JWTZ wanaoruhusu kufanyika upumbavu wa namna hii.

Wanaacha kwenda kuwawajibisha waliokula bil 31 kudai wanatengeneza uwanja wa Taifa alafu kiwanja kipo hovyo wanahangaika na mtu anayewatetea kweli Watanzania.
 
Kweli kabisa.
 
Lissu katumia mihemko gani? Kafanya harakati gani? Kwa maoni unayotoa hapa utajiitaje mwenye akili?

Chaguzi zetu ni huru na za haki?

CCM hawaibi chaguzi?

Majaji hawajipendekezi wa Rais?

Polisi hawatumiki kuiba kura?

Mbona haya yote yako wazi?
 
Maelezo yako ya kisheria ni mazuri sana, ila hii michezo imeshazoeleka. Ukiwa tishio kisiasa kwa watu au system nzima unapachikiwa kesi ya Uhaini au unaitwa wewe kibaraka wa Mataifa ya nje. Kiufupi ni kutaka kuvuruga CDM watoke kwenye malengo yao! Mwisho wa siku ni kupotezeana muda tu!
 
Tunaongozwa na watu wasio na akili kabisaaa!
 
Ukisoma kwa makini maana halisi ya neno uhaini kumbe hata baadhi ya watu waliopo madarakani ni wahaini!
Mfano mzuri ni makala na wengine wenye matamko ya jabu na ya shari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…