Uchambuzi wa Mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam kati ya Tanzania na Dubai

Hatuna Rais.
Mnainguzwa mjenge. Na. Mleta mada aliyeleta vipande tu vya mkataba na kuwalisha maoni yake.

Aweke mkataba kamili.

Huyu ni wale wale tu, kina ndugai na bashiru.
 
Mmmm huu tumepigwa
 
Wahusika wote waliouza bandari ni wanzibari je watanganyika mnalisemaje hili
 
kwa nini unatusomea vijipengele vya hapa na pale, unatuona sisi viazi sana hatustahili kuuona mkataba ??
 
Huu mkataba unaiingiza rasmi Tanzania kwenye biashara za Kimataifa.

Wenye uelewa wa biashara za Kimataifa watalielewa hilo.

Mambumbumbu wa biashara mtabaki bandari imeuzwa, imeuzwa.

Imeuzwa kupelekwa wapi?
Bandari inauzwa Kwa Kasi sana,
 
Mpaka Aje amalize na awamu ijayo atakuwa ashakabizi vyote, Mchuchuma na Liganga ana compesate ili nayo badae ibinafsishwe.

Pride ya mtanzania ni kuona Serikali yake inamiliki hichi, na Serikali ni Wanaichi.

Sasa kaka Serikali ambayo sisi wanaichi tunauza kila kitu, then tunanini badae mkononi kama Asset [emoji36][emoji36][emoji36]
 
Hata kama utakuwa wa miaka 1000 kinachotakiwa ni ufanisi na tija kwa taifa letu kuliko ilivyo sasa hivi manufaa kidogo na watu wanachumia matumboni mwao.
 
Huu ni mkataba au utapeli, km sio wizi kabisaa.
Khaaaaah
 
Huu mkataba unaiingiza rasmi Tanzania kwenye biashara za Kimataifa.

Wenye uelewa wa biashara za Kimataifa watalielewa hilo.

Mambumbumbu wa biashara mtabaki bandari imeuzwa, imeuzwa.

Imeuzwa kupelekwa wapi?
Wee bibi tutolee upuuzi wako, au wee nae ni mnufaika??
 
Mi nina ugwadu mwanangu ya kuuuna huo mkataba, yaani na ugwadu balaa
 
Uraia pacha unausingizia tu, hauhusiki kabisa na haya.
 
Mnaingizwa mkenge na nketa mada na nyinyi mnauvaa kichwa kichwa, Mleta mada ameleta vipande tu vya mkataba na kuwalisha maoni yake.

Aweke mkataba kamili.

Huyu ni wale wale tu, kina ndugai na bashiru.

Akili ya bashiru na ndugai utaifananisha na ya sa100 , hata kama ccm hawana akili lakini wamezidiana kiwango cha ujinga, hamna mkataba wenye maslahi hapo huo ndio ukweli
 
Waliokuwa wanaingia haya si wapo? Kwani Mwanasheria Mkuu wa Serikali hakutoa Ushauri wa kisheria?

Hao walioingia huu mkataba walijiridhisha na Nchi zingine ndivyo mikataba Yao Iko?

Mwisho kwani hii mikataba Huwa Watzn wanaoambatana na Rais Huwa hawasomi kabla ya kumshauri Rais kusaini?
 
Huu mkataba unaiingiza rasmi Tanzania kwenye biashara za Kimataifa.

Wenye uelewa wa biashara za Kimataifa watalielewa hilo.

Mambumbumbu wa biashara mtabaki bandari imeuzwa, imeuzwa.

Imeuzwa kupelekwa wapi?
Huu mkataba unaiingiza rasmi Tanzania kwenye biashara za Kimataifa.

Wenye uelewa wa biashara za Kimataifa watalielewa hilo.

Mambumbumbu wa biashara mtabaki bandari imeuzwa, imeuzwa.

Imeuzwa kupelekwa wapi?
Umepata nafasi ya kupitia huo mkataba na kuuelewa ?
Au umekurupuka tu kuutetea uliposikia waarabu ndo watatekeleza huo mkataba !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…