Uchambuzi wa kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin Mkapa "MY LIFE, MY PURPOSE"

Majibu ya kweli ni muda...time will tell
 
Hamnaga jipya zaidi ya propaganda za kila siku za viongozi kujifanya wema wakishaachia madaraka.
Viongozi wa kiafrica huwa na akili mfumo ukishawatupa.Nilifanya tafiti tatizo ni zile saluti,kufunguliwa milango na kupewa ukuu hivi ulaza na kupooufusha akili ukizingatia wengine wametokea kwenye ufukara miaka 50 nyuma
 
Ualimu nikazi duni sana hapa nchini huwezi amino kama inasomewa (professional)...kwa wenzetu inaheshma lkn kwetu tabu tupu. Mbaya zaidi viongozi wanawapuuza na wanapelekeshwa hata na mabalozi was nyumba kumi!! Skuiz hats wanafunzi washawaona walimu ni chokambaya
 
Tume huru ni kutoitendea haki sisim ni kitu isichotaksikia katu
 
translate in your own thinking
 

Wewe utakua ni binti mdogo kama ni mwanaume ni shoga. Hamna ulichoandika hapo ni udaku tupu
 
Maswali ya kipumbavu sana hayo, yaani mkapa ashindwe kulipia mil 200 kaka gharama za kuandaa na kuchapa kitabu?? Ulitaka kitoke lini?
 
Kitabu cha nani huyo tena? Kimeandikwa kiingereza tu au?
 
Namsifu Mzee Mkapa kwa kuanzisha njia. Tunahitaji haya maandishi hata kama yanauzi kweli kweli. Tujifunze dhamana ya uongozi ni pamoja na kuwajibika kulisaidia Taifa liendelee kukua na kusonga mbele.
Yes, makosa yaliyofanyika huko nyuma, hasa mambo ya rushwa, kusema kweli yanakera sana. Tuache tabia ovu zinazoweza kusababisha Taifa likaingia kwenye matatizo sababu ya kukosa uongozi imara.
 

Sir Andy Chande angekuwa hai lazima anacheka kweli kweli
 
Kumbe ndio maana mzee wa watu hakuwahi kuoa
 
Kwakweli nilipokisoma nilipata hasira sana,
eti anataka tume huru ya uchaguzi ili iweje sasa?
Eti wapinzani washiriki kuhesabu kura,thubutu,kwani yanawahusu?,

hawa wastaafu watulie wale mafao ama la........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…