Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

Uchambuzi wa kisheria; Mchezo wa Simba dhidi ya Yanga Umefutika kuchezwa kwa mujibu wa kikanuni

Iko hivi kwa mujibu wa kanuni za mpira TFF

Mwenye mamlaka ya kufuta mchezo ni Meneja wa uwanja pamoja meneja wa mchezo kanuni zinaeleza.

Mnamo tarehe 7 jioni hawa wote hawakuwa na taarifa kuhusu ujio wa wageni SIMBA katika uwanja kwa ajili ya mazoezi kama kanuni hii inavyosomeka
Timu ngeni itafanya mazoezi kwenye uwanja wa mechi angalau mara moja
kabla ya siku ya mechi katika muda tarajiwa wa mchezo husika. Sababu
zozote za kukwamisha timu mgeni kukidhi ipasavyo au kupata haki hii

zitathibitishwa kwanza na Kamishna wa mchezo."

Pamoja na jitihada za uongozi wa simba kuwatafta na kufika eneo la uwanja (Meneja wa mchezo) Bado alithibitisha kwamba hana taarifa na kutokuruhusu milango ifunguliwe.

kwa mujibu wa kanuni meneja wa kiwanja na meneja wa mchezo wanaruhusiwa kuzuia mchezo usifanyike kwasababu zozote ambazo wataona zinafaa!

Kuzuia utekelezwaji wa takwa la kinanuni timu ngeni kufanya mazoezi ni moja ya sababu ya kuzuia mchezo halisi!

Bodi ya ligi iombe report kutoka kwa meneja wa uwanja ili sababu yoyote iliyopelekea kuwazuia simba ikibainika imetatuliwa basi mechi ipangiwe kuchezwa tarehe nyingine.

Mwenye makosa katika hili siyo SIMBA wala si YANGA bali ni Wasimamizi wa sheria za uwanja ndiyo waliofuta mchezo huu.
Msipeleke timu uwanjani kama kweli mmeamua.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hiki kiburi kisiwe kwa Simba tu, bali timu yeyote inayofanyiwa mambo ya kihuni.. Yanga na mashabiki wake wamekuwa na mambo ya kisenge sana.

Mnakumbuka RC wa Mwanza? Tukaingiza timu, mwisho wa siku inaonekana kama kitu cha kawaida tu.
 
Back
Top Bottom